Nape awalipua Dr. Slaa na Mbowe, amtetea Pinda

Huyu dogo amewashika pabaya CHAKushindwa (CHA - DEMA - Kiswahili fasaha tafsiri ya DEMA ni Kushindwa) kwani yuko unstopable kama MESSI vile, wanashindwa kujua wamkabe wapi. Nape maliza kabisa hiki chama cha udini + ukabila + ukanda

angalia hasije akammaliza hadi mkeo, maana ndo'amezuru nyanda zao.
 
Ukisikia paaaaaaaaaaaaaaaaa, ujue imempata ! kaka imekuingia mpaka ................

kunakusikia paa! Kumbe baruti tena ya njiti ya kiberiti. Au yakawa yale mabomu ya misaada iliyopewa selikari ya chama cha misukule, yakaondoa roho za raia wasio na hatia.
 
Duh kweli kuishiwa maneno kuzuri na unapokutana na simba kweney uchochoro ukawa huna sehem ya kwenda wala kugeuka ni huku kwa Nape. Maana badala ya kujadili umaskini wa watanzania na namna tutakavyoondolana nao amebaki kuisemea CDM na viongozi wake na badala ya kutueleza namna chama chake kitakavyotekeleza ilani yake ya uchaguzi na ahadi lukuki zilizotolewa tunaambia mambo ya CDM tuu kwenye mikutano yao
Yaani hapa ni kama Nape amekutana na simba kwenye uchochoro hajui aende wapi anaishia kuongea mambo ambayo sio mtaji kwa chama chake bali ni kuzidi kukiangusha chama chake
 
Kobello hilo haliwezekani. CCM kama wanataka wavunje chama basi warudishe Azimio. Huwezi kuwa na Azimio la Arusha bila kufuata misingi ya Ujamaa wa Nyerere. Azimio haliwezi kusimama peke yake.
Mzee Mwana kijiji huo ujumbe ulio kwenye sub-tittle ni kiboko kweli kwa hawa jamaa. Ingawa si wacha Mungu (kwa vitendo vyao) lazima itawagusa hata kama watashupaza shingo zao endelea kutuletea mistari ya biblia huenda ikawa na impact kwa baadhi ya viongozi walio na walau hufu ya Mungu kidogo.
 
nape nnauye umewakamata chadema sehemu mbaya endelea kuwaminya.

daktari wa wakatoliki kakimbia jukwaa. anaogopa kuulizwa kodi

hapa wanakushambulia sababu umewakamata pabaya.

walianzisha mipasho wewe wape beti.
 
watu wengine wehu kweli, Hivi unaweza ukasimama mbele za watu na ukasema Mbowe kapata utajiri kwa jasho lake. Fanya utafiti utajua kuwa mbowe ni fisadi hajaanza leo kaanza muda mrefu na kuna muda alikuwa nalink na biashara chafu. Ufisadi wake tayari umeshajidhihirisha kwa kujilipa mapesa ya ruzuku baada ya uchaguzi wa 2005 na sasa anataka alipwe pesa nyingi kwa magari chakavu.
Hongera kwa utafiti wako. Peleka ushahidi polisi au pccb badala ya humu jm.
 
nape nnauye umewakamata chadema sehemu mbaya endelea kuwaminya.

daktari wa wakatoliki kakimbia jukwaa. anaogopa kuulizwa kodi

hapa wanakushambulia sababu umewakamata pabaya.

walianzisha mipasho wewe wape beti.

Mwite chumbani kwako aje akupe beti mwenyewe!!
 
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndiye Waziri Mkuu pekee anayeishi maisha ya kawaida barani Afrika na gharama zake za maisha ni ndogo kuliko hata za baadhi ya viongozi wa Chadema.

Nape alisema hayo jana akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja wa sekondari ya Msakila mjini hapa katika ziara yake ya kwanza mkoani Rukwa tangu ateuliwe kushika wadhifa huo.

