Nape: Hakikisheni Dr. Slaa hafanyi mkutano siku ya Uhuru

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Taarifa za ndani ya chama.

Kuna mwana CCM kajisahau kadhani kamtumia kiongozi wa CCM kigoma kumbe katuma kwa mtu sie anatoa maagizo ya kuwambia vijana wahakikishe wanafanya chochote wawezacho kwa gharama yoyote Dr. Slaa asifanye mkurano Kigoma mjini hasa siku ya Leo ( Uhuru wa Tanganyika).

Sasa nashindwa kuelewa lengo la CCM ni nini ?? Mara hawataki CDM kife mara wanataka kife. Unafiki huu mpaka lini?
 
mikutano ya Dr. Slaa inahusiana vipi na maadhimisho ya Uhuru?
 
Akili ya kuku hiyo. Hivi Tanzania kwa nini watu, especially maCCM yanapenda kufocus kwa watu binafsi badala ya kuelekeza kuvu kwenye kujenga taifa!!??
 
Kama ilivyo kwa madikteta wote duniani huwa hawakubali ukweli unaoonyesha kuwa enzi yao ya kukaa madarakani inakaribia ukingoni, CCM nayo wamejaribu kila kila kete kuzuia wimbi la kuwaondoa madarakani, kete yao ya mwisho waliyokuwa wameiandaa ni kuwanunua akina Zitto, imebuma mapema, wanahaha kuzuia mikutano ya Dr Slaa kwa kupandikiza vijana na maluki, lakini ni kama wanachotea maji kwenye tenga, sasa hivi sijui watakuja na mauaji ya kushtukiza (assassination), manake siku zote ndio huwa ni silaha ya mwisho kabisa ya madikteta
 
Hivi inawezekana Vipi mtu akawa na ID Mbili. Moja ya Kuipinga CDM na Nyingine ya Kuisifia CDM?
 
Uushi ndo wao CDM, Mara wajipige mabomu wadai CCM, Mara wakatae kukosolewa waseme zzk katumwa na ccm! Nyie kina meku vp!? mi nadhani siasa zimewashinda nendeni mkanywe mbege!!
 
Viongozi wa ccm acha unafiki kumbe vyombo vya habari vinawaubua kupitia ss mnazotuma bila kufikiri mf, mtu mmoja aliyetuma sms kwa nape akiagiza ahakikisha dr. slaa hafanyi mkutano kigoma hasa siku ya leo ya uhuru kwa gharama yoyote ana maana gani? ccm kuwa na nia nzuri na democrasia mtafanikiwa!!!! ila mkiwa wanafiki mtaumbuka
 
ccm jamii inahudumiwa kwa ukweli, tunasoma ili tuujue ukweli na kupana na adui ujinga, je mmejitafakari kuwa mnateta msliahi ya ccm bila kujali taifa mnalotumikia, hivi kwanini kila anayekoment mitandaoni anakemea ccm? chadema be strong kupitia ujinga wa ccm naamini tutafika 2015.
 
Watanzania tumeapa kuitokomeza ccm hata kama ccm wataendelea kuhujumu mikutano ya chadema. CCM endeleeni kuvuruga amani katika mikutano ya chadema lakini mjue kwamba Hatuko tayari kuendelea kutawaliwa na Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi. Maana halisi ya ufisadi ni Wezi/Walanguzi/Majangili/Majambazi/Wauaji/watesaji/Mafisadi hivyo ccm msizani maovu yenu kuyaita ufisadi maana yake hatujui
 
Tahadhari.
Mikutano ya Katibu Mkuu wa Chadema iko pale pale kama ilivyokua imepangwa kabla.
Wanaotoa Matamko wakiwa nyumbani Kwao, Waende kwenye hadhara wawaambie wananchi kwanini wanazuia Harakati za Chadema, Ili hsli Mikutano yote Iko Kisheri kwa Kufuata Taratibu.
Tanzania ya Leo tunahitaji watu walio Jasiri Mifano Yake ni Chadema ili kujikomboa katika lindi la Umaskini.
Ccm inawadanganya watu kuwa Nchi hii kuna Amani, Amani ipi kama Nape Nnauye anaagiza watu walete Vurugu ktk Mikutano ya Chadema?
 
Last edited by a moderator:

Intelijensia ya kashfa za ZZK ilipata mpaka namba za simu na transaction za M-pesa hili vipi hata namba tu hamna!!!!!!!????
 
Last edited by a moderator:
Hao ndio viongozi tunaotegemea watutoe hatua moja kwenda nyingine,wakati hawawazi kwanini Tanzania ni maskini wakati tuna utajiri wa kutisha.wao wanawaza chadema,wakati wao ni watawala.juweni mwisho wenu umekaribia,hata huku vijijini watu wameamka.wanajua Ccm ndio wizi,wauza madawa ya kulevya,wauza meno ya tembo,wanaowanyang'anya mashamba na kuwapa wazungu.kama hata rais aliulizwa kwanini Tanzania ni maskini wakati tuna raslimali nyingi, akajibu hata yeye hajui ni kwanini,huyo ni Mwenyekiti wao,waliobaki inakuwaje
 
Taarifa za ndani ya chama.

Kuna mwana CCM kajisahau kadhani kamtumia kiongozi wa CCM kigoma kumbe katuma kwa mtu sie anatoa maagizo ya kuwambia vijana wahakikishe wanafanya chochote wawezacho kwa gharama yoyote Dr. Slaa asifanye mkurano Kigoma mjini hasa siku ya Leo ( Uhuru wa Tanganyika).

Sasa nashindwa kuelewa lengo la CCM ni nini ?? Mara hawataki CDM kife mara wanataka kife. Unafiki huu mpaka lini?
siku zote tumesema mgogoro ni waccm na cdm Zito anatumika tu.Sasa Nape anatoeje maagizo.Alivyo kataliwa Njombe anataka na cdm wasifanye mikutano yao.Wala haiwezi kuwa saidia maana watu wote sasa wamejua ni ccm sasa zito ametumika tu.Ingawa na Zito mwenyewe hafai amekubalije kutumika.Na yeye ameisha
 
Tahadhari.
Mikutano ya Katibu Mkuu wa Chadema iko pale pale kama ilivyokua imepangwa kabla.
Wanaotoa Matamko wakiwa nyumbani Kwao, Waende kwenye hadhara wawaambie wananchi kwanini wanazuia Harakati za Chadema, Ili hsli Mikutano yote Iko Kisheri kwa Kufuata Taratibu.
Tanzania ya Leo tunahitaji watu walio Jasiri Mifano Yake ni Chadema ili kujikomboa katika lindi la Umaskini.
Ccm inawadanganya watu kuwa Nchi hii kuna Amani, Amani ipi kama Nape Nnauye anaagiza watu walete Vurugu ktk Mikutano ya Chadema?
Sawa kamanda,maana hakuna dhambi kubwa kuliko woga.nahasa ukiwaogopa magamba
 
Back
Top Bottom