Nape hebu walipeni wafanyakazi wa gazeti la uhuru

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,617
8,239
Wafanyakazi wa gazeti la uhuru hawalipwi mishahara kwa wskati tena wakilipwa,wanapewa kwa mafungu mafungu,hii ni aibu mfiyo masna hata hakuna mhariri mkuu,mambo yanajiendea holelaholela wsfanyakazi wote wamepoteza morali ya kazi,sasa wewe nape eti unaenda kutumbua majibu huko daily news na uhuru je?
 
Back
Top Bottom