"Sisi sote Pinda tunamfahamu ... napenda kukuhakikishieni, kwamba Pinda ndiye Waziri Mkuu pekee Afrika anayeishi maisha ya kawaida, ni mwungwana kwa kauli na vitendo," alisema Nape na kuwataka wananchi hao kukataa upotoshaji wa viongozi wa Chadema.

Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa Katavi ambako Pinda ni Mbunge, alidai Waziri Mkuu alikuwa anafurahia anasa za cheo chake.

Akiwa katika vijiji vya Majimoto, Mbende na Usevya alikozaliwa Pinda, Dk. Slaa alidai Waziri Mkuu na wasaidizi wake wanatembelea magari ya gharama kubwa wakati wapiga kura wana hali ngumu ya maisha.

Nape alisema Chadema wanamtuhumu Pinda kuishi maisha ya anasa wakati viongozi wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, akiishi maisha ya gharama za juu kuliko Waziri Mkuu.

Alidai kuwa Mbowe alipopata nafasi hiyo bungeni, aliilazimisha Serikali impe gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo alidai gharama zake ni mara mbili ya gari analotembelea Pinda.

Nape alisema Serikali ya CCM inakusudia kupeleka muswada bungeni unatenganisha siasa na biashara ili wafanyabiashara wabaki kwenye biashara, kwa kuwa wanasiasa kujiingiza katika biashara kunachangia ukwepaji kodi na kuliingizia taifa hasara.

"Wanasiasa kama Mbowe tutawabana, waamue kati ya siasa na biashara, kwani wanachangia kukwepa kodi ambao ni wizi huku wakijifanya wanatetea wananchi.

"Kwa mfano namshangaa sana Mbowe, kwa kuamua kubariki mshahara wa Sh milioni saba anaolipwa Dk. Slaa kuwa eti ni posho!" alishangaa Nape.

Alisema, baraka hizo za Mbowe kwa mwaka zinasababisha Taifa kupata hasara ya Sh. milioni 25 na kwa kuwa watendaji wengine wa Chadema pia wanalipwa posho badala ya mishahara, kwa ujumla wanaliingizia Taifa hasara ya Sh. milioni 487.

Alifafanua kuwa, fedha hizo ambazo ni hasara hiyo inayosababishwa na Chadema kugeuza mshahara kuwa posho ili isilipwe kodi wakati wafanyakazi wengine wote wanatozwa kodi, zingeweza kununua vitabu vya Sayansi 48,000 kwa sekondari nchini na madawati mengi.

Kuhusu tuhuma kuwa alitaka kuhama CCM na kujiunga na CCJ, Nape alisema, kamwe hawezi kukihama chama hicho kwa sababu ni cha waungwana, kwa kuwa kiliasisiwa na waungwana.

Alisema mambo ya CCM ni ya kimungu, ndiyo maana Watanzania wameendelea kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza nchi kwa amani na utulivu.

Source: Habari Leo

Watanzania tujiulize hivi is EVERY story worth publishing? Hiii story ina manufaa gani kwa umma? Ni kwa nini magazeti yatu yamejaa umbea wa kisiasa kuliko habari zenye manfaa kwa umma au hoja za kuleta maendeleo?
 
"Sisi sote Pinda tunamfahamu ... napenda kukuhakikishieni, kwamba Pinda ndiye Waziri Mkuu pekee Afrika anayeishi maisha ya kawaida, ni mwungwana kwa kauli na vitendo,” alisema Nape na kuwataka wananchi hao kukataa upotoshaji wa viongozi wa Chadema.

Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa Katavi ambako Pinda ni Mbunge, alidai Waziri Mkuu alikuwa anafurahia anasa za cheo chake.

Akiwa katika vijiji vya Majimoto, Mbende na Usevya alikozaliwa Pinda, Dk. Slaa alidai Waziri Mkuu na wasaidizi wake wanatembelea magari ya gharama kubwa wakati wapiga kura wana hali ngumu ya maisha.

