Nape na Mwigulu Nchemba wako kijiji cha Nkinga-Igunga leo

Yaani hata hawasikiki tena kabisa, naona wahariri wameanza kazi yao. Hongereni wahariri. Kama TBSSSM wakirusha ni wachache wanatizama huko tangu walipoanza kuifanya mali ya SSM wakati ni TV ya Taifa la wenye itikadi zote.
 
Back
Top Bottom