Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

kwani Marando alisema wahusika ni ccm au mtoto wa kigogo wa ccm, kwani Nape ndo huyo mtoto wa kiongozi wa juu wa serikali mpaka atoe kauli yeye?au kiherehere kinamsumbua?

Umemaliza kila kitu, una maana kuwa wamejiingiza wao kwenye roba yetu.........halafu mbona siku hizi hatupo nao humu?
 
mbona hii wamejibu haraka baada ya dili lao kushitukiwa. Marando huwa hakurupuki hata siku moja..........nape mpeleke mahakamani marando akakupe ushahidi...........

Kwani nape mjinga ndo aende mahakamani kwa suala la ukweli ambalo anajua dhahiri chama makini kama CDM hakikurupuki ktk matamko yake
 
Nashindwa kuelewa kitu kimoja hapa.

Mabere Marando jana alisema kuwa anao ushahidi wa kutosha kuthibiisha kuwa kuna mtoto wa kigogo mkubwa serikalini alileta nchini mtambo wa sms proofing kutoka Israel.

Anaamini mtambo huo ndo unatumika kuwachafua wabunge wa chadema. Hapa CCM haijatuhumiwa bado. Nape au CCM ametuhumiwa kwa lipi hapa mpaka yeye msemaji wa chama (sio kama mkuu wa wilaya naamini) amtake Marando athibitishe?

Ikumbukwe kuwa Mwigulu hakutajwa na Marando kwa hiyo sitegemei Nape aingilie kati kumsemea Mwigulu kama mwanaccm. Nilitegemea msemaji wa serikali ndiye ambaye angetoa statement kama hiyo tena sio mkuu wa wilaya!

Mboma Nape unajihisi na wewe unahusika kwenye tuhuma za serikali?
 
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV
Wa Marando ni msimamo sio kauli na Misimamo huwa haifutwi, Nape wahi mahakamani!
 
Mwingulu(Burn) unaona laana inapo kupeleka? Kwanza nadhani hamkumsikia marando sasa mnaanza kujichanganya!

Kumbe huyo mtoto wa kigogo wa ccm kumbeeeee!
 
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV

Nape anataka kuleta Siasa za Bunge la makinda la kikangaroo. Thibitisha au futa ni fimbo yao ya bungeni, hizi ndiyo siasa sasa. Kitakachofuata ni kwamba kwa kuwa Mwigulu alitoa kauli ya kutumiwa ujumbe, maana yake ni kwamba Nape na group lake kama watampeleka Marando Mahakamani asipofuta au thibitisha basi wanatakiwa hizo SMS za kwenye simu ya Mwigulu zisifutwe na zipelekwe mahakamani kama kielelezo. Then wakati kesi inaendelea itahitajika kampuni ya simu ya wabunge waliotuma ujumbe kuja mahakamani kuthibitisha kwa vielelezo SMS hizo kuwa zilipitia kwenye mtambo yao kutoka kwenye simu yenye IMEI ya simu ya mbunge na namba ambazo kwa sasa zimesajiliwa. Mchezo huu wa kitoto wa Nape na Mwigulu uta-backfire kuna vichwa vipo juu sana kwenye IT. Kama Mwigulu ka-delete zile SMS basi hawana ubavu wa kumfikisha Marando mahakamani kama ndiyo nia yao.

Then kama kampuni ya simu ikishindwa kufanya hivyo na kutoa ushahidi wa maneno tu maana yake wanashirikiana na CCM kwenye hili na hivyo itakuwa ni fair game kwa CDM kuanza kukampeni wanachama na wapenzi wao kutoitumia kampuni hiyo ya simu.

Kama ikionekana kuwa SMS hizo hazina signal kwenye mitambo ya kampuni ya simu ya mbunge aliyetuma sms hizo, basi Mwigulu aeleze sms hizo ziliingiaje kwenye simu yake bila kupitia kwenye transmitter za kampuni ya simu ya mtu aliyezituma. Katika hili ni kwamba Marando anajua anachofanya na Nape na CCM yake imekula kwao.
 
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV

Kama wabunge wa ccm waliweza kufoji sahihi ya waziri mkuu bungeni,na kumpa mbunge na kumwambia kimetoka kwa pinda,na mbunge huyo kwenda kwenye kiti alipo pinda kuitikia wito.

Cha ajabu pinda hakuwa ameandika yeye,wote wawili wakawa wanashangaana,na kimemo kilikuwa na sahihi ya pinda,ila mwandikaji hakuwa pinda.

Je kama uhuni huu ulifanyika ndani ya bunge(hata nape analijua hili) sasa iweje washindwe amini kuwa kuna mtambo huo toka Israel?

