Wewe sharo hiphop mwenzio kaweka thread muda si mrefu wewe tayari umeishaiba picha na kuweka kwenye avatar yako. Je umeomba permission toka kwa mwenye thread kutumia picha yake au ndo ubongo ubongo ambao wasanii wanalia nao wa copyright. Check hii thread harafu nijibu https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/150947-pozi-la-wkend.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.