Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

wangetumia tu busara ya kunyamaza yaishe maana washalikoroga vya kutosha..............kiwango cha jeuri na rabsha anazoleta Mwigulu sijui uwa anafikiriaga consequences zake au anafanya kwakuwa anaweza.............2015 si mbali ujue.........tic toc.........tic toc
dada usiwashangae magamba ndio kawaida ya kitu kikiwa karibu ya kufa,,, "kumbikumbi akikaribia kufa huotesha mabawa''
 
Kitu kinacho nisumbua sana sasa hivi ni kwanini hao wenye mtandao wao kimya hadi leo, kwanini wasiseme ukweli kama hiyo sms kweli ilipita kwao baada yaMarando kusema ni mtambo feki umefanya hivyo ili wajenge credibility, maana wabunge ni watu wakubwa sana, na kwa sababu tuliambiwa tusajili ili kuzuia uhalifu kwanini wasiseme sasa, au huyo DCI anashondwa nini kusema ukweli wakati anajua anaweza kusema kamasimu ya Mh. Mnyika ilitumika na vifaa anavyo! mi najua anavyo, cyber... wana kila kitu cha kujua kila aina ya mawasiliano yaliyofanywa kwenye simu, hata ukibadili line!
Nape anataka kuleta Siasa za Bunge la makinda la kikangaroo. Thibitisha au futa ni fimbo yao ya bungeni, hizi ndiyo siasa sasa. Kitakachofuata ni kwamba kwa kuwa Mwigulu alitoa kauli ya kutumiwa ujumbe, maana yake ni kwamba Nape na group lake kama watampeleka Marando Mahakamani asipofuta au thibitisha basi wanatakiwa hizo SMS za kwenye simu ya Mwigulu zisifutwe na zipelekwe mahakamani kama kielelezo. Then wakati kesi inaendelea itahitajika kampuni ya simu ya wabunge waliotuma ujumbe kuja mahakamani kuthibitisha kwa vielelezo SMS hizo kuwa zilipitia kwenye mtambo yao kutoka kwenye simu yenye IMEI ya simu ya mbunge na namba ambazo kwa sasa zimesajiliwa. Mchezo huu wa kitoto wa Nape na Mwigulu uta-backfire kuna vichwa vipo juu sana kwenye IT. Kama Mwigulu ka-delete zile SMS basi hawana ubavu wa kumfikisha Marando mahakamani kama ndiyo nia yao.

Then kama kampuni ya simu ikishindwa kufanya hivyo na kutoa ushahidi wa maneno tu maana yake wanashirikiana na CCM kwenye hili na hivyo itakuwa ni fair game kwa CDM kuanza kukampeni wanachama na wapenzi wao kutoitumia kampuni hiyo ya simu.

Kama ikionekana kuwa SMS hizo hazina signal kwenye mitambo ya kampuni ya simu ya mbunge aliyetuma sms hizo, basi Mwigulu aeleze sms hizo ziliingiaje kwenye simu yake bila kupitia kwenye transmitter za kampuni ya simu ya mtu aliyezituma. Katika hili ni kwamba Marando anajua anachofanya na Nape na CCM yake imekula kwao.
 
Kitu kinacho nisumbua sana sasa hivi ni kwanini hao wenye mtandao wao kimya hadi leo, kwanini wasiseme ukweli kama hiyo sms kweli ilipita kwao baada yaMarando kusema ni mtambo feki umefanya hivyo ili wajenge credibility, maana wabunge ni watu wakubwa sana, na kwa sababu tuliambiwa tusajili ili kuzuia uhalifu kwanini wasiseme sasa, au huyo DCI anashondwa nini kusema ukweli wakati anajua anaweza kusema kamasimu ya Mh. Mnyika ilitumika na vifaa anavyo! mi najua anavyo, cyber... wana kila kitu cha kujua kila aina ya mawasiliano yaliyofanywa kwenye simu, hata ukibadili line!

Kwa nini wajibu wakati wao hawana mitambo feki?, halafu hiyo siyo kazi yao, wao kazi yao ni biashara na pale wanapoitwa mahakamani kutoa ushahidi unaohusiana na biashara yao watasema na kuonesha ushahidi wa kitechnolojia. Mtambo feki unamilikiwa na CCM siyo makampuni ya simu. kinachoanywa na mtambo feki wa CCM ni interception na kutuma feki SMS kitu ambacho makampuni ya simu yatathibitisha mahakamani muda ukifika.
 
Yan kama mtu amefatilia alivyo kuwa anaongea mwingul(Burn) na waandishi wa habari bila shaka hatopingana nami kuwa Mwingulu ana laana kubwa!