Nape stuka!
 
unajua sisi watu wa dunia ya tatu tuna matatizo sana we use simple things kudhani kwamba tunaweza kujihadaa wenyewe trust me m a software engineer, hakuna tunachoweza kufanya kuwazidi waliobuni hizi vitu u knw hawa (americans,europians asians, may be south africans) walivyo juu kwenye technology, tusitumie vitu rahisi na kudhani kwamba kila mtu ni mbumbumbu tutatoka mapovu, huwezi kusikia wanatumia cheap software kufanya ujinga never ever
 
Siasa haifui dafu kwenye technical issue, Huu mtego wa panya umetiwa jibini.
Kosa moja alama 100!
 
Mtoto wa kigogo mwenye mashine ni nani ,

Atakuwa Miraji JK nini ?
:redface: Inaonekana wewe unapenda sana ugomvi, miaka 03 iliyobakia si mingi, jiandae kugombea Uraisi kwani JK atakuwa amemaliza kipindi chake ili tukuone usivyodhaifu.
 
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV

Ungeweza kuwaona namna nyuso zao zilikuwa hazina furaha. Ungeweza kusoma nyuso zao na kuona kile ambacho hawakisemi. Wanalazimika kuzungumza uongo kwa kukanusha kitu/vitu ambavyo ndani ya mioyo na roho zao wanajua ni kweli. Ni vyema wakamrudisha Tabwe Hiza afanye kazi hii. Ni bora wakachutama, maana mtu mzima akivuliwa nguo hadharani hana budi kufanya hivyo.

Kwa mtu yeyote makini aliyeangalia taarifa hiyo, alitegemea Mwigulu asome huo ujumbe anaodai kuwa aliandikiwa na Kamanda Mbowe. Huwezi kusema ulikuwa na lugha kali bila kuiseoma hiyo lugha, unless inabaki kuwa ni tafsiri yako tu ambayo inaweza kuwa uongo vile vile. What is lugha kali...

Kwa mtu yeyote makini alitegemea angesema hayo maneno ambayo Kamanda Mbowe alimwambia Mwigulu mbele ya Chiligati. Hawa jamaa mbona wanashindwa hata kubuni propaganda ya kawaida kuwza kumdanganya hata mwenye mtindio wa ubongo.

Naona bado kanga'ng'ana kweli kweli na suala la mtoto wa Mbowe kusoma nje kwa fedha halali. Hivi what is issue there. Kwanza alikosea, huyo mtoto hasomi chekechea na fedha alizotaja ni kidogo kwa ngazi ya elimu anayosoma na aina ya chuo anachosoma! Pole Mwigulu. Amekomaa na Mbowe kusomesha mtoto wake nje kwa fedha zake halali utafikiri kitendo hicho ndicho kimesababisha maisha magumu kwa kila mtanzania contrary to what they promised, maisha bora kwa kila Mtanzania.

Utafikiri Mbowe kusomesha mtoto nje ndiyo imesababisha kupanda kwa gharama za maisha na bei ya bidhaa muhimu. Utafikiri kitendo hicho ndicho kimesababisha kushuka na kuporomoka kwa elimu ya Watanzania, kuzorotesha sekta ya afya n.k, n.k, n.k,

Kwa mtu yeyote makini atajua. Hivi mwanasiasa na kiongozi makini wa caliber ya Mbowe anaweza kupoteza muda wa kumwandikia ujumbe wa kumtukana Mwigulu, so what? Labda atuambie aliandikiwa ujumbe wa kuelimishwa, sasa kwa sababu elimu kwao imekuwa ni uchochezi au lugha kali, no wonder hawezi kuelewa. Hata Karama aliambiwa na watawala wa Kusadikika (akina Majivuno, Boramimi) kuwa anachochea watu. Hata Aristotle aliambiwa anaharibu vijana kwa lugha kali.

Hivi kwa mwanasiasa na kiongozi makini wa level ya Tundu, John na wengine ndani ya CHADEMA wanaweza kupoteza muda kumwandikia sms Mwigulu. Who is Mwigulu Vs those big shots in the politics of arguing and critical thinking, with clear valid and sound arguments.

What Mwigulu is doing ni kujitafutia umaarufu mgongoni mwa CHADEMA na wanasiasa makini wa CHADEMA, nothing more, nothing less. Vinginevyo hana historia

Mwigulu saizi yake Sabrina. Mbunge Sabrina juzi kampatia extremely below the belt. Kasema bungeni majuzi kuwa Watanzania wameshuhudia chaguzi ndogo kadhaa, hasa kuanzia Kiteto, Biharamulo, Busanda, Mbeya Vijijini na maeneo mengine, lakini Igunga na Arumeru Mashariki ambako Mwigulu ndiyo alikuwa mratibu wa kampeni wa Chama Cha Mabwepande, watu wameuawa, tena baada ya kutekwa, kuteswa na kuuwawa.

Sabrina alishauri polisi wanapaswa kumchunguza Mwigulu, je wameshaanza?
 
