Nape Avuna front page za magazeti ambazo zilitaka kuzimwa kwa Bongo movie

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,884
20170409_052853.jpg
20170409_052835.jpg
20170409_052739.jpg
 
Kumbe Wale wawili Front page zinawastress Sana, no wonder wanataka ndugu yako Yao afukuzwe chamani

Enyi UVLUMUMBA WA mtandaoni, don't bite the hand that tries to feed you. Bila huyu Nape muda huu nyinyi ndio mngekua chama kikuu cha upinzani nchini, sijui mngeweza kuvumilia, njaa mbaya Sana.
 
duh. naona muvi ya roma bado haijabamba sanasana kwenye magazeti..
Hii ya Roma ikaushie kwanza, kuanzia kesho ataandikwa Sana almost wiki mzima, Nia na madhumuni Yao ili huyu bwana alievuna front page asionekane Leo front page, so waandishi hapo wanawaonyesha weledi wao. Laiti kama gazeti lingekua na front page mbili basi Leo ingekua Ni Nape na Roman catholic.
 
Kanunueni basi na hayo MAGAZETI ili hao wahariri na wenyewe MKONO UENDE KINYWANI. Porojo ushuzi za humu haziwasaidii
 
Magazeti yampotezea shoga na maigizo yake ya kuteka na kujifanya atawapata. Ktk nchi hii ni muhimili wa mahakama ndio umeanza kujitambua japo kidogo ukifuatiwa kwa mbaaali na vyombo vya habari baadhi si vyote.
Movie za kuteka nyara kama hizi zinahtaji angalau uwe umepata daraja la 4 kidato cha 4 na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom