Nape: Kuhama vyama kunawaumiza wananchi, inabidi tubadili sheria

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,813
18,793
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema wabunge kuhama hama kuna ukakasi kwa kuwa haliwapi nafasi wananchi ambao waliwapigia kura

Nape amesema kuna haja ya kuangalia uwezekano wa kubadili sheria ili wanaoham,a wahame na ubunge wao

Pia amesema ni ngumu kuamini sababu zinazotolewa na wanaohama (kumuunga mkono Magufuli}

Mimi sikubaliani na Hoja kuwa wanaohama chama wahame na Ubunge wao, unless kwanza wapitishe Sheria ya mgombea binafsi.
Lakini kama mgombea aligombe kupitia chama cha Siasa, basi kile chama kilichokuwa kimetowa Mbunge kichague Mbunge mwengine. Sheria hii itumike vile vile kama Mbunge akifariki.
Hapo ndipo tutajua kua kweli wanaohama chama wanahama kwa kuunga juhudi Za Raisi.
Venginevyo itakuwa ni kuwapalilia njia ya kuhama chama tu
 
Sheria iwekwe kuwa Unapohama chama. Unakuwa umejivua ubunge hivyo unakuwa mwananchi wa kawaida. Jimbo linabaki wazi na vyama vinateua wagombea wait kuwania jimbo. Ila aliehama asiruhusiwe kugombea mpaka UCHAGUZI mpya wa wabunge na urais utakaokuwa unafuata. Mfano kwa walijivua ubunge au kuhama vyama wasipewe nafasi za kugombea mpaka UCHAGUZI unaokuja 2020
 
Mkuu umenena vyema kabisa. Mtu akiama chama kile chama alichohama kipewe nafasi ya kuchagua mtu mwingine wa kuziba hiyo nafasi full stop
 
Kama vipi sheria ipitishwe ukiamua kuhama chama usiruhusiwe kugombea jimbo lile huo ndo muarubaini wa hili swala
 
U
Mimi sikubaliani na Hoja kuwa wanaohama chama wahame na Ubunge wao, unless kwanza wapitishe Sheria ya mgombea binafsi.
Lakini kama mgombea aligombe kupitia chama cha Siasa, basi kile chama kilichokuwa kimetowa Mbunge kichague Mbunge mwengine. Sheria hii itumike vile vile kama Mbunge akifariki.
Hapo ndipo tutajua kua kweli wanaohama chama wanahama kwa kuunga juhudi Za Raisi.
Venginevyo itakuwa ni kuwapalilia njia ya kuhama chama tu
Umesema kitu kikubwa sana sana mbunge anaomba kura kwa kupitia chama inamaana chama hicho kinachukua eneo husika kwa muda wamiaka 5 sasa ikitokea mbunge au mwenyecheo chochote cha kuchaguliwa kufa kuacha au kuhama chama kilicho shika nafasi hiyo kitoe MTU mwingine kutoka kwao aongoze na ikitokea wachaguliwa hao kupishana naviongozi wao wa vyama vyao yule yule alio shinda au kuteuliwa aulizwe kwenye vyombo vya habari kama anaendelea nakazi au la iwapo atasema anapiga mzigo chama kisiwe na uwezo wa kukatisha uongozi wake nakama atasema ameshindwa ndio atafutwe mtu mwingine kutoka chama chake kumuondoa mtu kwasababu ya kichama nikukatisha mategemeo kwawananchi na chama walicho kichagua nisawa na kukatisha uhai wao
Kutumia pesa kurudiwa uchaguzi kwa hawa waliouza nafasi na kuzihitaji tena kunatuumiza wananchi mfano sikumoja nilikwenda kumtembelea jamaa yangu kilimahewa kgm nikamuona polepole wanamuonesha njia inayotuwa na walim wanafunzi na wazazi kwenda s/yamsingi kilima hewa kunakorongo kubwa hata ubakaji unaweza kutokea linatisha gharama yake haifanani na uchaguzi hata wadiwani mmoja gharama ni m5 tu wananchi wamechanga m2 bado 3 wanashindwa kuwachangia wako bize na uchaguzi na kununua wachaguliwa wa upinzani hivi hawawananchi watawapenda kweli?
 
Jamaa haya maneno hawayataki ata kuyasikia, nape ajifurahishe tu.
Wenzetu wao wanawaza kubaki madarakani tu kwa garama yeyote ata kama nikuvunja katiba au jambo lolote lile, ukiwapeleka kwenye katiba wanasema si kila kitu lazima kiandikwe.
 
Siyo wahame na ubunge wao bali aliyeshika nafasi ya pili kwenye kula za maoni kwenye chama chao awe mbuge mara moja. Wanaliingiza taifa kwenye gharama za kipuuzi na ujinga mtupu.!!
 
Sheria iwekwe kuwa Unapohama chama. Unakuwa umejivua ubunge hivyo unakuwa mwananchi wa kawaida. Jimbo linabaki wazi na vyama vinateua wagombea wait kuwania jimbo. Ila aliehama asiruhusiwe kugombea mpaka UCHAGUZI mpya wa wabunge na urais utakaokuwa unafuata. Mfano kwa walijivua ubunge au kuhama vyama wasipewe nafasi za kugombea mpaka UCHAGUZI unaokuja 2020
Ilo wapi iwe tu ukijivua chama kilicho shinda ndio kiweke mtu mwingine mgombea mwenza wa mbunge diwani awe ni chama au sheria ingesema wazi chama kichukue viti maalumu ashike nafasi kuliko huu ujinga unahama alafu unagombea tena sehemu ileile wakifanya hivyo kuhama kwisha
Sheria iwekwe kuwa Unapohama chama. Unakuwa umejivua ubunge hivyo unakuwa mwananchi wa kawaida. Jimbo linabaki wazi na vyama vinateua wagombea wait kuwania jimbo. Ila aliehama asiruhusiwe kugombea mpaka UCHAGUZI mpya wa wabunge na urais utakaokuwa unafuata. Mfano kwa walijivua ubunge au kuhama vyama wasipewe nafasi za kugombea mpaka UCHAGUZI unaokuja 2020
 
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema wabunge kuhama hama kuna ukakasi kwa kuwa haliwapi nafasi wananchi ambao waliwapigia kura

Nape amesema kuna haja ya kuangalia uwezekano wa kubadili sheria ili wanaoham,a wahame na ubunge wao

Pia amesema ni ngumu kuamini sababu zinazotolewa na wanaohama (kumuunga mkono Magufuli}

Unafiki mtupu
 
Back
Top Bottom