Nape alisema Chadema wanamtuhumu Pinda kuishi maisha ya anasa wakati viongozi wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, akiishi maisha ya gharama za juu kuliko Waziri Mkuu.

Alidai kuwa Mbowe alipopata nafasi hiyo bungeni, aliilazimisha Serikali impe gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo alidai gharama zake ni mara mbili ya gari analotembelea Pinda.

Nape alisema Serikali ya CCM inakusudia kupeleka muswada bungeni unatenganisha siasa na biashara ili wafanyabiashara wabaki kwenye biashara, kwa kuwa wanasiasa kujiingiza katika biashara kunachangia ukwepaji kodi na kuliingizia taifa hasara.

"Wanasiasa kama Mbowe tutawabana, waamue kati ya siasa na biashara, kwani wanachangia kukwepa kodi ambao ni wizi huku wakijifanya wanatetea wananchi.

“Kwa mfano namshangaa sana Mbowe, kwa kuamua kubariki mshahara wa Sh milioni saba anaolipwa Dk. Slaa kuwa eti ni posho!” alishangaa Nape.

Alisema, baraka hizo za Mbowe kwa mwaka zinasababisha Taifa kupata hasara ya Sh. milioni 25 na kwa kuwa watendaji wengine wa Chadema pia wanalipwa posho badala ya mishahara, kwa ujumla wanaliingizia Taifa hasara ya Sh. milioni 487.

Alifafanua kuwa, fedha hizo ambazo ni hasara hiyo inayosababishwa na Chadema kugeuza mshahara kuwa posho ili isilipwe kodi wakati wafanyakazi wengine wote wanatozwa kodi, zingeweza kununua vitabu vya Sayansi 48,000 kwa sekondari nchini na madawati mengi.

Kuhusu tuhuma kuwa alitaka kuhama CCM na kujiunga na CCJ, Nape alisema, kamwe hawezi kukihama chama hicho kwa sababu ni cha waungwana, kwa kuwa kiliasisiwa na waungwana.

Alisema mambo ya CCM ni ya kimungu, ndiyo maana Watanzania wameendelea kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza nchi kwa amani na utulivu.

Source: Habari Leo
kiroho nafikiri ingekaa njema. Siasa na dini, ukabila, ukanda na n.k haviendani kabisa.
 
Watanzania tujiulize hivi is EVERY story worth publishing? Hiii story ina manufaa gani kwa umma? Ni kwa nini magazeti yatu yamejaa umbea wa kisiasa kuliko habari zenye manfaa kwa umma au hoja za kuleta maendeleo?

Mkuu na hapo hakuna hata moja ilipoongelewa kero za maji au za madawati kwa shule zao au vitabu au walimu ambao hawajalipwa mafao yao au barabara au uhaba wa chakula au kupanda kwa gharama za maisha au kukosekana kwa kwa umeme wa uhakika au duh list ni kubwa mno
 
Hii ya Nape nimeipenda, kijana anazidi kuudhirishia umma kuwa serikali ya JK ipo usingizini fofofo! Hivi kwa mamlaka ya mapato tuijuayo ilivyomstari wa mbele kupambana na walipa kodi haswa wale wasioichangia CCM, hivi kwa kashfa hiyo CHADEMA wangepona kweli? Kabisa Dr. Slaa jinsi anavyowachachamalia TRA wakati yeye akikwepa kodi si TRA nzima ingehamia makao makuu ya CHADEMA?
NAPE TUNAJUA NI PROPAGANDA ZA KISIASA LAKINI UNAIDHALILISHA SERIKALI YA CHAMA CHAKO. TUAMBIENI MIKAKATI YA KUJENGA BARABARA ZA LAMI MPYA KM 11,000, VIWANJA VYA NDEGE, MELI MPYA ZIWA VICTORIA NA NYASA, RELI MPYA YA KISASA NA TRENI MPYA ZA KISASA, MIRADI YA MAJI LUKUKI UKIWEMO WA HANDENI NA KILINDI. SIO HABARI YA CHADEMA WANAKWEPA KODI NA BLABLA KAMA HIZO, HAYO NI MAJUKUMU YA SERIKALI KUKUSANYA KODI STAHILI.
 