Namnukuu
"Nilitupa budget yao chini"
yan maneno kama haya haya wezwi kuongewa na mtu ambaye hana laana.
Kweli mtu mzima una wambia waandishi kuwa ulitupa budget ya upinzani na wananchi wanakusikia,watu walijua ili kuwa hasira lakini ina shangaza kujitamba kwa kitendo cha kitoto!

Eti mtu mzima una sema niliwambia wana ukabila na wakatuma sms wanasema tuache na ukabila wetu, hivi inaingia akilini cdm wakwambie hivyo?

Yan kama utapata nafasi ya kuangalia wewe mwenyewe ulivyo kuwa unaongea na ujilinganishe na Nape utaona tofauti yenu yani hata kuongea ujui yan kama mtoto!

Yan laana ni mbaya sana na usababisha mtu kuropoka. Sikutegemea kama wewe na Nape mtajichanganya namna hiyo!

Na bora umeonekana na watu wameona laana uliyo nayo!
 
Mwigulu nchemba ni mp.uuzi aliyepitiliza.huwa nikimuona nasikia kichefuchefu.
 
Hii barua anayodai kuwa ya Mbowe ni hii nimeipata kwenye FaceBook ya Nape, ila wanajisumbua na hizi propaganda zao. BF.jpg
 
Mtambo wa simu, umesimikwa wapi? Marando kaniangusha angetamka kinagaubaga nani mwenye mtambo. Angemtaja na kumwambia kama unaona si kweli nenda mahakamani ili utendewe haki sasa anasema hamtaji kisha anasema aende mahakamani. Marando anajua sheria vizuri tu bila kutaja mtu na kusema ni mtoto wa kiongozi wa CCM hiwezi pelekwa mahakamani, nani akupeleke mahakamani sasa? Mtoto wa kiongozi wa CCM; kiongozi gani? Watoto wa viongozi wa CCM wapo weeeeengi! Angekuwa specific lakini huu ni usanii tu wa kisiasa.
 
Atakuwa anamsikia tu, asiombe kukutana naye uso kwa uso kisheria!!!
Pengine wewe na wenzako ndo hamnijui vizuri. Ntawakumbusha kiduchu, muulize Marando nilimfanya nini kwenye mdahalo wa Tanzania Tuitakayo!

Marando yupi mnayemtetea hapa? Huyu ambaye akipanda jukwaa la siasa nahubiri watuhumiwa wa pesa za EPA ni mafisadi, halafu akivaa kola ya Uwakili anasimama mahakamani kuwatetea?! ( najua mtasema yeye wakili, kwahiyo atatetea hata muuaji, ndo maana anatetea kampuni haramu ya Mzee Mtei na ataka watanzania waamini ni Chama cha siasa ?!!

Nauliza Marando huyuhuyu aliyekurupuka nilipomsema Katibu Mkuu wake wa Chama Dr. Slaa kuwa halipii kodi mshahara wake wa 12mii., akadai nilikula pesa za EPA kupitia mteja wake mmoja, alipobanwa na huyo mteja akakurupuka tena KWA MAANDISHI, akaomba radhi na kudai ALOTUMWA NA CHAMA CHAKE KUNICHAFUA KWA KUWA NILIMCHAFUA KATIBU MKUU WAKE.

SITAKI KUAMINI MARANDO MZEE NINAYEMUHESHIMU SANA NI WAKILI ANAYEWEZA KUTETEA MAMBO ASIYOYAJUA NA KUYAAMINI???! huko naomba nisifike nakaamini hivyo, kwani itakuwa mbaya sana.
 
Hizi siasa za maji taka siku si nyingi zitawasambaratisha walioziasisi na wanaoendelea kuzipigia debe. Walianza kwa kumchafua Dr. Salim A. Salim wakati ule wa kumpata mgombea urais mwaka 2005. Naona hawana hata idea mwisho wake zitawarudia walioziasisi. Yangu macho!
 
cha msingi nape angekuwa straight tu kuwa bwana marando athibitishe au aleze uhusika wa ccm,serikali au huyo mtoto wa kigogo kwenye hiyo scandal na pia angetueleza hatua ambazo wamejipanga kuchukua endapo kama marando angeshindwa kuthibitishia umma juu hizo tuhuma vinginevyo issue ya kufuta kauli labda isingekuwepo
 
hakuna kauli sisi software engineers tunajua how its be done labda iwe zimetumwa kweli nipo tayari kutuma software link humu ambayo can verify kama was sent via victim cell phone provider au laaaa, can also be used kama ushahidi
software engineer wa duka la mhindi kariakoo. Haya kalete hiyo link yako ulio ikotea google.
 
the original sms sent must been seen and copied from the cell phone then ilinganishwe na centre number na serial number za sim card job done
...mmmh!...safi saaana, ukweli huwa haupote njia hata siku moja...mkuu endelea kuwaonesha njia ya ukweli unapopita...
 
Back
Top Bottom