Nape + CCM magamba kuweni waungwana Tanzania ni yetu sote CCM INAPASWA KUFA SASA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape + CCM magamba kuweni waungwana Tanzania ni yetu sote CCM INAPASWA KUFA SASA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kweleakwelea, Jun 21, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Dear wananjamvi

  naandika message hii kwa uchungu na pia kwa matumaini...kama mtanzania, na mpenda maendeleo nimekuwa mwenye masikitiko sana kugundua kumbe busara za mwenyekiti wetu Freeman Mbowe na Waziri Mkuu Pinda zinabezwa na wanaCCM wakiwakilishwa jamvini na wanamagamba, wanaochukulia muafaka kuwa ni BETRAYAL kwa umma uliokuwa unadai haki yao kule arusha. kwa miwani hii ya arusha tumegundua kuwa kupenda kushika madaraka kwa gharama yeyote na kutia umma umasikini umma kwa faida ya wachache imeonekana kuwa ni sera yenye kipaumbele kwa wenzetu wa CCM. mfano ni ukali wa maisha unaoletwa na kupanda bei ya mafuta kunakosababishwa na wakuu wa nchi kujihusisha na biashara ya mafuta na kugharamia kampeni za CCM kunamuathiri kila mtu.... kwa mwendo huu inatubidi tuamini kuwa CCM ITAKUFA RASMI BAADA YA UCHAGUZI WA 2015 AND we can not bear it to be even an OPPOSITION kwani falsafa zake ni za ajabu sana. ni masikitiko makubwa nilipogundua nape na wenzie wanabeza mwafaka wa arusha na pengine walitamani USIPATIKANE kwa gharama yoyote.

  ni uchungu kuendelea kuconfirm kuwa CCM

  1. nape na wenzio mnayo nia ya kushika dola ili kuua na kuumiza raia masikini kwa gharama yoyote. (kupiga risasi raia waliokuwa wanahoji mwafaka wa jiji lao)

  2. nape na wenziomnayo nia ya kushika uongozo wa nchi hata kama kushika huko madaraka kutazorotesha maendeleo (kuwa na uongozi ambao si concessus ni barrie to development)

  3. nape na wenzio hampendi mwafaka kwani AMANI ni tunda la HAKI ambalo sio sera yenu (kufikiwa mwafaka kumewaathiri sana kisaikolojia na kifisadi)

  ni matumaini kwamba

  1. nape na wenzio mmejifunza kuwa watu si punda ambaye hata ukilmlaziomisha kufika mtoni huwezi mlazimisha kunywa maji

  2. nape na wenzio wizi na ufisadi uliokuwa unatarajiwa pale arusha kupitia ofisi ya meya sasa utakwama

  3. nape na wenzio mjue maendeleo ya watu sasa yatapatikana pale arusha

  4. kuna kila daliki kuwa AMANI itarejea kwani HAKI imepatikana

  SHAME ON YOU! KWANI NAPE NA WENZIO MMESOMEA NINI? HAMUWEZI HATA KUFUNGUA CONSULTANCY FIRM?

  kidumu chama cha demokrasia na maendeleo!

  kife chama cha mapinduzi!

  idumu Tanzania
   
Loading...