Elections 2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Mbowe aiuza rasmi CHADEMA. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi, ubunge, udiwani.

Chanzo uhuru.[/QUOTE

]
UHURU.jpg
 
Mbona watanzania hamjitambui? Kazi ya gazeti siyo kumnadi mgombea wa chama flani tu ni kutupasha habari ambazo zote zinazoendelea Tanzania nzima bira kujari itikadi za kivyama.
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.
 
kati ya magazeti yenye kuandikwa nanmakanjanja nchini hili gazeti nadhani lipo ktk top 3...

No hard feelings...

mkuu hakuna kabila bongo linalojua businesss ka wachaga saiv wanafanya political business
 
Mbowe aiuza rasmi chadema. Lowasa anataka mamluki aliokuja nao wapewe nafasi za uongozi,ubunge, udiwani. Haijafahamika kwenye benki accounts ameingiziwa kiasi gani.

Wachaga sasa ivi wanafanya political business na inalipa.
Chanzo uhuru.

Unategemea nini toka kwa gazeti la Magamba? I nawaza sana! Mafuriko ya mbeya jana ni balaa pamoja na vitisho, mafuriko hayazuiliwi kwa kiganja chenye rungu na bunduki!
 
Sioni tabu ktk hiliii kwani gazetiiiii la uhuru linataka kuwa kiongozi ktk wajinga wenye uvivu wa kufikiriiii.... Nonsense!!!!
 
Uhuru ...gazeti la kikuda sana la kisiasa..!!

Ukisoma hilo gazeti kichwa chako kinakuwa almost equal to Nape...!!!

Si mmesikia Nape anahaha kumsafisha Magufuli kuwa hakusema atatoa laptops kwa walimu wote...imagine, CCM inaona watu wangese sana...!!!

Ukiwa na akili timamu huwezi kukaa CCM...Nape atakoma na mdomo wake...ashaona moto wa Lowassa, Ukawa...sasa CCM inakufa rasmi...!!!

Si walitukana watu makapi, oil chafu, sasa wasubirie nguvu ya umma...!!!

Nape kadhoofu sana jana kwa mtu anayemjua kawa mdogo mnooo...!!
 
Kama kuna kitu sitaki kukisikia wala kukiona basi si kingine ila ni gazeti la Uhuru. Hata kwenye Tv station ikifika zamu msoma magazeti kusoma gazeti la Uhuru huwa naondoa likiishasomwa narudishia. Narudia tena kwa msisitizo gazeti hilo lingekuwa binadamu tusingesalimiana wala kuonana
 
Uhuru ...gazeti la kikuda sana la kisiasa..!!

Ukisoma hilo gazeti kichwa chako kinakuwa almost equal to Nape...!!!

Si mmesikia Nape anahaha kumsafisha Magufuli kuwa hakusema atatoa laptops kwa walimu wote...imagine, CCM inaona watu wangese sana...!!!

Ukiwa na akili timamu huwezi kukaa CCM...Nape atakoma na mdomo wake...ashaona moto wa Lowassa, Ukawa...sasa CCM inakufa rasmi...!!!

Si walitukana watu makapi, oil chafu, sasa wasubirie nguvu ya umma...!!!

Nape kadhoofu sana jana kwa mtu anayemjua kawa mdogo mnooo...!!

mkuu ni kweli kabisa nape jana alikuwa kama punje ya mavi ya mbuzi ameshajuwa nini kinakwenda kuikumba ccm yeye mwenyewe ubunge atausikia tu na kuangalia kwenye tv!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom