Nape: Mjinga akielimishwa huacha ujinga wake, ndio ya barabara, maji sio sawa na ndio ya Korosho. Kama hujui kaa kimya

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Hii Twitte ya mh Nape sijamwelewa,aliyemwelewa anisaidie tafadhali
IMG-20190223-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww unataka umwelweje mkuu wakat kasema vtu clear kabisa??kama hujaelewa basi hauhusiki,inaowahusu wameielewa sana, kwny hii awamu watu pekee ambao mpaka saiz tuko salama ni sisi wakata nyasi za kulisha mifugo tu, wengine wote have gone through disgusting moments,fully oppresed,hata vitambulisho vyao sisi hatukulengwa na tunapiga vifaida vidogovidogo kila trip ya nyasi,msione aibu nyie wasomi,karibuni kwny sekta ya nyasi,had sasa ni sekta pekee ambayo iko salama
 
kama bado ni mwana CCM ni mnafiki kama wenzake wote, huwezi kukaa kwenye chumba chenye kinyesi alafu uwe unalalamika tu chinichini lakini kutoka nje hautaki! kama haukubaliani na hali ya mambo toka huko uliko!!
 
U
Saizi nayeye anapata utamu,.

Kweli kila mtu ataonja na kuona jinsi bwana alivyo mwema.[/QUOTuzuri ni kuwa kwenye korosho msimamo wake ulijulikana na sasa anathibitisha kuwa aliona mbali waliomsema vibaya ni wakati wa kufikiri upya.this time akina nape,ghasia,katani,zitto nk.waliopinga ni heroes lazima ikubalike hivyo bila chenga
 
Back
Top Bottom