Nape: Katibu Mwenezi asiyejua Takwimu

Mughwira

Senior Member
Jun 10, 2008
109
34
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011
 
Sasa mkuu, huyu Nape angesoma Hesabu si angekuwa na uelewa wa kutosha juu ya mambo yanayoendelea ndani ya nchi na sio ushabiki wa vyama? Yeye na Nchilligati walipigwa marufuku kukanyaga igunga wakati wa Kampeni, ila sasa hivi anaibuka na kelele za uchaguzi wa igunga, yeye alikuwa Igunga? Na km kiongozi wa chama then kuna mambo unapigwa stop kufanya wakati katiba ya chama inakuruhusu, why are you there then?? Huyu nae ni mwizi tu ila alikuwa hajapata nafasi ndo maana akakurupuka na kutaja magamba, sasa atakimbia chama tu kwani jamaa wanambana sana na inaonekana yeye ndo kasababisha mgawanyiko wote huo kwa matamshi yake ya kutaka magamba yajiondoe wakati chama chote kimejaa magamba.
 
Zile shukrani zilipaswa kiukweli kutolewe na Mwigulu Nchemba.

Waandishi wa habari wa walipaswa kumuuliza hizo takwimu kabla hajawakimbia.
 
yeye na aliyemteu kukalia hicho cheo wanafanana 'upstairs' zao
 
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

Nape alithanii hichi ni kipindi cha TANU ndio maana akaongea uongo, naamini anadhani watanzania ni maiti anaweza kuwadanganya lolote.
 
ukimsikia analalamika "jamani mimi si kijana mwenzenu, hivi nimewakosea nini" kijana kilaza nani atamkubali, tupa kule wavivu wa kufikiri
 
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

Duh! Katibu Mwenezi wa CCM! Nyerere atatikisika kaburini mwake!!!
Idadi ya watu ambao hawakupiga kura safari hii bado ni kubwa, bado ni takriban theluthi mbili ile ile ya mwaka jana! Atuambie mwaka jana hakukuwapo mgombea wa Chadema, jee kwa nini pia watu hawakwenda kupiga kura, au ilikuwa ni "vurugu' za CUF?

This young man ni aibu kwa CCM kuwa naye kama mwenezi wao!
 
Hivi bado mnamwongelea huyu bwana? Achaneni naye wala asiwaumize vichwa. Ukibishana sana na mlevi utaonekana pia mlevi!
 
Nape ni janga kuu kwa CCM, lakini kwa kuwa mie siyo mfuasi wa chama hicho, basi ni saizi yao!

Leo Mwanahalisi limeandika kuwa Rostam alitoa masharti kwa chama chake ili kushiriki kwake katika kampeni: Nape kutoiweka sura yake Igunga, kadhalika Mwakyembe na Sitta. Kwa ujumla wote wale vigogo wa CCM (kwa udhati wao au kwa unafiki wao), walikuwa wanampiga vita Rostam dhidi ya ufisadi aliyowafanyia Watz.
 
Jana kulikuwa na thread iliyokuwa inahusiana na shukrani zake kwa wana Igunga kuna sehemu alisema anamvuto ndiyo maana JF tuna hangaika nae, mimi nikajiuliza hivi mwanaume anapokuwa na mvuto inaimanisha nini lakini nilipo tazama TV nika muona anajichubua nikajua tayari.....
 
Duh! Katibu Mwenezi wa CCM! Nyerere atatikisika kaburini mwake!!!
Idadi ya watu ambao hawakupiga kura safari hii bado ni kubwa, bado ni takriban theluthi mbili ile ile ya mwaka jana! Atuambie mwaka jana hakukuwapo mgombea wa Chadema, jee kwa nini pia watu hawakwenda kupiga kura, au ilikuwa ni "vurugu' za CUF?

This young man ni aibu kwa CCM kuwa naye kama mwenezi wao!
kaka ndo maana jamaa kasema TUMSAMEHE.
 
Jana kulikuwa na thread iliyokuwa inahusiana na shukrani zake kwa wana Igunga kuna sehemu alisema anamvuto ndiyo maana JF tuna hangaika nae, mimi nikajiuliza hivi mwanaume anapokuwa na mvuto inaimanisha nini lakini nilipo tazama TV nika muona anajichubua nikajua tayari.....

Yaani BWABWA??
 
nimesoma nae, namjua vema... Alikuwa sifuri, ni mtu wa kuhonga walimu asikamatwe...
 
Back
Top Bottom