Nape azungumza Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro: Aisifia Bajeti; aasa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape azungumza Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro: Aisifia Bajeti; aasa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ACHEBE, Jun 12, 2011.

 1. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  BAJETI IMELENGA KUTATUA KERO ZA ELIMU YA JUU:NAPE

  Katibu wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM Itikadi na uenezi Nape Nnauye amesema bajeti ya mwaka 2011/2012 imelenga kutatua kero zilizojitokeza kwenye elimu ya juu .
  Aliyasema hayo mjini Morogoro wakati akizungumza na wanafunzi wa elimu ya juu wa vyuo vikuu vya Morogoro kwenye mahafali ya kuwaaga makada wa CCM waliokuwa wakisoma kwenye chuo kikuu cha Kiisilamu cha mjini Morogoro.
  Akitolea mfano uamuzi wa serikali kutoza kodi ya kukuza ujuzi(skills development levy), ambayo kwa bajeti ya 2011/2012 mgawanyo wake umelenga kupeleka asilimia 4% kati ya 6% ya kodi hiyo kwenye bodi ya mikopo na hivyo kuongeza uwezo wa bodi kuhudumia wanafunzi.
  “mwaka jana kodi hii ilikusanya karibu bilioni 200, na huwa inaongezeka kadri uchumi unavyokua, mategemeo kwa mwaka huu wa fedha pesa hii itaongezeka hivyo kutenga aslilimia hiyo itasaidia sana kwenye kutatua tatizo la mikopo kwa elimu ya juu”Alisema Nape
  Akawataka wanafunzi wawapuuze wanaopita na kusema hakuna kilichofanyika huku wakijua wazi kuwa kila mwaka hatua kubwa tu inapigwa katika kushughulikia kero mbalimbali za wananchi.

  “kumekuwa na maneno mengi juu utaratibu wa kutoa mikopo na uendeshaji wa bodi yake, lakini rais kwa kulitambua hili ameunda tume ya kuangalia namna bora ya kushughulika na hili la bodi, tume ikikamilisha, na hili ongezeko la pesa bila shaka changamoto nyingi zitapungua” Alisema Nape.
  Nape aligawa vyeti vya kuhitimu kwa makada 65 wa chuo hicho na kupewa taarifa ya chama ya tawi hilo. Alipokelewa mkoani Morogoro na viongozi wa CCM mkoa huo wakiongozwa na mwenyekiti wa CCM mkoa huo Ndg. Petro Kingu.
   

  Attached Files:

 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  huko ndo saizi yake na ndo kwenye vibaraka wake huko. Chuo chenyewe kinatoa dgree za ajabu sana zinatambulika qatari, omani,saud arabia na afghanistani tu.
   
 3. k

  kiwalanikwagude Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutoka eneo la kihonda mjini morogoro kwenye eneo la chuo kikuu cha Muslim university of morogoro ,yaani chuo kikuu cha kiislamu morogoro katibu wa itikadi na uenezi wa ccm Bw Nape Nauye amekiri rasmi kwa ulimi wake kuwa yawezekana Dr slaa akaukwaa urais mwaka 2015. Akizungumza kwenye mahafali ya wanafunzi wapatao 37 ambao ni wanachama wa CCM Nape aamenukuliwa akisema.."vijana wenzangu kwa kweli tuna hali mbaya sana hata kama tunajitahidi kushambulia kwenye vyombo vya habari na majukwaani ila wenyewe mashahidi kule rukwa ni watoto walikuja kwenye mikutano yangu hivyo hali yetu mbaya na hali ikiendelea hivi basi 2015 tujiandae kuwa wapinzani chini ya rais Dr slaa"
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mi sina mtoto mdogo,kwaiyo mambo ya NEPI hayaniusu.  Napita tu wakubwa.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...............Kama ni kweli, ameanza kupevuka kiakili...........
   
 6. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nEPI IMEKUA BUkta.
   
 7. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Anataka kuvuliwa gamba huyo .......vinginevyo ameikumbuka CCJ
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Duh! Kumbe wanatukubali kimtindo? That's kweli Dr. Slaa ndie RAIS AJAE WA NCHI HII..
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well hata anaechelewa hua anafika....ccm nao wameanza kuwasili kwenye ‘hali halisi‘.
   
 10. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli basi atakuwa ameshasoma alama za nyakati ni huu ndio utu uzima. Pia anaonekana kuanza kutia shaka anachokifanya jamani si mnajua unafiki haujifichi na huwezi kuwa mnafiki kwa nafsi yako pia huwezi kujidanganya mwenyewe. Ina maana anaujua ukweli wa mabo na mikutano yake anayofanya ni mazingaumbwe tu.
   
 11. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naona umejiunga juzi ... Umetumwa na Nape kupima upepo? Vyovyote vile mwambie huo ndio ukweli. Kauli hiyo ni kupigia jibu mstari.
   
 12. k

  kipanga mlakuku Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safi sana nape umeanza kupevuka kiakili tunakukaribisha chadema njoo tuendeshe harakati za ukombozi wa kweli
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani hawalijui hilo?
   
 14. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama ulichukua video plz tunaomba utuwekee hapa tujisikilizie wenyewe huyu mbayuwayu anavyojikataa mwenyewe. Alijifanya anaanza kwa speed alidhani atatutetemesha. Cdm ni moto mkubwa hauwezi kuzimwa na mtoto km yeye.
   
 15. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli Nape ametoa hiyo kauli, ina maana amekubali kuutambua udhaifu wa chama chake. Kwa mantiki hiyo ataanza kujitahidi pamoja na wenzake ili kuuondoa huo udhaifu, kwa hali hii CHADEMA badala ya kushangilia na kujisahau, inabidi mkaze buti zaidi..
   
 16. A

  ACHEBE JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 348
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwiba unapoingilia ndipo unapotokea. Hata kama inauma lakini ukweli ndio huo mnakereka kweli na speed ya Kijana. Narudia tena na sitaacha kuwaambia ukweli hii siyo forum ya CHADEMA ni mtandao wa kijamii. kwa hiyo mpende msipende mtaiona tu humu CCM kwa sababu CCM ni sehemu ya jamii. Mpende msipende mtaisoma namba.
   
 17. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Nadhani keshaona Ugumu wa Mapacha watatu ambao hawasemi wala kupigana kwa vitendo, keshaona sasa kumbe CCM walikuwa wamemtoa sadaka tu kwenye hii issue ya kuwavua magamba,
   
 18. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hizi ni dalili kwamba hakuna atakaye vuliwa gamba baada ya siku 90 hiyo 10/07 yaani siku 29 zijazo
  sasa ndio anashituka alipewa mahubiri ya uongo
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Crap bin Pumba!
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hata mkwe.re analiju hilo ndo maana akaiba kura kweli kweli
   
Loading...