Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli

Nyoookoo
 
Naa naamini hapa katikati ya mwezi lazima ataanzisha arambee nyingine,ili wale malodi lo.. wachange tena!Hela tamu bhana!mpaka uchaguzi ufanyike jamaa ataingia kwenye utrilionea sasa??

Hahahahahaha

Shikamoo mbowe
 
Tamaa ya Mbowe ni kupiga tuu. Pamoja na elimu yake ndogo lakini anasumbua graduate na Phd kama watu wa bodaboda.

Yaaan mbowe angepata tu ka certificate
Angetawala dunia

kama saiv ana div zero ya fom six
Lakin tundu lisu na masters ya sheria kutoka uingreza warwick university pamoja na uwakili wake lakin kwa dj mbowe hafui dafu

shikamoo mbowe
 
Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia mwenendo wa kampeni za wagombea urais wa chadema mikoani .La kustaajabisha watu wanaozunguka au wanaokisemea chama asilimia 99 wanatokea CCM "A" kwa maana ya kwamba ni waliokua makada wa chama cha mapinduzi waliohamia ukawa kumfata lowassa. Vile vichwa vyenyewe vyenye chama ambavyo wakati vinapigwa mabomu ya kutoa machozi ha wa makada walikua CCM wanakula tu viyoyozi wameachwa nyuma kwenye suala zima la kampeni.Simsikii john mnyika , simsikii huyo mwenyekiti mwenyewe mbowe wala salum mwalim simsikii tena .Jumuiya ya wanawake chadema BAWACHA imetekwa na mama regina lowassa imekua bawacha nk regina na regina ni BAWACHA.Jumuiya ya vijana chadema imetekwa na kundi la 4 U movement.Sasa najiuliza ina maana lowassa hawaamini viongozi wa chadema kiasi kwamba kwamba kampeni zake zimekua zinaratibiwa na kuongozwa na taasisi / mfumo wake aliouunda tangu akiwa CCM?.
Kwa hali hii nazidi kuamini kwamba mbowe kauza chama kwa mfumo lowassa maana lowassa sasa hivi ana nguvu kuliko mwanachama au kiongozi yeyote yule wa chadema.
 
endelea kuota huku unatembea muda si mrefu tutasikia umepigwa defrao na bodaboda.watc out kiuno chako maana ndo kitakachoathirika.
 
kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia mwenendo wa kampeni za wagombea urais wa chadema mikoani .la kustaajabisha watu wanaozunguka au wanaokisemea chama asilimia 99 wanatokea ccm "a" kwa maana ya kwamba ni waliokua makada wa chama cha mapinduzi waliohamia ukawa kumfata lowassa. Vile vichwa vyenyewe vyenye chama ambavyo wakati vinapigwa mabomu ya kutoa machozi ha wa makada walikua ccm wanakula tu viyoyozi wameachwa nyuma kwenye suala zima la kampeni.simsikii john mnyika , simsikii huyo mwenyekiti mwenyewe mbowe wala salum mwalim simsikii tena .jumuiya ya wanawake chadema bawacha imetekwa na mama regina lowassa imekua bawacha nk regina na regina ni bawacha.jumuiya ya vijana chadema imetekwa na kundi la 4 u movement.sasa najiuliza ina maana lowassa hawaamini viongozi wa chadema kiasi kwamba kwamba kampeni zake zimekua zinaratibiwa na kuongozwa na taasisi / mfumo wake aliouunda tangu akiwa ccm?.
Kwa hali hii nazidi kuamini kwamba mbowe kauza chama kwa mfumo lowassa maana lowassa sasa hivi ana nguvu kuliko mwanachama au kiongozi yeyote yule wa chadema.

at least umekubali kuwa ana nguvu hivyo anakubalika,the end justfies the means!!!!!!!!!!
 
Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia mwenendo wa kampeni za wagombea urais wa chadema mikoani .La kustaajabisha watu wanaozunguka au wanaokisemea chama asilimia 99 wanatokea CCM "A" kwa maana ya kwamba ni waliokua makada wa chama cha mapinduzi waliohamia ukawa kumfata lowassa.

Vile vichwa vyenyewe vyenye chama ambavyo wakati vinapigwa mabomu ya kutoa machozi ha wa makada walikua CCM wanakula tu viyoyozi wameachwa nyuma kwenye suala zima la kampeni.Simsikii john mnyika , simsikii huyo mwenyekiti mwenyewe mbowe wala salum mwalim simsikii tena .

Jumuiya ya wanawake chadema BAWACHA imetekwa na mama regina lowassa imekua bawacha nk regina na regina ni BAWACHA.Jumuiya ya vijana chadema imetekwa na kundi la 4 U movement.Sasa najiuliza ina maana lowassa hawaamini viongozi wa chadema kiasi kwamba kwamba kampeni zake zimekua zinaratibiwa na kuongozwa na taasisi / mfumo wake aliouunda tangu akiwa CCM?.

Kwa hali hii nazidi kuamini kwamba mbowe kauza chama kwa mfumo lowassa maana lowassa sasa hivi ana nguvu kuliko mwanachama au kiongozi yeyote yule wa chadema.


Unajua maana ya ALWATAN,? kama sikosei ni Homeland, lakini kwetu hapa Ukiitwa hivo unakuwa na heshima kias flani. Wewe ni bingwa wa kuanzisha thread za hisia. Juzi umezusha kuwa MTIKILA kauwawa hadi ndugu zake wamekana wewe bado ukakomaa tu. Kwanza inabidi Ukamatwe............mzushi mzushi. Nadahni hata kwako na mmeo mnatofautiana mara kwa mara bila sababu. Sio lazima Upost
 
Hii nchi kwa sasa ipo kwenye mkwamo, hivi umekosa kabisa vitu vya muhimu vya kuongelea ukaona uje na huo ujinga?
Shule hazina walimu wala madawati, zahanati hazina dawa za kutosha, umeme wakubahatisha, wajawazito wanajifungulia chini, mfumuko wa bei upo juu, thamani ya shilingi inazidi kuporomoka kila kukicha. Hayo yooote hujayaona ila ujinga wako hapo juu ndicho kipaombele chako...
MOFO!!
 
Hao jamaa hawaonekani,majimboni mwao hali ni tete sana!Na ikitokea Lowasa akashnda amini wabunge wa Ukawa wa kuchaguliwa,hawatazidi 50.
 
Mwaka huu tunafanya uchaguzi kwa kuchagua viongozi kutoka miongoni mwa CCM A (CCM Original) na CCM B(Wanaojiita UKAWA) na wapinzani wengine ambao bado hawajawa na nguvu.Huna haja ya kupoteza kura yako kwa ngazi ya uraisi mpe DR. JOHN POMBE MAGUFULI maana ana sifa kuwashinda wote wanaowania uraisi.Ukawa walianza vyema mwanzoni walipokuwa na DR. SILAA na prof. Lipumba lakini wakajichanganya wenyewe Uraisi lazima waisome namba.Ubunge na udiwani watapata kwa maana kuna waadilifu miongoni mwao.
 
Back
Top Bottom