Nape na Kinana kuunguruma Arusha leo

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..

**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA
 
Perdiem zimepata walaji! Juzi tumeskia walikuwa Mtwara, jana Tabora. Baadae tena tukaskia wapo Sumbawanga! Leo tena tunaambiwa wapo Arusha! Sijui hicho chama wanakiimarishaje? Je wanafika kwenye ngazi za Chini ambapo ndio msingi wa Chama na ndipo kwenye matatizo lukuki?

Wanaishia Mkoani alafu wanajidanganya wanaimarisha chama! Ndiyo maana Nape ananenepa na kuota kitambi (Wilson Mukama, 2012).
 
TUMBIRI,

Nimewaona mie wakikutana na mabalozi wa nyumba kumi...haijapata kutokea...Kibanda katika gazeti la Tz Daima alikiri kuwa anayebeza timu hii ya ccm kwa.sasa anahitaji kupimwa akili. Hapa swala ni kutafuta dawa ya kuwadhibiti vinginevyo.....
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..
**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA

Arusha kuwa ngome ya CHADEMA haizuwii ccm kufanya mikutano yenu hapa, pia CCM kufanya mikutano yenu hapa haizuwii Arusha kuendelea kuwa ngome ya CHADEMA.
CUF walifanya mkutano arusha sembuse nyie ccm??
Nyie pigeni sarakasi zenu lakini ukweli kuhusu arusha mnaujua vema.
 
arusha-national-park-map.gif
1337700548-sri-lankadubai-elephant-tusk-smuggling-ring-smashed-in-sri-lanka_1229245.jpg
62250_480304502014588_1278983335_n.jpg
14.JPG
 
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..

**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA
Dili la pembe za ndovu limetick!
poachers wenzake!! kwe=kwe= kwe=
Kuna nyama pori na ugali kwa kwenda mbele! wananchi kuleni lakini tunajua mioyo yenu iko wapi!
 
Wazee wa ndovu.Et waenez wa magamba.Wiz mtupu.Kwa ufupi kizaz hki siyo cha ccm elewa ewe nape na kinana.Tunataka mabadiliko na cyo swaga et mmejisafisha why hatuna ajira hadi sasa?Mnakaa mnadhuruqa kwenye mikoa ya watu kwani mmealikwa?.Watu wengne bhana!.NAPE NA KINANA CCM IMEOZA!.Kumbuken hakuna dola wala chama kilichotawala milele mbona hata Roman Empire ilikolapsi.?
 
Hiki chama kinatapatapa kishenzi!!! Hapo Arusha hawana chao labda watoe watu kutoka longido na monduli, Pia naomba askari wa maliasiri wawe makini sana kwani kuna hati hati ya kupotea tena tembo.
 
Kuna watu wengi waliamini kuwa Arusha ni ngome imara sana ya CDM, wababe wa siasa dhidi ya upinzani nchini Abrahman Kinana na Nape Nnauye wataunguruma leo jijini Arusha...na kwa hakika mapokezi yao yametisha sana kwenye uwanja wa ndege wa Arusha..

**kivutio ilikuwa ni uwepo wa Edward Lowassa kumpokea asimu wake mkubwa kisiasa Nape Nnauye...

HABARI ZAIDI MCHANA KADRI MKUTANO UNAVYOKWENDA

chama cha mashetwani. Puuuuu...!
 
Mimi ninachoona hapa ni kwamba CCM wanafanya michezo ya kuigiza kwa faida ya matumbo yao na wala si kwa faida ya taifa. Hii ni timu iliyoundwa mahususi si kwa ajili ya kuimarisha chama, bali ni kwasababu ya kuwarubuni watanzania kwa kuwapiga changa la macho kwamba CCM ni chama bora na kimejiboresha.

Hali hii ya kuwarubuni watz haina lengo la kuwaletea maendeleo au kuwaonyesha ni kwa kiasi gani wameendelezwa na sera za CCM, bali ni kuwashawishi kuichagua CCM mwaka 2015 bila kujali ubora wake au udhaifu wake. Na watanzania kwa jinzi tulivyo wepesi kudanganyika, usishangae mwaka huo tukaipigia CCM kura na kuipitisha kwa kishindo.

Mara baada ya kupita kwa kishindo CCM itarejea utamaduni wake uleule wa Ufisadi, Hujuma kwa uchumi wa taifa, hatimaye kuyafanya maisha ya watanzania kuwa magumu zaidi kuliko ilivyo hivi sasa. Hapo ndipo tutakapokurupuka na kuanza kulia na CCM lakini itakuwa too late.

Nasema tukiipitisha CCM 2015 yatakayotokea ni kilio na kusaga meno. Msishangae kilo ya Sukari tukaja kuinunua kwa Tsh.5000. Kuna usemi wa kichina usema, "usilaani giza, bali washa mshumaa". Ni kweli kabisa giza hata ungelilaani namna gani haisaidii kitu, ni lazima ufanye jambo.

Na sisi watanzania matatizo ya nchi hii yanayoletwa na CCM hata kama tungeyalaani mpaka wapi hayataisha kamwe mpaka siku tutakapochukua uamuzi mgumu na kufanya lisilotazamiwa, yaani kuitema CCM 2015. Vinginevyo, wimbo wetu utakuwa ni ule ule, you mark my words.
 
Nitafurahi zaidi kuona picha za mkutano wenu,picha za mabasi mliyokodi kwa ajili ya kusomba watu kujaza mkutano,picha za maboksi ya t shirt, kofia, kanga na vilemba ambazo mnagawa siku mbili kabla ya mikutano yenu.

Nitafurahi kuona picha za pikipiki ambazo mtakodi sijui Arusha itakuwa shilingi ngapi ila Sumbawanga ilikuwa buku kumi,viongozi wakataka kuchakachua kama kawaida yenu jamaa wakastuka na kutaka kulianzisha.

Nitafurahi kuona picha za wale mliowasomba wakiwa wanarudi makwao na furaha ile ile watakayoionyesha wakiwa kwenye mkutano.

Nitafurahi sana mkuu na nasubiri kwa hamu sana hizo picha.
 
Back
Top Bottom