Nape mbona arusha hauji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape mbona arusha hauji?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtabe, Jun 19, 2012.

 1. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waraka huu ni kwa katibu wa itikadi na uenezi wa nyinyiemu namuuliza kuwa mbona arusha hauji? Tunakusubiri sana huku, naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!
   
 2. a

  afaika Member

  #2
  Jun 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ataanzia wap kwenda wakat anajua arusha hakuna zuzu hata mmoja
   
 3. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  :rain: mvua inanyesha.
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Unautani wa ngumi kwa Bwana Nape wewe.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hehee, yaliyompata iringa amekoma,. Arusha sio pa mchezo hukusi yushaifukia ccm zaman.
   
 6. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nnauye Jr, unahitajika hapa! Usijidai huoni huu uzi!
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ngojeni lami ziishe aje achukue dozi.
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Siku huyo jamaa akitia timu Arusha ujue wanafanya mikutano ya ndani! Hawezi kufanya mkutano wa hadhara Arusha. Hilo nakuhakikishia. Nilisema mwanzo na leo narudia. Ccm hawawezi kufanya mkutano wa hadhara Arusha. Hata JK mwenyewe hawezi. Alipigwa picha akifanya mazoezi ndani ya eneo la Ngurdoto hotel, wanachama wake wakadanganywa alikuwa akikatiza jiji la Arusha. Nakwambia siku akifanya mkutano wa hadhara jijini Arusha kama Nape alivyofanya sokoni Iringa, nipigie uniulize maneno haya!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nna hamu sana kumwona uso kwa uso huyu kijana. Karibu sana Arusha Nape, utakuja lini?
  USHAURI WA BURE: Tafuta gari la vioo kama lile analotumia PAPA ndipo uhutubie Arusha vingnevyo dental formula yako itakuwa at stake! Arusha hawataki UONGO!.
   
 10. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  mnataka kumtoa manundu mkaka wa watu sio..na haji

  CHICHIEM ISHAJIFIA ......
   
 11. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nami pia nishamwalika ajearusha,,aache woga
   
 12. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nape msema ovyo, hawezi katiza mikoa hiyo aliyoitusi kipindi cha nyuma!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hasira zake kwa mikoa hiii ndiyo inakitia doa CCM na kutokubalika kwake kiujumla.:rain:
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nape jibu lini utaenda?
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe kwa miguu yangu....nitakutembeza uone mandhari ya jiji la kitalii.....wallah tena Nape....unakuja lini.....?...karibu sana......
   
Loading...