Tanzania kweli demokrasia imekuwa sana, yaani siku hizi unaongea lolote tu as long as una mdomo. Nape ana uhuru wa kuongea lolote lile as long as ana mdomo. Anaogopa kulifunga domo lake kwa muda kwa kuwa litanuka.

Watanzania wa leo wanahitaji specifics na ushahidi vilevile. Hizi porojo za majukwaani bila uthibitisho watanzania wamezichoka. Tangu ameanza kuzunguka mikoani sijasikia anaongelea KAGODA, DEEP GREEN, MEREMETA, IPTL, PPF, ATCL, EPZ......nk. Yeye anakuwa anaongelewa CHADEMA tu ukifikiri watanzania hawana matatizo. Nape alivyo na akili nzuri atadai hata hali ya kimaskini ya hawa watoto hapa chini imesababishwa na CHADEMA. Mlioko karibu naye muulizeni kuhusu hawa watoto, mtasikia anadai ni sababu ya posho za CHADEMA.

C.JPG
 
Hii ya Nape nimeipenda, kijana anazidi kuudhirishia umma kuwa serikali ya JK ipo usingizini fofofo! Hivi kwa mamlaka ya mapato tuijuayo ilivyomstari wa mbele kupambana na walipa kodi haswa wale wasioichangia CCM, hivi kwa kashfa hiyo CHADEMA wangepona kweli? Kabisa Dr. Slaa jinsi anavyowachachamalia TRA wakati yeye akikwepa kodi si TRA nzima ingehamia makao makuu ya CHADEMA?
NAPE TUNAJUA NI PROPAGANDA ZA KISIASA LAKINI UNAIDHALILISHA SERIKALI YA CHAMA CHAKO. TUAMBIENI MIKAKATI YA KUJENGA BARABARA ZA LAMI MPYA KM 11,000, VIWANJA VYA NDEGE, MELI MPYA ZIWA VICTORIA NA NYASA, RELI MPYA YA KISASA NA TRENI MPYA ZA KISASA, MIRADI YA MAJI LUKUKI UKIWEMO WA HANDENI NA KILINDI. SIO HABARI YA CHADEMA WANAKWEPA KODI NA BLABLA KAMA HIZO, HAYO NI MAJUKUMU YA SERIKALI KUKUSANYA KODI STAHILI.

Mkuu hayo mambo ni magumu sana kwa huyu dogo kuyazungumzia ndo maana anatafuta cheap popularity kuiongelea CDM tuu
 
Kuhusu tuhuma kuwa alitaka kuhama CCM na kujiunga na CCJ, Nape alisema, kamwe hawezi kukihama chama hicho kwa sababu ni cha waungwana, kwa kuwa kiliasisiwa na waungwana.

Alisema mambo ya CCM ni ya kimungu, ndiyo maana Watanzania wameendelea kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza nchi kwa amani na utulivu.
:dance:Huku ni kufilisika kimawazo.Leo Nape anadhubutu kusema CCM ni chama cha waungwana?Waungwana wakina nani?Lowassa?Chenge?Rostam?kingekua chama cha waungwana wangejivua magamba?hata wajivue ngozi haitasidia achilia mbali eti kujivua gamba!:A S 103:

Source: Habari Leo[/QUOTE]
 
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndiye Waziri Mkuu pekee anayeishi maisha ya kawaida barani Afrika na gharama zake za maisha ni ndogo kuliko hata za baadhi ya viongozi wa Chadema.

Nape alisema hayo jana akihutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja wa sekondari ya Msakila mjini hapa katika ziara yake ya kwanza mkoani Rukwa tangu ateuliwe kushika wadhifa huo.

