Nape: Magufuli aliposema Mwanza wasibomolewe kwa sababu ya kura alikuwa anatania

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,746
Mbunge wa Mtama Nape Nnauye akiwa anahojiwa na DW amesema kitendo cha rais Magufuli kusema watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura ilikuwa ni utani sababu rais ni mtu anayependa kutania

Amesema pia ameshangazwa na bomoabomoa iliyofanywa kwa wananchi ambao serikali ilikuwa imewarhusu kujenga na kusema jambo hilo halifai

Ameseendelea kusema pia hana mpango wa kuhama CCM lakini hawezi kuapa kama hatahama chama hicho

Haya mnaopenda kumshangilia mshangilieni na leo.. eeeeeh

Au kwa kuwa kasema yeye haji upande wenu!?
Ha ha haaaa.. ila alishayasema haya kabla ma mlijadili humu huku mkilia na machozi yakiwatoka na kujipiga vibao vya usoni pia.
 
Nakubaliana na Mbunge Nape Nnauye. Ule ulikuwa utani wa Rais kwa wananchi wake. Lakini,kauli za Rais ni very sensitive!
Seriously, nanyi 'wasomi' mnashabika hili?! Acheni utani please! Basi mwambieni yeye kama kiongozi asilete matani kwenye maisha ya WaTz.
Oh Lord have mercy on you na Nape
Unbelievable
Nini mnatafuta ukuu wa wilaya mkoa au wenyeviti wa vijiji
Magu anaponzwa na wengi
Nchi za wenzetu huwezi kusema utani wa kipuuzi kama huu juu ya maslahi ya Taifa na watu wake

So Petro na Nape mnabariki Double Standards shame on you
Mwambieni Mkulu blue ni blue sio nyeusi
 
Nawe pia umetania!
 
Back
Top Bottom