Nape: Katibu Mwenezi asiyejua Takwimu

Jamani naomba mjumlishe hizo kura za kila m2 na zilizoharibika muone kama zitafika 52600 na kidogo walizosema kina magayane.
 
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

Mara hii kafanya survey ya wapi ya maoni ya wapiga kura na lini na sampuli yake ikoje na kadhalika!!! Je MWANAMAGAMBA aliyetinga jukwaani na bastola kiunoni ikiwa waziwazi hakutosha kutisha watu wasiende kupiga kura? Ushindi wenyewe finyu maneno mengi yasio mshikio.
 
nape was good sema njaa mbaya...I cn't say kwamba hajui ukweli sema atakula wapi? shame upon him! time wil tel na atapotezwa kama Gamba gumu Makamba. CCJ oyeee..
 
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

Kwani hujui kama Nape naye ni Janga lingine la kitaifa...
 
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

Kuendelea kulumbana na Nape na sawa na kuipigia mbuzi gitaa. Magamba wamelewa madaraka na wanathani kwamba wanaweza wakaropoka au kutulisha chochote na watanzania tukameza tu bila kufikiria. Chamsingi sisi watanzania tuanopenda nchi yetu tuendelee kuviunga mkono vyama vya ukombozi hasa chadema ili kuwang'oa madarakani hawa mafisadi. Umoja wetu na chuki yetu thidi ya CCM ndiyo nguvu yetu kushinda 2015 ! -
 
jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.
 
NAPE jaribu ukanusha tuhuma siyo unaanza kurumbana linda heshima yako anakushinda akili hata MuKAMA?
 
jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.
Jibu hoja KILAZA wee..!Acha kuongea MAKAPI.
 
Nape, jaribu kuwa mtu mwelewa. Sina uhakika kama huwa unasoma na kuelewa ushauri wa watu hapa jamvini! Mara nyingi tumekushauri uache "taarabu" unapokuja hapa jamvini, lakini sijui tatizo liko wapi!
Kwa nafasi yako kwenye chama, Tena chama tawala, hupaswi kabisa kuja hapa kuanza kushambuliana na kulumbana na watu. Acha kina FF, Mwita25, Rejao, MS, nk wafanye hayo. Wewe ndo taswira ya chama kinachounda serikali.
Kwenye thread Kama hii ulipaswa uje aidha kutolea ufafanuzi wa hesabu zako na kuthibitisha madai yako. Siyo kuja na kuanzisha mipasho.
 
jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.

Sawa tumekusikia Khadija Kopa. Hebu tueleze kwanini wewe kwa nafasi yako hukushiriki kwene kampeni za Igunga?Je ni kweli kuwa Bosi wenu Rostam Aziz ndiye kakupiga karantini wewe na wana CCJ wenzako msikanyage Igunga. Natumaini utakuja kiungwana zaidi kuliko kimipasho kama ilivyo kawaida yako.
 
jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.
Ulipotoa matokeo j3 asubuhi,ukahojiwa na Tbccm,ukapinga kwamba kuna watu wanatumia Id yako,naomba nikuulize leo ni wewe,au umeibiwa Id yako?maana Mwenezi kama wewe kuongea upuzi kama huu.SHAME!
 
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani"

Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha

Waliopiga kura uchaguzi mdogo: 53,672 sawa na 31.3% ya 171,019 ya waliojiandisha

Sawa na ongezeko la 2.7%

Nape anasema idadi kubwa ya wapiga kura haikujitokeza kupiga kura kwa sababu ya fujo za Chadema! Jamaa amesoma wapi?
source mwananchi News paper 5th Oct 2011

kwanza nasikitika sana wana JF mnajadili mtu na sio hoja iliyopo mbele yenu!!!ni ajabu na sio sahihi kujiita Great Thinkers!!!
Hoja hapa ni "NAPE:KATIBU MWENEZI ASIYEJUA TAKWIMU"..sijaona mtu ameziangali ana kujadili suala hilo na hasa mkazo ni TAKWIMU.
Kwa mtu unayejua hesabu kwa kiwango kidogo tu cha kuzidisha na kugawanya TAKWIMU hizo ziko sawa kabisa kwa 100%.
Mimi nafahamu hesabu kwa uzuri na niko kifua mbele kusema TAKWIMU hizo hazijakosewa na kama ni Nape uliyezitoa,hongera na uko sahihi na pia hongera kwa timu yako iliyokupa hizo takwimu.
WanaJF wakati umefika wa kujadili hoja na si watu..KAMA TUNAITAKIA MABADILIKO TANZANIA BASI TUWE WAKWANZA KUBADILIKA.
 
Msiseme sana. Kabla ya 2015 utamsikia Dr. Nape Mnauye; PhD Statistics, Open university of Commonwealth!!
 
jambo moja ambalo nina hakika nalo ni kuwa jf kwa members wengi kumtukana Nape ndio usingizi wenu, enjoy your sleep guys!!!! watastuka kidogo walioingia leo lakini wengine wanajua project hii... ukitembea ukakanyaga sisimizi hata kustuka huwezi maana huhisi kama umemkanyaga lakini ukikanyaga kitu kikubwa utahisi hasa chenye ncha kali lazima upige kelele, test yetu kwenu imefanikiwa sana maana kila kukicha nape nape nape hata kula mnashindwa,kweli mmekamatwa.
Nakushauri kanusha au kubali umekosea takwimu na urekebishe! Tofauti na hapo utadharauliwa daima. Kumbuka kazi unayofanya kila mtu anakutathmini. Unatakiwa kuwa makini sana na kauli zako.
 
Back
Top Bottom