Nape na Suala la Vitambulisho vya Taifa; Maoni yake FB yajibiwa

Status
Not open for further replies.
Clement Marwa nape bana,yani kama kuku anae kunya huku anatembea vile,...topic iko hewani tu inaelea afu haurudi kutoa maelezo,nape una dharau sana,....yaani unaona hawa wapuuzi ngoja niwape upuuzi wajadili huku nikiendelea kupigwa upepo ndani
about an hour ago · Like
Nape Nnauye Kwani clement usipomtukana Nape hulali au huishi?kuna mtu kakulazimisha kuchangia? Very sor
about an hour ago · Like · 2 people

Clement Marwa nape kama naku attack sana am sorry,ila kiukweli topic unazo weka humu sio za kuwekwa na mtu kama wewe,haufanani nazo kabisaaaaaaaaaaaa,its either umekua sana na uwezo wa kufikiri unashuka au unaweka ukiwa uko keroro kabisa,...................................nataka kadi ya ccj,ntapata?
55 minutes ago · Like
 
Takwimu zinaonyesha kati ya walipa kodi 14mill, wanaolipa kodi ni 1.5 mill only...moja ya tatizo ni mfumo wa ukusanyaji kodi na inadaiwa National Ids inaweza kuwa moja ya suluhisho...

Mhhhhh sidhani kama huu uchambuzi sahii na matumzi sahii naya tija kwa ajili na National ID.

Ina maana kwenye nationa ID kutakuwa kuna data za Annual Sallary au Income ya mtu. Miongoni mwa wasiolipa kodi ni wabunge. Wht do u epxect ?????unataka alipe kodi mtu wa laki mbili wakati wa milioni 14 umuache . Au na wabunge kulipa kodi mpaka National Id.

Nationa ID zina matumizi bora zaidi ya ulipaji kodi. Ulipaji kodi ni sababu ya mwisho kabisa.
Na Chanzo cha matatizo ya kodi ni seara mbovu. . Hata kila mtu akishonewa chip mwilini na Nationa ID kwa seara zilizopo hakuna miujuza itayotokea

Usiwe na akili ya kitoza ushuru ushuru Nape. Sure naanza kupata wasi wasi na wewe. katika chama cha magamga nilikuwa najua ni miongonni mwa wenye nafuu lakini kama ndo hivi.........

Hapa inaonekana mtoa hoja hana uhakika hata kidogo na anachosema, guesswork kibao.

Kweli hapa inabdi huyu mtaalam wa CCM wanza ajifunze hiyo National Id ni nini. Kama kukusanya Kodi serikali hawajachelwa wala haitakiwi kusbiri National ID si watumie vitambulisho vya wapiga kura kuongeza idaidi ya walipa kodi.

Na sijui Kodi gani hiyo anaongelea inayolipwa a watanzania 1.5 pekee.
 
Hapa inaonekana mtoa hoja hana uhakika hata kidogo na anachosema, guesswork kibao.

Tatizo wanangangania vitaburisho badala ya kuangalia namna ya kujikwamua kwa vyazo mhimu, kodi kodi, kwanza kodi haiwezi kwamua taifa.Wakoloni walipokuja walitoza watu kodi ya kichwa na kuwekeza kwa nguvu ktk kilimo. Watu watakao komboa taifa lile ni wale wataoanza kuona kuwa kodi si chanzo cha mapato kwa taifa.
 
Heshima kwenu!
Ndugu zangu kati ya vitu ambavyo havipendezi kabisa katika dunia ya watu wastaarabu ni unafiki, nayasema haya kwa kuwa nimeyaona kwa ndugu Nape, kwenye vikao halali vilivyomteua nape na wenzie walitoka na tamko mojawapo kulaani uwepo wa JF kwa madai kuwa wanafadhiliwa na CHADEMA ili kuichafua CCM na serikali yake, kama hilo halitoshi Nape mara nyingi hutumia Facebook kuiponda JF wakati yeye ni mwanaJF pia, sasa hiki anachofanya sio unafiki? kwa nini asijitoe JF?

hivyo unasema mtu akiiponda jf basi na asiitumie au ?
mbona kila kukicha slaa na mbolwe wanashinda kuiponda ccm lkn bado wapo chini ya serikali ya ccm na wanaitambua??
 
Takwimu zinaonyesha kati ya walipa kodi 14mill, wanaolipa kodi ni 1.5 mill only...moja ya tatizo ni mfumo wa ukusanyaji kodi na inadaiwa National Ids inaweza kuwa moja ya suluhisho...

Vipi utavua lini koti la Mpendazoe mkuu?
 
Takwimu zinaonyesha kati ya walipa kodi 14mill, wanaolipa kodi ni 1.5 mill only...moja ya tatizo ni mfumo wa ukusanyaji kodi na inadaiwa National Ids inaweza kuwa moja ya suluhisho...

I disagree with you 100%. There is no economic benefit justification to National ID project in a country where only 20% of settlements are planned, how could you trace people? You cannot convince even a layman that knowing their ID could have potential benefit in a country where corruption is 120% in every aspect of life and those responsible to mitigate are afraid of taking actions against their corrupt friends. If CCM and your cronies know that there are 15mil Taxpayers why only taxing 1.5mil?, in which majority are working people who need to have disposable income to spend and raise demand which in turn will need more production and hence sustainable economy? CCM only thinks to tax low income earners and give it to their tycoons who acts as party funders via unjust contracts, so that they can return some of the money under the umbrella of contribution to the party to buy votes to retain power illegally.

The correlation between National ID and Economic benefit to the country is zero if not negative on the side of economy. You people need to think on investing money not spending like drunken sailors, you are wasting Tanzanians time and resources on nonsense, instead of creating employment and opportunity to young people who everyday they turns into “Vibaka” to steal from their fellow poor who don’t have any kind of security while your mansions are guarded by FFU using public fund. If majority of Tanzanians are employed, that is where economic benefit can realised, which is not the case by giving them IDs. The problem of CCM are good in initiating projects which have immediate economic benefit on your private pocket even if that means you have to borrowed money from other countries, which mortgages our children’s' future at the expense of your short term gains with your children and families. If I were in your position would advise the unadvisable your party chair to scrap this rubbish project.

If you have failed to know Tax payers through TIN via your corrupt cronies who are known as TRA, then I have BAJAJ to give you as ambulances and fire fighting trucks
 
@ Watalipaje kodi wakati awana ajira(kazi). Tafuteni kwanza njia za kuleta ajira then kusanyeni kodi. atutaki porojo!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom