Nape huyo anaanda na kuandaa watu kwa matembezi ya miaka 35 ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape huyo anaanda na kuandaa watu kwa matembezi ya miaka 35 ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIROJO, Jan 18, 2012.

 1. K

  KIROJO Senior Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape anasema ccm haikumbatii mafisadi bali wanalishughulikia hii ni kweli?yuko live channel 10
   
 2. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kunyamaza s'times ni poa zaidi... dah!!
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hii ngonjera bado haijaisha
  nadhani Dodoma kulishindikana kuihitimisha na kuamua kuifutilia mbali au .....
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  hayo matembezi ni ya km ngapi? je atalipa how much kwa km moja? kama inalipa na mimi najiandikisha fasta..:lol: nakumbuka miaka 30 watu tulitembea Dar hadi Dom, sasa sijui safari hii nafikiri itakuwa dar hadi mza kupitia arusha, ngorongoro, musoma road.
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mchumia tumbo
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haya, tumemsikia na kumuelewa. Aende akafanye kazi ya chama
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  naombeni msaada maiti unaweza kuipiga manukato mpaka lini kabla manukato hayajazidiwa na uozo?
   
Loading...