Nape atoa takrima kutangaza nia Ubungo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape atoa takrima kutangaza nia Ubungo?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kapwani, May 18, 2010.

 1. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ni ushamba wangu tu nilishindwa kuweka maoni yangu kwenye post baada ya ku paste hii picha kutoka wavuti

  Mmmh binafsi nimeshangazwa na taarifa hii inayosema wakazi wa manzese darajani wakijihudumia minofu ya nyama wakati Nape anatangaza nia ya kugombea
  1) Mazingira haya ni kama ya mama ntilie?
  Hebu nisaidieni labda watu wa jamvini mlikuwepo kula minofu hiyo?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Anyway hao si wapiga kura imekula kwake hiyo!
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Watu bana...............mshaanza spinning hivooooo.......hahaaaaaaaaaaaaa
   
 5. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mzee wa Texas,

  Wache tu wamalize hizo takrima huko si unajua tena hawa ni lazima watumie tu
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Dogo ameishaanza kuota nundu! baada ya miaka 5 atakuwa XXXXL akivaliana mashati na Mh John Komba.
   
 7. I

  Irizar JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2010
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 217
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani mkewe anamkaangizia vizuri msiwe na shaka. Ndiyo maana ana kitambo masallo hizo
   
 8. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Picha hii inaonyesha jamaa wakichagua makongoro[supu].
  Siasa bwana ati nape huyo huyo analalamika kuwa watu wanajipitisha katika jimbo ambalo anataka kugombea.
  Hivi hajapata ubunge yuko hivi jee akipata itakuwaje??????
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  May 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwani kunauthibitisho gani Kongoro hilo lilitolewa na Nape , maana Manzese ni moja ya maeneo ambayo Kongoro huuzwa mitaani.
   
 10. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sijajua hiyo picha imehisishwaje na NAPE? maana hapo mimi sielewi uhusika wa NAPE na watu hao wengine wat if umepata picha kwingine?
   
 11. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Soma vizuri mimi nimesema kuwa hao watu kwenye picha wanachagua kongoro fullstop
   
 12. M

  Mutu JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia pembeni yule mama ni kama mama muza ,so unaunganishaje Nape na kongoro?mnatumia fasi hii kuchafuana?kama sivyo zibitisha vinginevyo.
   
 13. k

  kaiya Member

  #13
  May 18, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama ametoa, Mwenyekiti wao ameshasema TAKRIMA NI NGUMU KUIKWEPA.
   
 14. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ikulu wamesema, kauli hiyo ya mheshimiwa ilikuwa ya utani tu!
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Raisi etu watuambie hayuko serious huwa yuko kwenye utani tu! Mimi nitawaelewa akina Silva
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2010
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Raisi amekwisha ibariki takrima. Wache watu waitafune
   
 17. Y

  Yetu Macho JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jasiri hakosi asili. Kwa chama hiki cha mafisadi. Hakuna uchaguzi bila takrima kama alivyoainisha mwenyekiti wao
   
Loading...