Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

Kwenye ITV jana Habari Mh.Mbowe amesema anaoushahidi wa Video na silaha zilizotumika.Pia anajua wazi polisi wa FFU ndio walilipua bomu lile kwa maagizo ya serikali.
MH.MBOWE,
1.Hayo maagizo ya serikali ulipoyapata kwanini hukupeleka polisi au kupeleka malalamiko yako kwenye vyombo vya habari kwamba serikali inapanga kutipua?Je huoni kama Una spin kwa mtindo wa kujifunga ww mwenyewe?
2.Unaposema Unavideo.Hiyo video ilichukuliwa na nani wakati bomu linalipuka?Huoni kama uliandaa wachukua video?.

Naomba tukumbushe, kwani ule mkasa wa Marehemu Daudi Mwangosi kule Iringa ilikuwaje? Si uliona picha na video zikionesha matukio mpaka utekelezaji wa mauaji. Inamaana pia Mbowe alipanga mauaji na polisi wetu na kuwachukua picha. Kweli watanzania tumekuwa wajinga kwa ushabiki usio na msingi.
 
INATIA SHAKA KUONA KAULI ZA MWANASIASA HUYU NA HASWA KTK KIPINDI HIKI AMBACHO KUNA FAMILIA ZIKO KWENYE MAJONZI MAKUBWA YA KUONDOKEWA NA NDUGU ZAO ETI KWA AJILI YA SIASA ! TENA ZA KUGOMBEA UMILIKI WA MJI WA ARUSHA UNAROPOKA MAMBO YA AJABU NAMNA HII.

HIVI ATA KAMA NI PROPAGANDA ZA KISIASA NA KUJIHAMI HIVI UNATHUBUTU KUTOA TUHUMA ZA KIJINGA NAMNA HII? "ETI CHADEMA WAMEJILIPUA WENYEWE" NAPE UMEKUWA NA KAULI NYINGI SANA TATA KIASI CHA BAADHI YA WATU KU- QUESTION WELEDI WAKO, LKN HII YA SASA IMEPITILIZA,ingiwa mimi ni mwana ccm mfu TENA NA KADI NINAYO ( SIILIPII LKN) KWA KAULI YAKO HII SIKUUNGI MKONO HATA NUKTA, MAANA NDO UNAZIDI KUPANDIKIZA CHUKI YA WANANCHI KWA CHAMA NA SERIKALI YAO.
HATA KAMA NI USHINDANI WA KISIASA BASI SI NAMNA HII, YA KU-PLAY DIRTY POLITICS KWENYE UHAI WA WATANZANIA. PLEASE STOP IT
CC. NAPE
Babumsemaovyo.What potential output do you expect from a bitch boy?, a cursed boy.
 
Last edited by a moderator:
INATIA SHAKA KUONA KAULI ZA MWANASIASA HUYU NA HASWA KTK KIPINDI HIKI AMBACHO KUNA FAMILIA ZIKO KWENYE MAJONZI MAKUBWA YA KUONDOKEWA NA NDUGU ZAO ETI KWA AJILI YA SIASA ! TENA ZA KUGOMBEA UMILIKI WA MJI WA ARUSHA UNAROPOKA MAMBO YA AJABU NAMNA HII.

HIVI ATA KAMA NI PROPAGANDA ZA KISIASA NA KUJIHAMI HIVI UNATHUBUTU KUTOA TUHUMA ZA KIJINGA NAMNA HII? "ETI CHADEMA WAMEJILIPUA WENYEWE" NAPE UMEKUWA NA KAULI NYINGI SANA TATA KIASI CHA BAADHI YA WATU KU- QUESTION WELEDI WAKO, LKN HII YA SASA IMEPITILIZA,ingiwa mimi ni mwana ccm mfu TENA NA KADI NINAYO ( SIILIPII LKN) KWA KAULI YAKO HII SIKUUNGI MKONO HATA NUKTA, MAANA NDO UNAZIDI KUPANDIKIZA CHUKI YA WANANCHI KWA CHAMA NA SERIKALI YAO.
HATA KAMA NI USHINDANI WA KISIASA BASI SI NAMNA HII, YA KU-PLAY DIRTY POLITICS KWENYE UHAI WA WATANZANIA. PLEASE STOP IT
CC. NAPE
Wanaccm wafu wanazidi kukata tamaa kama watafufuka. Baada ya vita ya magamba yanayomiliki chama chao kushindwa sasa wanapeleka vifo kwa upinzani. Nape you have dissapointed us. Eti wapinzani wanauana wenyewe kwa wenyewe. Sasa tunaelewa vizuri zaidi maana hata wale waliomuua padri walisema 'wanauana wenyewe kwa wenyewe'
 
Something very wrong with today's politics...wanatengeneza haya majanga kwa faida ya nani?
 
