NAPE; Mimi nakataa kabisa wewe si chanzo SAHIHI cha Habari!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE; Mimi nakataa kabisa wewe si chanzo SAHIHI cha Habari!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meitinyiku L. Robinson, Nov 23, 2011.

 1. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale waliobahatika jana kusikiliza na vile vile kuona Taarifa ya Habari hasa kupitia TBC walimshuhudia Nape alivyokuwa akizungumza na waandishi wa Habari kwa majigambo na kwa nguvu akishurutisha kuaminika kwake na kutambuika kwamba yeye ndiye chanzo Sahihi kinachotakiwa kutoa habari kwa waandishi ili waandishi nao wapeleke kwa wananchi.

  Hili binafsi nalipinga na sina haja ya kuliamini hata kidogo, toka Mwaka huu Bwana Nape amekuwa akitoa habari tka ndani ya vikao vya Chama na habari zote alizowahi kuzitoa Nape zimekuwa zikipingwa hadharani ama na wakuu wake ndani Chama hicho hicho ama Makada wenzie jambo linalonipelekea kuamini kuwa habari azitoazo Nape hazina ithibati na ni za kwake binafsi na hili ndilo hasa linalopelekea waandishi wa habari na hata wananchi kupoteza imani kwa Bwana na kuanza kuandika habari kwa hisia.

  Lakini la pili lililonikera zaidi ni pale Nape alipozungumza tena kwa kujigamba kuwa viongozi wa CHADEMA wanakwenda kuonana na Mwenyekti ya Chama chao this is nonsense na upuuzi uliokithiri na upunguani vile vile na hili linatokana na kutoshirikisha vyema viungo vya mwili majibu haya ni ya jumla na hayawezi toka kinywani mwa mtu ambaye kinywa hicho hicho anakitumia kwa kusalimia watu na viongozi wake na kwa kuabudia........... Its ridiculous na vitu kama hivi ndivyo visivyohitaji Itikadi wakati mwingine.

  Ninachoelewa (emphasis is mine) Viongozi wa CHADEMA wanakwenda kuonana na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ period! Hii maneno ingine ni ubatili usio na tija.... And the president was happy kwa hilo kwa sababu watu wanakwenda pale kuzungumzia Taifa sasa wakati mwingine inakera sana yani kila kitu Chama, Chama, Chama.......
   
 2. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi alivyokuwa anajichanganya jana! Mara Ooh, Mambo ya UVCCM lazima wayatolee uamuzi kwenye Kamati Kuu. Mara Ooh, hatufanyi kazi kwa kupitia maneno ya vyombo vya habari labda tu UVCCM wangeyaleta kwenye vikao vya chama ndio tungewajadili kwenye Kamati Kuu!

  Huyu mtu hivi ana elimu gani! Au ndo degree za magumashi!?
   
 3. M

  Malova JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  lazima aongeongee ili afahamike. lakini kiukweli hana lolote
   
 4. P

  Papushka Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In short huyo ni new Tambwe Hizza!
  tofauti mwenzake alikuwa kwenye Propaganda=uongo, ila huyu ni katibu uenezi na itikadi sasa labda itikadi zao ni kueneza upotoshaji.
   
 5. r

  raffiki Senior Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijasoma sana mada yako nimefatilia tu hitimisho lake, naomba niweke maana sawa kwa kusema wanaenda kuonana na rais..... Nafikiri na nilivyochukulia mie ni kuwa chadema wanaenda kujadili issue yao na taasisi nyingine ya dola, maana bunge wameshindwa kuelewana...

  CCM tuwe makini na hili tuwaelewe tusibweteke.
   
 6. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kitengo cha propaganda kimefutwa, huenda kimeunganishwa na ofisi ya nape, kimsingi sioni tofauti kubwa ya uenezi na propaganda.
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kiazi kweli kweli huyo nape
   
 8. M

  Mr. Clean Senior Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo ni Nape na TBC walofanya hayo mahojiano,

  kama uliangalia vizuri, walikuwa nyuma ya ukumbi mafichoni, kny ukuta hata kamera man alikuwa too close,

  nahapakuwa na chombo kingine cha habari!

  so ule ulikuwa ni mwendelezo wa propaganda za hiki chombo cha habari plus Nnauye!


  TUSITARAJIE ASALI KWENYE RUNDO LA INZI TENA WA CHOONI....!
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana hata ombi lilipokubaliwa lilitolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu
   
 10. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Anawazimu huyu, kwani barua iliandikwa kwa m/kiti au rais???
   
 11. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kijana hajielewi ndo maana anasema asichokijua
   
 12. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nape alimeza tonge ambalo haliwezi na sasa anajaribu kulitema. Kama hakusema kujivua gamba mbona Rostam alijivua gamba na huku akimtuhumu Nape kwa kupotosha maamuzi ya NEC?

  Ni mwiko na aibu mtu kula matapishi.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hizo taarifa rasmi za vikao vya chama (ccm) utazipatia wapi kama si kwa nape?
   
 14. zimmerman

  zimmerman JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 80
  Mimi nilivyosoma tamko la maazimio ya Chadema kukutana na rais ni kwamba wanaenda kujadiliana na rais kuhusiana na msimamo wa Chama kuhusiana na katiba. Mswada umepelekwa kwa rais ili ausign ili iwe sheria. Na bila shaka JK atausign na itakuwa sheria. Chadema wanaenda kurusha karata kwa rais waone kama wanaweza kumshawishi asiusign. Na hawataweza kumshawishi.

  Baada ya kulishawishi bunge likakataa na kumshawishi rais akakataa, Chadema watarudi kwa wananchi na kutueleza yote. Kitakachobaki sasa ni maamuzi yetu sisi wananchi kuhusiana na katiba...... Mimi ninachoona hapa ni kwamba Chadema wanajitahidi kufata njia zote ziwekenazavyo za kistaarabu na kiungwana kuepusha huu muswada wa ajabu kuwa sheria.
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,783
  Likes Received: 36,779
  Trophy Points: 280
  mtoto anatapatapa huyu, ameshonwa mdomo shuhuli yake imeisha rasmi.
   
 16. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ila mwenezi kasema wanaenda kuonana na mwenyekiti wa chama. Kwa mchanganuo wa haraha haraka huo sio uchochezi?
   
 17. G

  Geru Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I agree with you 100%
   
 18. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180

  Ninachoelewa (emphasis is mine) Viongozi wa CHADEMA wanakwenda kuonana na RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ period! Hii maneno ingine ni ubatili usio na tija.... And the president was happy kwa hilo kwa sababu watu wanakwenda pale kuzungumzia Taifa sasa wakati mwingine inakera sana yani kila kitu Chama, Chama, Chama.......
  [/QUOTE]

  Ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Chadema wanaenda kuonana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Hapa ni kujidanganya kutenganisha vyeo hivyo.
  Akishazungumza na Chadema ataenda kutoa taarifa kwenye vikao vyao vya Kamati Kuu na NEC na mwishowe watamshauri.
   
 19. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Usanii
   
 20. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Labda anataka kujiimarisha katika jitihasa za kuijenga upya CCJ
   
Loading...