Nape atoa siri ya ushindi Igunga !

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Nape atoa picha kwenye face book walll yake jinsi ya makamanda walivyo shughulika igunga. Picha yaonyesha jinsi walivyokuwa wakishughulika kwenye mikakati ya kuhakikisha ushindi wapatikana.
310200_275743695780384_100000342668655_975886_351198871_n.jpg
 
kamati ya kuchakachua, wameshinda ila inamuuma sana kupigwa ban asikanyage knye kampen igunga
 
Oh yeah ni rahisi kama waliandikisha watu 171,000 na waliopiga kura 50,000 ni rahisi kugushi na kupata ushindi
 
Nape ni vuvuzera sana anaona raha kuhonga wananchi kodi za watanzania ili wawape kura,ila mwisho wao unakaribia.
 
Nape atoa picha kwenye face book walll yake jinsi ya makamanda walivyo shughulika igunga. Picha yaonyesha jinsi walivyokuwa wakishughulika kwenye mikakati ya kuhakikisha ushindi wapatikana.
310200_275743695780384_100000342668655_975886_351198871_n.jpg

Kichwa tope............sasa hizo siri ziko wapi? mbona hujui hata kuandika thread mkuu....Kichwa kibovu nenda shule kwanza!!!
 
Mbona yeye hayumo?

Sasa kama yeye ameiweka facebook, na hajaileta huku, japo ni member, au wewe ni mkewe?
 
Huu wizi utakuja waponza hawa magamba. Next time ni battle tu! Mashavu yao!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom