Nape azungumza Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro: Aisifia Bajeti; aasa CCM

Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.
mwanaccm hakataliwi wala mazuri ya ccm hayakataliwi ila ukileta pumba za ccm lazma zipanguliwe!
 
digrii ni digrii tu hata kama inatambulika samunge peke yake.chuki zako za kisiasa zimekupofusha,angalia usianguke.aah vipi wewe kwa hiyo kiongozi akizungumza na wanafunzi wa Tumaini, sawa.Lakini akifika morogoro...............hii nchi yetu sote jamani.acha mawazo ya kale .watu wamesoma sana siku hizi na wanajua kinachoendelea.acha chuki.au kafiri nini?
 
Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.

Ebo, unawaambia ukweli nani nao !
 
huko ndo saizi yake na ndo kwenye vibaraka wake huko. Chuo chenyewe kinatoa dgree za ajabu sana zinatambulika qatari, omani,saud arabia na afghanistani tu.

Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.

Nakushangaa sana wewe Achebe. Umetoa mada watu wawili wamechangia halafu unakuja na shutuma ambazo hakuna hata mmoja kati ya hao wawili aliyekushutumu. Mbona nyie vibaraka wa Nape mnawasiwasi sana. Nyie ndo mtasoma namba. Ngojeni na hiyo bajeti yenu itakapokwama ndipo mtajua kuwa sasa mnapaswa kujivua ngozi na siyo gamba pekee.
 
Hivi ndivyo kazi ya siasa inavyofanyika hakika ccm imepata mkombozi wa kuisemea,sasa naona wenye kihoro wanaanza kuhaha kwa kejeri hata za kuanza kubeza Elimu zinazotolewa na baadhi ya vyuo eti ili uhitimu lazima usome st.AUGUST AU Tumaini hii ni upuuzi mtupu.MH.Nape chapakazi kamanda kazi ya siasa ni kuwaendea watu na kuwaelimisha sio kuishia kuandamana bila kuwapatia Elimu ya matatizo yao.Ni kweli bajeti imedhamiria kuondoa kero za wasomi anayebisha mwanga na asiye na macho aambiwi tazama.chapa lapa twende kamanda,hivi ni lini DR. slaa ataalikwa hata Tumaini.Mwe mbombo ni nghafu.
 
Kutoka eneo la kihonda mjini morogoro kwenye eneo la chuo kikuu cha Muslim university of morogoro ,yaani chuo kikuu cha kiislamu morogoro katibu wa itikadi na uenezi wa ccm Bw Nape Nauye amekiri rasmi kwa ulimi wake kuwa yawezekana Dr slaa akaukwaa urais mwaka 2015. Akizungumza kwenye mahafali ya wanafunzi wapatao 37 ambao ni wanachama wa CCM Nape aamenukuliwa akisema.."vijana wenzangu kwa kweli tuna hali mbaya sana hata kama tunajitahidi kushambulia kwenye vyombo vya habari na majukwaani ila wenyewe mashahidi kule rukwa ni watoto walikuja kwenye mikutano yangu hivyo hali yetu mbaya na hali ikiendelea hivi basi 2015 tujiandae kuwa wapinzani chini ya rais Dr slaa"

Nape anakua sasa, ukweli ni kwamba kama wewe ni magamba na unajifanya huoni ujue unatatizo, magamba wanapaswa kukaa chini na kutengeneza "road map" kuelekea 2015 vinginevyo nasema bye bye..
 
Hivi tetesi inaweza kuwa breaking news?, Nape eti ni kweli umesema haya?
 
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.
 
Hata huu ni UZUSHI tu..
 
We mtoa mada unajidhalilisha kwa kutoa uongo hapa. Mimi nilikuwepo na nilipost kila alichokisema hapa. Sasa nimeamini Nape kweli anavisumbua vichwa vya CDM. Mara mpendanzoe na CCJ mara leo unakuja na upumbavu wako huu. Sema ukweli si leo kawashika kwenye korodani ndo umekasirika? Leo kawapata kweli lakini hatukushangai kwa sababu ulishawahi kuichakachua picha ya kiongozi wa CCj ukaweka kichwa cha Nape.
 
Tabia yako ya kupost mada na kuingia mitini! Nakushauri ukaikanushe hukohuko badala ya kuanzisha thread nyingine
 
NIMESOMA THREAD moja ikielezea mkutano wangu na wanafunzi wa chuo kikuu cha kiislamu cha Morogoro inayodai ETI NIMESEMA DR. SLAA ni rais ajae!!!!! HUU NI UZUSHI wa ajabu sana,kesho mtu anaweza sema hapa Nape mchina na watu mtachangia....HUKU mnakotupeleka sio kabisa..
Lakini ninao ushahidi hapa thread zote zenye positive hoja hutolewa ndani ya dk chache, lakini za kuzusha zitapandishwa kila sekunde na si ajabu baada ya hii mkaniblock maana wengi sasahivi humu mnatublock.
Ingekuwa vizuri kama ungetueleza ulichokisema kumuhusu Dr Slaa ili tujue kama ule ni uzushi au laa, au hukumtaja kabisa Dr Slaa kwenye huo mkutano?
 
Back
Top Bottom