Nape Kutinga Igunga Na Mwenyekiti wake

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Habari zilizotufikia muda huu zinasema kuwa
mkuu wa mashambulizi nape nauye atatinga
igunga na mwenyekiti wake Jakaya

Sasa hapo igunga itarindima si kawaida
Big up Nape Kaikomboe igunga
Vijana tupo tunakusubili

images
 
Gooooosh!!!!! Hawezi kukanyaga igunga, ila kweli kama ana kinga ya jk atafika, ndo ujue jk ni kigeugeu, anaendeshwa nduvu ya king'amuzi
 
Nilimwahidi Nape $100 kupitia kwa invizibo, akionekana huko na akahutubia mkutano wa kampeni sio kama wakati ule kusingizia kuhani msiba. I am very serious!
 
Habari zilizotufikia muda huu zinasema kuwa
mkuu wa mashambulizi nape nauye atatinga
igunga na mwenyekiti wake Jakaya

Sasa hapo igunga itarindima si kawaida
Big up Nape Kaikomboe igunga
Vijana tupo tunakusubili

images

Kwa nini asingeenda na Mukama? Hivi huyo vuvuzela Nape mwendesha siasa uchwara (muulize RA) anaubavu wa kuthubutu kwenda peke yake pale?
Na kweli kama JK atatinga Igunga kweli magamba yamelemewa vibaya saana mwisho wa kampeni polisi ndo wata control.
 
Nilimwahidi Nape $100 kupitia kwa invizibo, akionekana huko na akahutubia mkutano wa kampeni sio kama wakati ule kusingizia kuhani msiba. I am very serious!

MKUU HELA YAKO IPO SALAMA, SHAKA ONDOA, HAKANYAGI NG'OO!

natoa angalizo, si kukanyaga kwa visingizio bali kukanyaga kwa malengo ya kuhutubia wanaigunga kumnadi mgombea.
 
MKUU HELA YAKO IPO SALAMA, SHAKA ONDOA, HAKANYAGI NG'OO!

natoa angalizo, si kukanyaga kwa visingizio bali kukanyaga kwa malengo ya kuhutubia wanaigunga kumnadi mgombea.

Nimekupata mkuu, ila kuthibitisha kwamba niko siriazi hela hii ntamtumia invizibo ijumaa akae nayo. Nape asipoenda Igunga na kuhutubia mkutano it will go to Charity!!!!!
 
Nasema hivi ukitaka kujua CCM kilivyoishiwa ni hapo kwenye makundi yao,wale wote wanajinadi ni wapambanaji wa ufisadi kwa kinafiki na wanaopigia debe kinafiki suala la Magamba huwezi kuwaona Igunga wamekwenda kumnadi mgombea wa CCM.Niliwahi kuuliza hapa kwenye JF kwanini Nape haendi Igunga,au Samweli sita au Mwankyembe au Ole sendeka,ingelikuwa ni hali ya kawaida wangelikuwa wameshaenda,huyu Nape hawezi kukanyaga Igunga na akapanda jukwaani kumnadi mgonbea,hata mkuu wa kaya sidhani kama atakwenda.
Tusubiri tuone
 
:laser:IGUNGA ILEEE!

KAMA MAENDELEO YANGESHUGHULIKIWA KAMA SIASA, NCHI HII INGEKUWA WAPI?
NAOMBA MCHANGO WANA JF
 
huu uchokozi sasa, mwenzenu kapigwa bit asikanyage nyie bado mnamkumbusha machungu ya kusemwa semwa na maboss wake - sio fresh wakuu. mwenyekiti yupo US anatafuta wawekezaji wa umeme.
 
yani pamoja na kuwapeleka wabunge,mzee mkapa,bado nae mkuu wa kaya atatia timu.basi hali sio nzuri kwa magamba.nazani jk akienda igunga RA nae atataka awepo.hapo ndimpo nionapo slim chances za nape kuepo kwenye that political rally.
 
Back
Top Bottom