"Sisi sote Pinda tunamfahamu ... napenda kukuhakikishieni, kwamba Pinda ndiye Waziri Mkuu pekee Afrika anayeishi maisha ya kawaida, ni mwungwana kwa kauli na vitendo," alisema Nape na kuwataka wananchi hao kukataa upotoshaji wa viongozi wa Chadema.

Hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, alipokuwa Katavi ambako Pinda ni Mbunge, alidai Waziri Mkuu alikuwa anafurahia anasa za cheo chake.

Akiwa katika vijiji vya Majimoto, Mbende na Usevya alikozaliwa Pinda, Dk. Slaa alidai Waziri Mkuu na wasaidizi wake wanatembelea magari ya gharama kubwa wakati wapiga kura wana hali ngumu ya maisha.

Nape alisema Chadema wanamtuhumu Pinda kuishi maisha ya anasa wakati viongozi wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe, ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, akiishi maisha ya gharama za juu kuliko Waziri Mkuu.

Alidai kuwa Mbowe alipopata nafasi hiyo bungeni, aliilazimisha Serikali impe gari la kifahari aina ya Toyota Land Cruiser V8 ambalo alidai gharama zake ni mara mbili ya gari analotembelea Pinda.

Nape alisema Serikali ya CCM inakusudia kupeleka muswada bungeni unatenganisha siasa na biashara ili wafanyabiashara wabaki kwenye biashara, kwa kuwa wanasiasa kujiingiza katika biashara kunachangia ukwepaji kodi na kuliingizia taifa hasara.

"Wanasiasa kama Mbowe tutawabana, waamue kati ya siasa na biashara, kwani wanachangia kukwepa kodi ambao ni wizi huku wakijifanya wanatetea wananchi.

"Kwa mfano namshangaa sana Mbowe, kwa kuamua kubariki mshahara wa Sh milioni saba anaolipwa Dk. Slaa kuwa eti ni posho!" alishangaa Nape.

Alisema, baraka hizo za Mbowe kwa mwaka zinasababisha Taifa kupata hasara ya Sh. milioni 25 na kwa kuwa watendaji wengine wa Chadema pia wanalipwa posho badala ya mishahara, kwa ujumla wanaliingizia Taifa hasara ya Sh. milioni 487.

Alifafanua kuwa, fedha hizo ambazo ni hasara hiyo inayosababishwa na Chadema kugeuza mshahara kuwa posho ili isilipwe kodi wakati wafanyakazi wengine wote wanatozwa kodi, zingeweza kununua vitabu vya Sayansi 48,000 kwa sekondari nchini na madawati mengi.

Kuhusu tuhuma kuwa alitaka kuhama CCM na kujiunga na CCJ, Nape alisema, kamwe hawezi kukihama chama hicho kwa sababu ni cha waungwana, kwa kuwa kiliasisiwa na waungwana.

Alisema mambo ya CCM ni ya kimungu, ndiyo maana Watanzania wameendelea kukiamini na kukipa ridhaa ya kuongoza nchi kwa amani na utulivu.

Source: Habari Leo

Hivi kwenye mikutano kama hii wananchi/wanahabari wanapewa nafasi ya kuuliza maswali?! Maana naona the whole thing is full of BS!
 
Hayo maswali wakaulize kwenye maandamano hapa mawe tu hadi wakae.
 
Mzee mwanakijiji,

Ukijaribu kuangalia kwa undani,Azimio la arusha nguzo yake kuu si utaifishaji,ni uongozi.Biashara si dhambi, ila kama unataka kujenga nchi kwa misingi ya ujamaa na kujitegemea kama katiba inavyosema, viongozi wa umma ni muhimu kuwa wakulima (peasants not farmers) au wafanyakazi. Hii ndiyo inatakiwa iwekwe kwenye katiba!

Na mali zote ziwe reported and audited before and after your term as a leader (ingawa hii ipo sasa hivi) ila haishughulikiwi.
wanafanya?
 
Back
Top Bottom