Nape mnauye, uv-ccm, u-dc na sasa ndani ya sekretarieti ya chama! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape mnauye, uv-ccm, u-dc na sasa ndani ya sekretarieti ya chama!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bwegebwege, May 14, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu Nape Nnauye si ndiye yuleyule waliwachachafya wenzake ndani ya UV-CCM kuhusianana na mkataba wa jengo la Umoja wa Vijana...hadi CCM wakamto akwenye kinyang'anyro cha uongozi kwa kuwa "hafai"??

  Huyu si ndiye yule yule JK alimpa U-DC (huku ndani ya Chama alishaitwa muasi na mwenye jazba na mwenye siasa za kulipiza kisasi??

  Si ndiye huyu throughout the Campain tulikuwa tunafuatilia "vijembe vyake" hadi kwa wana-CCM wenzie kupitia ukurasa wake wa Facebook?

  Hivi ndiye huyu huyu tena leo CCM wanamuona anafaa kupewa uongozi...uenezi wa siasa za chama?

  Hebu msitake nicheke mie...najionea vituko tu
   
Loading...