Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Wadau kama kuna mtu ana nakala ya kale kawimbo kanaitwa MKE WANGU NI VUVUZELAAAA akaatacha hapa tukaskilizieee
Ushauri kwa Nape ugumu wa maisha hauko kwenye ripoti, apite tu kitaa aone tulivyopigika. Hata huo mlo mmoja ni mgogoro halafu yeye anaongelea namba za kwenye ripoti. Ccm hawajui nini wananchi wanataka na ndio safari yao ya kuzimu inakaribia