Nape azungumza Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro: Aisifia Bajeti; aasa CCM

Wee jamaa ni *^%&@* Sanaaaaa na tena saaana tu....

Huwezi kuja na pumba kali namna hii na ufikiri tutakuacha uheme kama Samaki ndani ya maji.

Tutakuchomoa kutoka huko uliko na tukuanike wazi. Watu kama nyie mnatuharibia hii JF.

Mods, hebu kifungieni hiki kimtu na IP yake iwekwe kwenye uangalizi kiasi kwamba akijiunga tena, anakula BAN palepale...

Na wewe Nauye JR, si ungelikuja kuandika hapa kuwa hukusema na siyo kufungua thread nyingine?

Hivi huko India ulienda kweli kusoma au ilikuwa ni kula na kulala na mwisho wakakupa cheti - Vyeti vya CCM?

You can do it better then. Njoo hapa moja kwa moja na ujibu. Umekuwa na tabia ya kukimbia watu....

Nashukuru kuwa umegundua kuwa sisi tunafahamu kuwa umefahamu kwamba ulipokuwa Rukwa, ulihutubia vitoto.

Wee mtu na ukubwa ndani ya chama unapata vitoto tu na unaishia kutugaiwa pipi? Kweli wastahili kuwa na watoto.
 
Nape hilo lalamiko halijaenda shule kabisa! Ilipaswa uwasiliana na mods kujua nini kinatokea kwenye threads zenu zenye 'mshiko'..

Pia ukianzisha threads ni vyema kuitetea..sio unapotea.

Nikupongeze pia kwa kuwa na uungwana wa kuanzisha threads, ukiwa kama katibu mwenezi wa CCM..
Tujunge hoja..hii ni nchi yetu sote kama Watanzania..kwenye madhaifu ukubali,
 
Pole sana Naape Jr. Nadhani huyo aliyeleta uzushi MODs watampa haki yake kwa kuleta uzushi.
Swali la kizushi kwako, nasikia toka Msekwa aseme JF ni mtandao wa CDM umeleta mamluki wengi sana ambao kazi yao ni kuchafua hali ya hewa humu JF?
 
Sasa vijana aliowaajili hapa jf akina MS,jeykey,tumain,omr,na vilaza wengine ataendelea kuwalipa?
 
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.
Nape, kwanza pole kwa kuwa misquoted, kwa position yako, kuwa misquoted kwa makusudi au kwa bahati mbaya, ni jambo la kawaida, na lazima ulikubali na kulizoea, ambapo kwa social forums zote uzushi pia upo kutokana na viwango tofauti vya uelewa kati ya mtu na mtu. Dawa ya uzushi sio tuu kuukanusha, bali kuurekebisha, just put things right na straight, kwa kueleza ulichomaanisha ili kuudefeat huo uzushi.

Hili la kuwa blocked mimi limenistua, sio kwa sababu halipo, bali siamini kuna kitu kama hicho jf. Nijuavyo mimi, wanaokuwa blocked ni wale ambao officially wamekuwa banned na sababu za ban zao hutolewa, hili la members kuwa blocked, ndio nalisikia kwako, na kama ni kweli linafanyika, its not fair, na inatubidi siye wengine tuanze kuiangalia jf kwa jicho pembe.
 
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.

Vipi mbona unabisha na mimi mwenyewe nimekusikia kwa masikio yangu? Au ulikua unamaanisha nini? wewe ndo mzushi namba moja na mnafiki mkubwa sana kuliko wanafiki wote walio wahi kutokea katika nchi hii.
 
UKWELI NDIO UPI MBONA UNA MAKA MKUU? Eleza ulichosema ili usomeke hapa. Sisi tunajua wewe ni CCM majukwaani na upinzani Moyoni bana.
 
Hii ipelekwe jukwaa la malalamiko..
Anyway, Pole kama wamekunukuu vibaya.
 
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.

Mkuu Nape nakubaliana na wewe kabisa, uzushi unatupotezea focus ya mambo muhimu, siku hizi humu utaona thread za, Breaking news: Chadema yapata pigo, Breaking news: Nape CCJ n.k na n.k. Hii ya wewe kukiri kuhusu kuthibitisha Dr Slaa ni rais ajaye nipoiona tu nikajua ni uzushi. Mkuu wa Kitenga cha uongo na uzushi wa CCM hawezi kuongea ukweli hata siku moja, yaani ni kama Al-sahaf au Mussa Ibrahim wa Libya, kusema kuwa tunashindwa wakati kila mtu anajua hivyo. Ushauri wangu ni kuwa ili uwe effective achana na kujibu uzushi kama huu waanzilishi wake wanafurahi kweli ukilipuka. Wakati nikiwa mdogo tulikuwa tukiwatania watu fulani basi wakianza kulipuka na kutuvurumishia mawe sisi ndiyo starehe yetu hiyo. Hiyo ndiyo siasa, kama ulichosema si hiki usihofu kazi yako ipo salama tu. Hii ni minyukano ya ndani kwa ndani.

