Jamani acheni kucheza na familia za watu heshimuni wazee wetu waliotutangulia mbele ya haki... Tuongee mambo kwa busara, tumfariji mwenzetu pale penye huzuni na pongezi anapofanya jambo jema. Pia tusisahau kumkosoa anapoteleza na sio matusi na kejeli hatujengi namna hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.