Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

Thats not the point at all, wewe nina uhakika asilimia 100% unajua anachozungumza Marando ni uongo na hautamjenga yeye wala chama chake na unaweza kumshauri lakini unaendeleza maushabiki ya kipuuuzi.

Kama anachozungumza Mabere Marando ni uongo, chifu mwaga ukweli hapa!
Maana mimi najua anachozungumza Marando ni ukweli.
 
Mkuu,apo ndo utamjua jamaa ana kiherehere,kilchn shiba mchanganyiko wa unafiki.! Ajui ata ccm wenzake awamk ubali kwa kujipendekeza kila maali!
 
Nona CCM wanahangaika bure. Namna bora ya kufanya kwa upande wao ni kuhakikisha kuwa wana-eliminate CHADEMA wote pamoja na mashabiki wao. Tafuta wote na hata wale wenye harufu ya CHADEMA peleka Mabwepande chinja wote. Hapo mtaweza kulala usingizi.

Untill then you better be prepared for a breathtaking long match. The bad thing about this mach is that those players that you think are on team CCM, are actually on the opposite side. They are called watermelons. They are green outside but red on the inside. And as a spectator I am loving the goddem show!
 
Huyu Mweneye GPA kubwa then akapata Masters, hakika sioni kabisa elimu yake na haya anayoyasema, Marando kasema kuna mtoto wa kigogo mmoja ameagiza hiyo machine toka Israel, mwigulu na nepi wanabisha, hivi kila transactions wanazofanya watoto wa vigogo hawa waishiwa nao huwa waambiwa? Siku za hivi karibuni, magamba wamekuwa maarufu sana kwa kwenda mahakamani, hili wanashindwa nini kwenda huko? Ni mikosi tu kuwa na viongozi wa namna hii na wakaendelea kuaminiwa!
 
kweli CDM ni nouma...... wanafanya kazi kuliko TISS... Ningekuwa JK, nigewachukuwa vijana wa CDM wanifanyie kazi za kiuchunguzi ambazo hiyo taasisi yake ua uswalama wa twaifa, umeshindwa
 
Nape mpuuzi anakurupukia kila mada ili mradi kukisafisha chama chake. Mbona CCM ilipotuhumiwa kutaka kumuua Dr Ulimboka hakukurupuka kutaka wananchi wafute kauli na mawazo yao. Haa Nape umeishiwa usidhani uko na watoto wenzio kifikra
 
ni kweli tunaungana na marando, tupen ukwelii hawa waccm jaman tumewachokkkkkkkkkaa tumewachoka mngejua kama hatuwapendiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mi nilitegemea watoto wa vigogo kwa umoja wao wangekuja public kukanusha na kumtaka Marando athibitishe kauli yake. Lakini ata hivyo jamii iliyostaarabika hutumia chombo kama mahakama ili kumtaka mtu athibitishe na sio kutumia media. Ivi hiki chama cha 'watermelon' kina katibu kweli?
 
Back
Top Bottom