Dickson Mpemba
JF-Expert Member
- Jan 21, 2010
- 353
- 150
huwe unaongea na wakuu wako wa chama kabla hujaenda public wewe vuvuzela, na kama huwa unaongea nao na statement ndiyo hizo nafikiri wewe ndiyo utakuwa chaguao la mungu kuangamiza chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kuna mtu anatakiwa ajiuzuru lakini ctoshangaa akitokea na kudai eti alikuwa anatikisa kiberiti tu.Siasa nyepesi kwenye mambo mazito zinatukost sana
"CCM VIGEUGEU"
Taratibu mpango wa kuwahamisha kwenye mjadala wa katiba unaanza kufanikiwa.Magamba bwana!
Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO???????!!!!! KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!!!!!!!!!!!!!!!!
Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO???????!!!!! KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!!!!!!!!!!!!!!!!
nAPE HILO CHAMA LAKO ni vigumu sana kuliendesha yaan hata wakimkodi Dr.Slaa awe katibu mkuu wenu atachemka.Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO???????!!!!! KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!!!!!!!!!!!!!!!!
Huna haja ya kuwajibu hawa. Ni kawaida yao kupindisha kila unachozungumza!
NAPE ni mzalendo anayefahamu umuhimu wa maslahi ya umma zaidi,usikate tamaa kututetea tupo pamoja na wewe.Tengeneza mahusiano mazuri na jamii pamoja na viongozi makini kama January,Zito,Mkosamali,Machali hakika tutawatoa hao kupe
Hivi kwenye hiyo statement kuna MAHALI NIMESEMA NATAKA KUHAMA CHAMA KWASABABU WAMEPANDISHA POSHO???????!!!!! KESHO NA KESHOKUTWA MTASEMA NAPE BINGWA WA KUKANA!!!!!!!!!!!!!!!!
OPARATION????????? hicho ni kiswahili au kiingereza? wanamaanisha nini hapo?Hili limemshinda.......sasa avamia lile
serikali ni ya ccm,bunge nila ccm rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm hajatoa tamko ila tunaambiwa hajasaini,spika alisema zilianza kulipwa bunge lililopita.
je rais anajua kuwa zilishaanza kulipwa?ANASEMAJE NI SAWA?
KWA NINI NAPE AJE KWENYE VYOMBO VYA HABARI WAKATI CHAMA CHAKE NDICHO KILICHOUNDA SERIKALI?
RAIS ANALIA NA POSHO ZA TANAPA WAKATI ANA MAMLAKA.
WAZIRI MKUU ANALIA KWENYEVYOMBO VYA HABARI KUHUSU SUKARI WAKATI ANA MAMLAKA.
SPIKA WA BUNGE NA KATIBU WAKE WANATOA MISIMAMO TOFAUTI KUHUSU POSHO WAKATI WAKO OFISI MOJA.
HIVI HII NCHI TUNA VIONGOZI AU TUNAJIONGOZAWENYEWE?
Hata mimi nilikuwa natafuta kwa makini sehemu inayosema hivyo na kwa bahati mbaya sijaiona. Inaonekana tuna "great thinkers" wanaosoma na kuona vitu ambavyo hata havijaandikwa. Yumkini aliyeandika hii thread atakuwa ni mtabiri.