Elections 2010 Nape atoa takrima kutangaza nia Ubungo?

Kapwani

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
672
110
9744804.jpg
 

Jamani ni ushamba wangu tu nilishindwa kuweka maoni yangu kwenye post baada ya ku paste hii picha kutoka wavuti

Mmmh binafsi nimeshangazwa na taarifa hii inayosema wakazi wa manzese darajani wakijihudumia minofu ya nyama wakati Nape anatangaza nia ya kugombea
1) Mazingira haya ni kama ya mama ntilie?
Hebu nisaidieni labda watu wa jamvini mlikuwepo kula minofu hiyo?
 
6.JPG


Dogo ameishaanza kuota nundu! baada ya miaka 5 atakuwa XXXXL akivaliana mashati na Mh John Komba.
 
Jamani mkewe anamkaangizia vizuri msiwe na shaka. Ndiyo maana ana kitambo masallo hizo
 
Picha hii inaonyesha jamaa wakichagua makongoro[supu].
Siasa bwana ati nape huyo huyo analalamika kuwa watu wanajipitisha katika jimbo ambalo anataka kugombea.
Hivi hajapata ubunge yuko hivi jee akipata itakuwaje??????
 
kwani kunauthibitisho gani Kongoro hilo lilitolewa na Nape , maana Manzese ni moja ya maeneo ambayo Kongoro huuzwa mitaani.
 
Sijajua hiyo picha imehisishwaje na NAPE? maana hapo mimi sielewi uhusika wa NAPE na watu hao wengine wat if umepata picha kwingine?
 
Soma vizuri mimi nimesema kuwa hao watu kwenye picha wanachagua kongoro fullstop
 
Ukiangalia pembeni yule mama ni kama mama muza ,so unaunganishaje Nape na kongoro?mnatumia fasi hii kuchafuana?kama sivyo zibitisha vinginevyo.
 
Raisi etu watuambie hayuko serious huwa yuko kwenye utani tu! Mimi nitawaelewa akina Silva
 
Jasiri hakosi asili. Kwa chama hiki cha mafisadi. Hakuna uchaguzi bila takrima kama alivyoainisha mwenyekiti wao
 
Back
Top Bottom