Naa naamini hapa katikati ya mwezi lazima ataanzisha arambee nyingine,ili wale malodi lo.. wachange tena!Hela tamu bhana!mpaka uchaguzi ufanyike jamaa ataingia kwenye utrilionea sasa??
MBOWE NI KIBOKO:
Yaan licha ya kusemekana Bw.Mbowe alivuta mshiko yeye na mzee mtei kama bilioni 10 hivi kwa kumuingiza lowasa ndani ya chama,haikutosha jamaa akaamua tena kupitisha michango kwa wananchi kwa gea ya harambee!Kwa sasa katulia tuliii na fuba lake anawaacha jamaa wanahangaika,Namvulia kofia!salute kaka,wajinga waliwao kweli
Kati ya Mbowe na dr Mihogo nani alimwomba Lowasa aje Chadema?
Naa naamini hapa katikati ya mwezi lazima ataanzisha arambee nyingine,ili wale malodi lo.. wachange tena!Hela tamu bhana!mpaka uchaguzi ufanyike jamaa ataingia kwenye utrilionea sasa??
ndani ya dk 7...thread mbili..
News Alert: Wako wapi makamanda wa kupinga ufisadi: Started by mafundisho, Today 20:12
News Alert: Mbowe ni kiboko. Started by mafundisho, Today 20:19
ndio walwale ID za msim.......(tehteh ref:Joined Date)
Tamaa ya Mbowe ni kupiga tuu. Pamoja na elimu yake ndogo lakini anasumbua graduate na Phd kama watu wa bodaboda.
kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia mwenendo wa kampeni za wagombea urais wa chadema mikoani .la kustaajabisha watu wanaozunguka au wanaokisemea chama asilimia 99 wanatokea ccm "a" kwa maana ya kwamba ni waliokua makada wa chama cha mapinduzi waliohamia ukawa kumfata lowassa. Vile vichwa vyenyewe vyenye chama ambavyo wakati vinapigwa mabomu ya kutoa machozi ha wa makada walikua ccm wanakula tu viyoyozi wameachwa nyuma kwenye suala zima la kampeni.simsikii john mnyika , simsikii huyo mwenyekiti mwenyewe mbowe wala salum mwalim simsikii tena .jumuiya ya wanawake chadema bawacha imetekwa na mama regina lowassa imekua bawacha nk regina na regina ni bawacha.jumuiya ya vijana chadema imetekwa na kundi la 4 u movement.sasa najiuliza ina maana lowassa hawaamini viongozi wa chadema kiasi kwamba kwamba kampeni zake zimekua zinaratibiwa na kuongozwa na taasisi / mfumo wake aliouunda tangu akiwa ccm?.
Kwa hali hii nazidi kuamini kwamba mbowe kauza chama kwa mfumo lowassa maana lowassa sasa hivi ana nguvu kuliko mwanachama au kiongozi yeyote yule wa chadema.
Kwa muda mrefu nimekua nikifuatilia mwenendo wa kampeni za wagombea urais wa chadema mikoani .La kustaajabisha watu wanaozunguka au wanaokisemea chama asilimia 99 wanatokea CCM "A" kwa maana ya kwamba ni waliokua makada wa chama cha mapinduzi waliohamia ukawa kumfata lowassa.
Vile vichwa vyenyewe vyenye chama ambavyo wakati vinapigwa mabomu ya kutoa machozi ha wa makada walikua CCM wanakula tu viyoyozi wameachwa nyuma kwenye suala zima la kampeni.Simsikii john mnyika , simsikii huyo mwenyekiti mwenyewe mbowe wala salum mwalim simsikii tena .
Jumuiya ya wanawake chadema BAWACHA imetekwa na mama regina lowassa imekua bawacha nk regina na regina ni BAWACHA.Jumuiya ya vijana chadema imetekwa na kundi la 4 U movement.Sasa najiuliza ina maana lowassa hawaamini viongozi wa chadema kiasi kwamba kwamba kampeni zake zimekua zinaratibiwa na kuongozwa na taasisi / mfumo wake aliouunda tangu akiwa CCM?.
Kwa hali hii nazidi kuamini kwamba mbowe kauza chama kwa mfumo lowassa maana lowassa sasa hivi ana nguvu kuliko mwanachama au kiongozi yeyote yule wa chadema.