Ninatamani niwepo cku hiyo nione mapokezi yake na nisikie kauli yake kuhusu magamba na nafikiri pale akizungumzia tu bila shaka kutachimbika.Ngoja tuone atawambiya watu wa monduli nini? kwani anaweza akaishiya kusomewa kwani watu uwambii kitu mbele ya lowassa
Nadhani hicho ndo kimempa courage ya kwenda huko.Kuufyata kwa Rostam kumemuondolea kikwazo ambacho wengi walikihofia. Atakwenda kule na kuchonga apendavyo kupeta na kurejea kifua mbele kutokana na hili la kuachia ngazi kwa Rostam.
kwa hyo we unaona ni sifa au?natamani ningekuwepo kwani naamini itakuwa kama movie kwani akijaribu kumponda lowassa tu atawatambuwa wamasai anaweza akaishiya kupata viboko na mambo mengine kama matusi,kejeli kwani wale uwaelezi kitu mbele ya lowassa