Nape kama vile anazungumzia ya Kibiti akihusisha na uonevu mwisho ni kisasi na mauti

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
FB_IMG_1496945310318.jpg
[HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG] "Uonevu husababisha Maumivu ya moyo,maumivu ya moyo hutunga mimba ya chuki, chuki huzaa kisasi na matokeo yake ni MAUTI" - Nape Nnauye

Toa maoni yako
 
Ukiwa nje ya ccm unakua huru kifikra na kuweza kutoa maoni yako kwa uhuru japo ukiwasema sana lazima Ununio ikuhusu
 
Huyu mwacheni hivyohivyo akili inaanza kukaaa sawasawa alidhani chuma cha JK ni kwa ajili yetu tu Sasa analo na yeye
Huyu mwacheni hivyohivyo akili inaanza kukaaa sawasawa alidhani chuma cha JK ni kwa ajili yetu tu Sasa analo na yeye
Haa!!
JK Akawa Anacheka Sana Kwa Kejeri Anasema Sasa Nawaletea Chuma Hiki
Nawaletea Mkali Sasa
Nilipochoka Mie Sasa Huyu Atawakimbiza


Mimi JK Nakwenda Kulala Usingizi Kule Msoga
 
Huyu Jamaa Kwakuwa Hayupo Tu Kwnye System Ni Walewale,anatukumbusha Machungu Ya Bunge Live,kwenda Zake Huko
 
Binadamu tunasahau maisha haya ya dunian kama tungekuwa na akili nzuri tungeishi vizuri sababu tunaishi kwenye eneo moja na tunasafiri kuelekea eneo moja...wallah ahlam
 
Back
Top Bottom