Ushauri kwa mods: Sasa umefika wakati wa kupandisha discipline humu JF, mtu akileta thread isiyo na uthibitisho basi apewe nusu saa kuithibitisha kabla haifutwa na akifanya hivyo mara tatu consecutively anafungiwa mwezi mmoja. Hii inaondoa credibility and reliability of JF as perfect source of information, tuwaambie wazushi kuwa hili jukwaa si mahala pao.

Pole sana Mkuu Nape.
 
pole sana kaka,lakini ulihudhuria mahafali??unahudhuria ya waislam pekee???asante
 
Vipi mbona unabisha na mimi mwenyewe nimekusikia kwa masikio yangu? Au ulikua unamaanisha nini? wewe ndo mzushi namba moja na mnafiki mkubwa sana kuliko wanafiki wote walio wahi kutokea katika nchi hii.
Lol!... Mkuu msamehe bure huyu, hajui kuna watu walimsikia. Nape anakurupuka sana siku hz. Anatia hata huruma.. Aseme alichosema ili tuprove uongo wa aliyepost sred. Analalamika afu haweki ushahidi.
 
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.
Nape kumbe hujui hata kidogo jinsi JF inavyo operates, ni aibu kubwa sana kijana, na hapo kwenye red kumbe uliowatuma(faiza fox na malarisa sugu) wakila ban wanaripoti kwako tena?
 
Mkuu Nape nakubaliana na wewe kabisa, uzushi unatupotezea focus ya mambo muhimu, siku hizi humu utaona thread za, Breaking news: Chadema yapata pigo, Breaking news: Nape CCJ n.k na n.k. Hii ya wewe kukiri kuhusu kuthibitisha Dr Slaa ni rais ajaye nipoiona tu nikajua ni uzushi. Mkuu wa Kitenga cha uongo na uzushi wa CCM hawezi kuongea ukweli hata siku moja, yaani ni kama Al-sahaf au Mussa Ibrahim wa Libya, kusema kuwa tunashindwa wakati kila mtu anajua hivyo. Ushauri wangu ni kuwa ili uwe effective achana na kujibu uzushi kama huu waanzilishi wake wanafurahi kweli ukilipuka. Wakati nikiwa mdogo tulikuwa tukiwatania watu fulani basi wakianza kulipuka na kutuvurumishia mawe sisi ndiyo starehe yetu hiyo. Hiyo ndiyo siasa, kama ulichosema si hiki usihofu kazi yako ipo salama tu. Hii ni minyukano ya ndani kwa ndani.

Ushauri kwa mods: Sasa umefika wakati wa kupandisha discipline humu JF, mtu akileta thread isiyo na uthibitisho basi apewe nusu saa kuithibitisha kabla haifutwa na akifanya hivyo mara tatu consecutively anafungiwa mwezi mmoja. Hii inaondoa credibility and reliability of JF as perfect source of information, tuwaambie wazushi kuwa hili jukwaa si mahala pao.

Pole sana Mkuu Nape.
Hapo kwenye red umenifurahisha, kwenye green nimependa sana, tumechoka kusoma uzushi humu, hatuji kucheza hapa tunafuata taarifa zenye uhakika na zenye manufaa kwa nchi yetu, ningependekeza muanzisha uzushi asipothibisha, asipewe chance nyingine apigwe ban instantly, kwani watu wanaanzisha uzushi wakiwa sobar kabisa so hakuna kuwasamehe.
 
Angekuwa Lema hapo angeambiwa anakwenda kutela vurugu na migomo chuoni huo ni woga. Anyway mtindi wa kudharau vyuo sio mzuri hususani hivi vya kiislaamu! Wote hawawezi kusoma St. Augustino au vinavyofanana na hivyo.
 
Na kuhusu ku-block,hii kitu sio nzuri,mimi nimeshachakachuliwa posts zangu mara kibao!!....kuna bias fulani humu jf.
 
Back
Top Bottom