Nape na Facebook

Leo nimepita kwenye facebook wall ya Nape Nnauye nimekuta ameandika maneno haya na nanukuu: "Maneno yako Baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miishio yao twaishuhudia ni mibaya". Mwisho wa kunukuu.

My concern ni kwamba Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere aliitabiria vibaya Chama Cha Mapinduzi husasani tabia yake ya kushindwa kukabili vitendo vya ufisadi wa viongozi wake waliopo serikalini na kuwakumbatia wafanyabishara na kuwasahau wakulima na wafanyakazi. Baadae kabisa wakati wa vuguvugu la vyama vingi alikuja hata kukitabiria CHADEMA kama chama makini na kinachoweza kuchukua dola siku za usoni baada ya CCM.

Je kauli hii ya Nape mbona inapingani na ile aliyoitoa mara baada ya Uchaguzi mdogo wa Igunga kwamba mvuto wa CCM umeimarika?

Source: David Kafulila | Facebook
:crutch:
FACE BOOK ni ya Nape au DAVID KAFULILA??? Manake hii link inanipelekwa kwa FB ya NAPE wakati source ni DAVID KAFULIA FB.

ANYWAYS,

NAPE naona kapoteza mwelekeo na pengine ana laana, yaani hata kaburi la Mzazi wake ameshindwa kuliweka vizuri!!

Nape Nnauye‎"..Ulikua mzazi wa aina yake, leo najivunia malezi yako.."

Mobile Uploads

Nape Nnauye
‎"Katibu Mwenezi CCM ajaye"????

Mobile Uploads

[NAPE naona kapoteza mwelekeo na pengine ana laana, yaani hata kaburi la Mzazi wake ameshindwa kuliweka vizuri!!

Nape Nnauye‎"..Ulikua mzazi wa aina yake, leo najivunia malezi yako.."

Mobile Uploads

Nape Nnauye
‎"Katibu Mwenezi CCM ajaye"????

Mobile Uploads

[/QUOTE]

Haaa! Yani hilo hapo juu ndo kaburi la Mzee Moses Nnauye. Yani Nape kashindwa hata kuliwekea Marumaru za bei rahisi. Yani Katibu Mwenezi Mzima! Tena wa CCM Taifa! Haha haha haha haha Nape. Ona nyasi zilivyooteana pembeni jamani! Kaburi hili nalifananisha na yale ya Wakulima wa Mikorosho kule Masasi alipokuwa Mkuu wa Wilaya. Nape unamdharirisha mdingi bwana!
 
Huyu Nape pengine alizaliwa na tatizo la Asyphixs yaani upungufu wa Oksijeni ambao huwa unaweza kupelekea upungufu wa fikra ni mtu ambaye ana uwezo wa kuvuma kama upepo tu pasi fikra makini wala mantiki na kuweweseka kwingi. Mwacheni aweweseke yawezekana hana muda mrefu wa kuishi namshauri akacheki damu maana huenda tayari amepewa sumu

Leo nimepita kwenye facebook wall ya Nape Nnauye nimekuta ameandika maneno haya na nanukuu: "Maneno yako Baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miishio yao twaishuhudia ni mibaya". Mwisho wa kunukuu.

My concern ni kwamba Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere aliitabiria vibaya Chama Cha Mapinduzi husasani tabia yake ya kushindwa kukabili vitendo vya ufisadi wa viongozi wake waliopo serikalini na kuwakumbatia wafanyabishara na kuwasahau wakulima na wafanyakazi. Baadae kabisa wakati wa vuguvugu la vyama vingi alikuja hata kukitabiria CHADEMA kama chama makini na kinachoweza kuchukua dola siku za usoni baada ya CCM.

Je kauli hii ya Nape mbona inapingani na ile aliyoitoa mara baada ya Uchaguzi mdogo wa Igunga kwamba mvuto wa CCM umeimarika?

Source: David Kafulila | Facebook
 
Mi sioni hukumu ya Nape,tatizo nikumwekea tafasri-kinywani.kunatafauti kubwa sana kati ya mawazo ya Nape na mtowa maana.
Dah JF imetoka mbali sana yaani Makonda alikuwa anakesha humu kumtetea nape leo hii kamgeuka!! Kazi kwelikweli
 
Nape kakalia kuti kavu,ajitathmini.
Ni bora aachane na vijembe afanye kazi mmoja tu ya ubunge.
Akumbuke huu ni utawala tofauti na alivyokuwa amezoe kutisha nyau hapa kuna chui.
Na akizidi kujichanganya ataishia Mtama hadi 2025 nako kuna uzao mpya na mambo mapya.
 
Kila mtu kaelewa na kutafsiri kivyake kauli hii ya mwalimu
Leo nimepita kwenye facebook wall ya Nape Nnauye nimekuta ameandika maneno haya na nanukuu: "Maneno yako Baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miishio yao twaishuhudia ni mibaya". Mwisho wa kunukuu.

My concern ni kwamba Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere aliitabiria vibaya Chama Cha Mapinduzi husasani tabia yake ya kushindwa kukabili vitendo vya ufisadi wa viongozi wake waliopo serikalini na kuwakumbatia wafanyabishara na kuwasahau wakulima na wafanyakazi. Baadae kabisa wakati wa vuguvugu la vyama vingi alikuja hata kukitabiria CHADEMA kama chama makini na kinachoweza kuchukua dola siku za usoni baada ya CCM.

Je kauli hii ya Nape mbona inapingani na ile aliyoitoa mara baada ya Uchaguzi mdogo wa Igunga kwamba mvuto wa CCM umeimarika?

Source: David Kafulila | Facebook

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom