Nape na matamshi nje ya vikao halali vya chama

shika

Senior Member
Nov 3, 2012
167
56
Kumekuwa na Malalamiko kutoka kwa wananchi na hasa kwa wanachama na wapenzi wa chama cha Mapinduzi kuwa
katibu wa Siasa na Uenezi,ndugu Nape Mnauye,amekuwa akitoa Matamko mbalimbali ya kwake binafsi na hasa yanapoleta mgongano ndani ya jamii,na yeye amekuwa akijitetea mara kwa mara kuwa yeye ni msemaji tu wa chama
mambo yote huamliwa na vikao halali.

Sasa wakuu hili swala la Dr.Slaa kumiliki kadi halali ya CCM,alilotamka akiwa mjini Mwanza,Je?inawezekana kweli ni
maazimio ya secratariate inayoongozwa na Mh.Kinana na wajumbe wengine makini kama Asha Rose Migoro,walikaa
nakukubaliana Nape,akaseme haya jukwaani?badala ya kutoa taarifa muhimu zenye maslahi kwa watu.

Mimi binafsi naamini watu makini kama hao niliowataja hawawezi kujadili upuuzi wa namna hiyo,kama ndivyo basi ni
malalamiko ya baadhi ya watu hasa wana CCM,kuwa NAPE huzungumza mambo yake mwenyewe na kwa interest za
watu anaowaunga mkono dhidi ya maadui wake wa kisiasa ndani na nje ya chama chake.

Naleta kwenu kwa mjadala mpana zaidi.
 
Uharo mwingine bhana sijui jana ulikula matoke yaliyochacha!!!usitutafutie ban bure!!!!

Mpaka sasa hapa Lumumba(Ofisi ya CCM) hapakaliki, wakati wowote Secretariety ya CCM inaweza kukaa Kikao kwa dharura kujadili mustakabali wa kauli tata zinazotolewa na makada waandamizi wa CCM na kisha zinageuka na kuonekana kama ndio msimamo wa CCM.
 
Huyo vuvuzela ndo kawaida yake kufikiri kwa kutumia masaburi
Kumekuwa na Malalamiko kutoka kwa wananchi na hasa kwa wanachama na wapenzi wa chama cha Mapinduzi kuwa
katibu wa Siasa na Uenezi,ndugu Nape Mnauye,amekuwa akitoa Matamko mbalimbali ya kwake binafsi na hasa yanapoleta mgongano ndani ya jamii,na yeye amekuwa akijitetea mara kwa mara kuwa yeye ni msemaji tu wa chama
mambo yote huamliwa na vikao halali.

Sasa wakuu hili swala la Dr.Slaa kumiliki kadi halali ya CCM,alilotamka akiwa mjini Mwanza,Je?inawezekana kweli ni
maazimio ya secratariate inayoongozwa na Mh.Kinana na wajumbe wengine makini kama Asha Rose Migoro,walikaa
nakukubaliana Nape,akaseme haya jukwaani?badala ya kutoa taarifa muhimu zenye maslahi kwa watu.

Mimi binafsi naamini watu makini kama hao niliowataja hawawezi kujadili upuuzi wa namna hiyo,kama ndivyo basi ni
malalamiko ya baadhi ya watu hasa wana CCM,kuwa NAPE huzungumza mambo yake mwenyewe na kwa interest za
watu anaowaunga mkono dhidi ya maadui wake wa kisiasa ndani na nje ya chama chake.

Naleta kwenu kwa mjadala mpana zaidi.
 
Nape ongea kila kitu hata yale ambayo yangewafaa by 2015 kwenye kampeni ongea yote then by the time mtakuwa empty!!
Mnakuwa kama mmelogwa juzi kati hapa Vasco kawaambia jibuni mapigo ya CDM na wewe umeingia mkenge kama ule wa kujivua gamba! shame on you!
 
wanasiasa kazi yao ni kujilimbikizia mali tu,hawajui kazi nyingine.Kufikiri kwao ni kama umbali wa puana mdomo.wacha wapuyange siku mambo yakiwadodea wanakimbilia lawama wakati ni ujinga
 
jamani yaani acha tu.Mtindo wa profesa kuweka uprofesa mfukoni na kuchangia maada kama mtoto wa darasa la pili utawamaliza wanasiasa wengi hasa wasomi.wao maeneo kama bungeni ni wajumbe wa bunge na kazi yao ni kusinzia baadala ya kuwa wabunge!watajiju kazi kufanya madudu na kujisifu.
 
Kumekuwa na malalamiko ya watu hasa wana CCM,kuwa katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi bwana Nape mnauye,kutoa matamko nje ya vikao halali vya chama kwa maslahi yake binafsi na watu anaowaunga mkono dhidi ya maadui wake wa kisiasa ndani na nje ya chama chake.na yeye amekuwa
kuwa ni msemaji tu,yote huamliwa na vikao halali.

Sasa hoja wakuu,kwa tamko alilotoa hivi karibuni mjini mwanza kuwa Dr.slaa ni mwanachama wa chama cha mapinduzi kwa kuwa bado anamiliki kadi hai na halalai ya chama.Je?inawezekana kweli hili nalo lilijadiliwa na secratariate inayoongozwa na mtu makini kama Mh.kinana na baadhi ya wajumbe kama Dr.Asharose Migoro.

Mimi binafsi siami kwa watu hawa makini badala ya kujadili mambo yenye maslahi mapana kwa wanachama na Taifa kwa ujumla,badala yake wajadili mambo ya kipuuzi kama haya.kama hivi ndivyo basi kunaukweli kuwa si mambo yote anayoropoka NAPE, katumwa na chama akaseme,ni yake binafsi kama ilivyomzoea jamii kuwa ni mlopokaji.
 
leprofeseli hiloooooooooooooooooooo. linacheka tihitihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. naunga mkono hata kama yalio mbele yetu ni madudu.
 
Hana jipya la kujitetea kwa wananchi ndio mana amebaki anaropoka tuu! anavyojisikia! cha msingi hebu asome alama za nyakati! kwa sasa tumetoka wapi na tunaelekea wapi aaache kulopoka hovyohovyo!:target::majani7:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom