Nape na Facebook

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Leo nimepita kwenye facebook wall ya Nape Nnauye nimekuta ameandika maneno haya na nanukuu: "Maneno yako Baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miishio yao twaishuhudia ni mibaya". Mwisho wa kunukuu.

My concern ni kwamba Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere aliitabiria vibaya Chama Cha Mapinduzi husasani tabia yake ya kushindwa kukabili vitendo vya ufisadi wa viongozi wake waliopo serikalini na kuwakumbatia wafanyabishara na kuwasahau wakulima na wafanyakazi. Baadae kabisa wakati wa vuguvugu la vyama vingi alikuja hata kukitabiria CHADEMA kama chama makini na kinachoweza kuchukua dola siku za usoni baada ya CCM.

Je kauli hii ya Nape mbona inapingani na ile aliyoitoa mara baada ya Uchaguzi mdogo wa Igunga kwamba mvuto wa CCM umeimarika?

Source: David Kafulila | Facebook
 
Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,509
Kumjadili nape hata jf ni upuuzi kabisa! Alikana hata yale aliyotuandikia hapa wakati tumeshajadili vya kutosha. Tusipoteze muda wetu!
 
faithful

JF-Expert Member
Aug 10, 2010
379
32
Kumjadili nape hata jf ni upuuzi kabisa! Alikana hata yale aliyotuandikia hapa wakati tumeshajadili vya kutosha. Tusipoteze muda wetu!

kuna wenzio hapa bila kumtaja nape au vicky kamata basi hawapati usingizi usiku!
 
Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,208
1,749
mwacheni. Mmeshaambiwa dogo ana stress za kufa mtu. He is fixed. Hapo ana maana nyingi sana na ni yeye tu anajua kwa nini kaandika hivyo
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
18,518
11,265
Kuna single mpya ya CCM wanaimba hivi "ACHA WASEME CHAMA CHA MAPINDUZI KINA WENYEWE" imeimbwa na (tunyenye) Komba.
 
Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,957
611
Nape hana hoja, kageuka kuwa kijana wa mipasho, Jahazi itabidi wampe featuring
 
Paul Makonda

Member
Jul 8, 2011
97
183
Leo nimepita kwenye facebook wall ya Nape Nnauye nimekuta ameandika maneno haya na nanukuu: "Maneno yako Baba yanaishi, uliyoyasema yanatimia, wanaojaribu kuyapinga yanawapinga wao na miishio yao twaishuhudia ni mibaya". Mwisho wa kunukuu.

My concern ni kwamba Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere aliitabiria vibaya Chama Cha Mapinduzi husasani tabia yake ya kushindwa kukabili vitendo vya ufisadi wa viongozi wake waliopo serikalini na kuwakumbatia wafanyabishara na kuwasahau wakulima na wafanyakazi. Baadae kabisa wakati wa vuguvugu la vyama vingi alikuja hata kukitabiria CHADEMA kama chama makini na kinachoweza kuchukua dola siku za usoni baada ya CCM.

Je kauli hii ya Nape mbona inapingani na ile aliyoitoa mara baada ya Uchaguzi mdogo wa Igunga kwamba mvuto wa CCM umeimarika?

Source: David Kafulila | Facebook

Mi sioni hukumu ya Nape,tatizo nikumwekea tafasri-kinywani.kunatafauti kubwa sana kati ya mawazo ya Nape na mtowa maana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom