Nape; kati ya hawa nani mtawala?

Miwatamu

JF-Expert Member
Oct 2, 2012
1,450
487
Chadema haioni wivu wa kubuni sera na CCM ikatekeleza kwa manufaa ya watanzania. Sasa tujiule, kati ya mtengeneza mikakati (sera) na mtekelezaji nani anayemuongoza mwenzake?
 
"Baba anatafuta pesa ya chakula mama anapika ili watoto wale" kwa hvyo mtafutataji(mtengenezaji) siko zote ndio mtawala

Ni kwelo kabisa MV4 wameiga kwa Vuguvugu la Kijani. Bei ya vifaa vya ujenzi nao wamependekeza ishushwe kama ilivyokuwa sera ya CDM.
 
Siwaoni pro-magamba hapa kujibu hili swali, au hawajapata mwaliko? Mods msaada tafadhali ili Nape aje hapa kujibu swali ndipo tuendele kuchangia.
 
Back
Top Bottom