NAPE, MBOWE NA Dr SLAA KATIKA MAZISHI YA MPIGANAJI BOB MAKANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAPE, MBOWE NA Dr SLAA KATIKA MAZISHI YA MPIGANAJI BOB MAKANI

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ng'wamapalala, Jun 11, 2012.

 1. Ng'wamapalala

  Ng'wamapalala JF Gold Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 6,332
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 145
  Mchezo wa Siasa ni zaidi ya watu wa kawaida tujuavyo!!.
  (Picha kutoka Michuzi blog)
   

  Attached Files:

  • 2B.jpg
   2B.jpg
   File size:
   171.5 KB
   Views:
   381
  • 3 (4).jpg
   3 (4).jpg
   File size:
   128.5 KB
   Views:
   332
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  MMmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhh haya yangu macho ila jamani sio kwamba jamaa anafanya booking ya kiti akija CDM? gnt
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ukisikia vicheko vya kinafik ndio hivyo, msibani watu wakenue meno namna hiyo? wote wanafik.
   
 4. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba...................
   
 5. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Habari dada eliza, nitafurahi kukujua zaidi!
   
 6. B

  Bob G JF Bronze Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nimekumbuka enzi za Mwalimu ambapo wagombea wa ubunge walipanda gari moja na wote walihutubia pamoja. Unafiki huu wa Nape Tusingeuona inaelekea Nape anawasema viongozi wa CDM vibaya huku anawapenda coz wako mbali nae! Mh Mbowe utafikiri anamshangaa Nape na kusema si ndo huyu katutukana Jumamosi CHADEMA SQUARE?
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  hahahaaaaa ngoja nikakoj.o,e nilale mie, ukiwaza sana utaumiza kichwa bure
   
 8. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Siasa ni mchezo mbaya sana, shabiki asipokuwa makini ataumia wakati wachezaji wakiwa wanapeta tu. Ni hayo tu
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 9. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,112
  Trophy Points: 280
  Siasa ni mchezo mbaya sana, shabiki asipokuwa makini ataumia wakati wachezaji wakiwa wanapeta tu. Ni hayo tu
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 10. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #10
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  We Tume ya katiba wewe...........umeyaona ya Nape na Slaa unataka tuyaendeleze au?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Siasa siyo uadui. waungwana ,jaribuni kufuatilia siasa za Ulaya Magharibi na Marekani
  muone Wanasiasa wanavyozungumza na kufurahi pamoja bila kujali Itikadi zao za kisiasa.

   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,069
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  Jamani Dr. Slaa ni Rais tizama haiba yake...
   
 13. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Hapana Elizabeth Dominic nafikili hii picha uliyoitumia ndio imenifanya nitake kukufahamu zaidi, Nafikili sio kosa, ni muhimu member kufahamiana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Kwani kuna ubaya gani?
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nadhani ushanifahamu maana i'm a verified user na hiyo ndio picture yangu..........kuna ziada ndugu yangu?
   
 16. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #16
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hakuna ubaya
   
 17. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Loh! Umekuwa mkali sana!
   
 18. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pelekeni hizi swaga Love connect.
   
 19. paty

  paty JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  :A S thumbs_down: = naona unaimbisha , thumbs down
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Enzi hizo kulikuwa kuna upinzani?
   
Loading...