Kila mmoja angeona pointi kwa Nape kama angetuhakikishia kwamba CDM iliwatelekeza na CCM ndio wakawahudumia. Lakini mtu mzima na akili zake anasema naipongeza Serikali, hivi huyu anajua nini kazi ya serikali?. Hili ndio tatizo la viongozi wa kuteuliwa, daiama ni kumpendezesha bwana mkubwa. hapo alipo ni cheo gani aligombea na kuchaguliwa na jamii.:suspicious:
 
Kwenye swala la Mwangosi.Aliyetoa Video na Picha ni mwandishi wa Mbowe(Tanzaniadaima)aliyeandaliwa kuchukua Video na picha maalumu kwa matukio kama haya.
Baadaa ya tukio lile Mbowe akamtuma mwandishi yule akawe wakwanza kuongea kwenye tv.
Hizi ndio mbinu za Mbowe,na Arusha amerudia tena kupanga haya mauaji.
 
so, why shock!!! Mh. Msigwa alivyosema rasmi Bungeni juu ya akili ndogo kutawala akili kubwa ulielewa nini!?
Hebu angalia kauli zote zilizotolewa na watawala kuanzia ngazi za chama kama hazithibitishi hilo!
 
Watanzania wasilikilizeni vizuri viongozi wa CCM kuna vingi vya kuelewa wanapo jaribu kulipeleka taifa hili. Sote tufahamu kuwa tayari tumekwisha kinywea kikombe na kutoka humo tulimo ni muujiza!
 
DSC08363.JPG

Kazi za CCM, kushinda uchaguzi.
Madhara wayapatayo wa TZ wenzetu kwakumkumbatia shetani (CDM) ilhali anawaangamiza.
 
Chiz---i , huishi vituko?
Sasa una shangaa nini? au umbea tu ndio una kusumbua?

Kama chadema walitoa ahadi hewa kwa wahanga ili jamii ijue kuwa chadema imeguswa na tukio lile, ni dhahiri mtu aseme ukweli kuhusu uongo wao.

chadema all they are doing is seeking cheap popularity.
 
Kila mmoja angeona pointi kwa Nape kama angetuhakikishia kwamba CDM iliwatelekeza na CCM ndio wakawahudumia. Lakini mtu mzima na akili zake anasema naipongeza Serikali, hivi huyu anajua nini kazi ya serikali?. Hili ndio tatizo la viongozi wa kuteuliwa, daiama ni kumpendezesha bwana mkubwa. hapo alipo ni cheo gani aligombea na kuchaguliwa na jamii.:suspicious:
on red, are you serious!???
 
Kwenye swala la Mwangosi.Aliyetoa Video na Picha ni mwandishi wa Mbowe(Tanzaniadaima)aliyeandaliwa kuchukua Video na picha maalumu kwa matukio kama haya.
Baadaa ya tukio lile Mbowe akamtuma mwandishi yule akawe wakwanza kuongea kwenye tv.
Hizi ndio mbinu za Mbowe,na Arusha amerudia tena kupanga haya mauaji.
Wee Taswira, huna hata siku nyingi tangu umetoka CHADEMA, na unaifahamu vema kabisa kwamba CHADEMA siku zote ni innocent. Hujisikia hata aibu au hali ya kusutwa moyoni mwako pale unapoamua kusimama hadharani na kushuhudia kile ambacho nafsi yako mwenyewe inakikataa? Hizi miambili miambili za CCM zinaweza kuwafanya watu wenye akili timamu kuwa kama wendawazimu sometimes. Hebu waoneeni huruma watanzania wale waliopoteza maisha bila hatia.
 
Back
Top Bottom