"Angekuwa na uhakika na anayosema angelienda mbali zaidi kutaja hatua watakazochukua kama Marando hatatekeleza walichosema.Lakini kwasababu ni wababaishaji wameishia kumtaka Marando afute kauli bila kutaja hatua kama atakaidi. This is the best a dead body can do". By Seif al Islam. Sifa zote hizo unampa mtu,sasa wewe utabaki na nini? Hivi huyu marando mnayemzungumzia ni yupi? Ni-yule aliyekikimbia chama chake baada ya kukiasisi? Je, huyo sio opportunist?
 
Leo kaongea kwa upole sana. Bila shaka ni kwa sababu anatambua umahiri wa Marando.

........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku kamanda Mbowe alienda akampiga biti live akiwa na Chiligati.

Source : ITV

Ungeweza kuwaona namna nyuso zao zilikuwa hazina furaha. Ungeweza kusoma nyuso zao na kuona kile ambacho hawakisemi. Wanalazimika kuzungumza uongo kwa kukanusha kitu/vitu ambavyo ndani ya mioyo na roho zao wanajua ni kweli. Ni vyema wakamrudisha Tabwe Hiza afanye kazi hii. Ni bora wakachutama, maana mtu mzima akivuliwa nguo hadharani hana budi kufanya hivyo.

Kwa mtu yeyote makini aliyeangalia taarifa hiyo, alitegemea Mwigulu asome huo ujumbe anaodai kuwa aliandikiwa na Kamanda Mbowe. Huwezi kusema ulikuwa na lugha kali bila kuiseoma hiyo lugha, unless inabaki kuwa ni tafsiri yako tu ambayo inaweza kuwa uongo vile vile. What is lugha kali...

Kwa mtu yeyote makini alitegemea angesema hayo maneno ambayo Kamanda Mbowe alimwambia Mwigulu mbele ya Chiligati. Hawa jamaa mbona wanashindwa hata kubuni propaganda ya kawaida kuwza kumdanganya hata mwenye mtindio wa ubongo.

Naona bado kanga'ng'ana kweli kweli na suala la mtoto wa Mbowe kusoma nje kwa fedha halali. Hivi what is issue there. Kwanza alikosea, huyo mtoto hasomi chekechea na fedha alizotaja ni kidogo kwa ngazi ya elimu anayosoma na aina ya chuo anachosoma! Pole Mwigulu. Amekomaa na Mbowe kusomesha mtoto wake nje kwa fedha zake halali utafikiri kitendo hicho ndicho kimesababisha maisha magumu kwa kila mtanzania contrary to what they promised, maisha bora kwa kila Mtanzania.

Utafikiri Mbowe kusomesha mtoto nje ndiyo imesababisha kupanda kwa gharama za maisha na bei ya bidhaa muhimu. Utafikiri kitendo hicho ndicho kimesababisha kushuka na kuporomoka kwa elimu ya Watanzania, kuzorotesha sekta ya afya n.k, n.k, n.k,

Kwa mtu yeyote makini atajua. Hivi mwanasiasa na kiongozi makini wa caliber ya Mbowe anaweza kupoteza muda wa kumwandikia ujumbe wa kumtukana Mwigulu, so what? Labda atuambie aliandikiwa ujumbe wa kuelimishwa, sasa kwa sababu elimu kwao imekuwa ni uchochezi au lugha kali, no wonder hawezi kuelewa. Hata Karama aliambiwa na watawala wa Kusadikika (akina Majivuno, Boramimi) kuwa anachochea watu. Hata Aristotle aliambiwa anaharibu vijana kwa lugha kali.

Hivi kwa mwanasiasa na kiongozi makini wa level ya Tundu, John na wengine ndani ya CHADEMA wanaweza kupoteza muda kumwandikia sms Mwigulu. Who is Mwigulu Vs those big shots in the politics of arguing and critical thinking, with clear valid and sound arguments.

What Mwigulu is doing ni kujitafutia umaarufu mgongoni mwa CHADEMA na wanasiasa makini wa CHADEMA, nothing more, nothing less. Vinginevyo hana historia

Mwigulu saizi yake Sabrina. Mbunge Sabrina juzi kampatia extremely below the belt. Kasema bungeni majuzi kuwa Watanzania wameshuhudia chaguzi ndogo kadhaa, hasa kuanzia Kiteto, Biharamulo, Busanda, Mbeya Vijijini na maeneo mengine, lakini Igunga na Arumeru Mashariki ambako Mwigulu ndiyo alikuwa mratibu wa kampeni wa Chama Cha Mabwepande, watu wameuawa, tena baada ya kutekwa, kuteswa na kuuwawa.

Sabrina alishauri polisi wanapaswa kumchunguza Mwigulu, je wameshaanza?
 
Safi sana na mahakamani wataumbuliwa kwa kulete mambo ya kwenye baa walewe kurasini siku nzima waitishe kikao kueleza ishu za ulevi wao ushahidi wa mazungumzo yote wakilewa upooo
 
Back
Top Bottom