Nape apingwa Facebook

Nasikitika majanga ya kitaifa yanaongezeka: jeikei, sisiemu na nape. Je tutaweza kujnasua kweli?
 
kweli tumethubutu, tumeweza na sasa tunasonga mbele na giza Tanzania...Nape, think twice about your comment
 
Nape anaroho ngumu kuliko paka ila muda utamueleza vuvuzela nape.
 
Nape anajifunza kuongea ndo maana anataka azungumze kila kitu kama kasuku hizo ni nyimbo tu hakuna walichoweza zaidi ya kuthubutu kutuweka gizani.
 
  • Mimi naamini,Wamethubutu kugawa madini yetu bule kwa wazungu au wageni na wameweza kuwalinda mafisadi wa EPA,RICHMOND,MEREMETA,KIWI​RA na KAGODA pia wanaendelea mbele kuweka nchi gizani au kugawa giza kwa nchi nzima ndani ya miaka 50. huku tukiendelea kuwa vijakazi vya wahindi kila kukicha nchi nzima.!!!37 minutes ago*·*Like*·**2 people

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    Edgar Njou*Du nape unataka kutusongesha mbele ktk issue gani tena?maana giza ndo letu, uchumi mbovu,mfumuko wa bei ni balaa dizeli petroli mafuta ya taa bei juu chakula ni bidhaa ya anasa! sasa mnachangisha rushwa kama mpo msibani! ya JAIRO...DU hii ndo mmeweza na mnasonga mbela.36 minutes ago*·*Like*·**3 people



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Bernard Kazimoto Dickson*Hivi ni lazima kutumia lugha ya matusi28 minutes ago*·*Like*·**1 person



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Linus Kilembu*yes we can olwayz20 minutes ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Ramadhani Mgaya*kuna wa2 kama ni punguani nape kaandika kingine badala ya kucomment alichokiandika naona wa2 wanarushiana maneno machafu cjui ni uelewa mdogo au nini!.14 minutes ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Brian B Johnson*WEWE KASIM UNA AKILI TIMAMU? AU NDO HZO BANGE MLIZOVUTISHWA KWENYE MAFUNZO YA GREEN GUARD NDO ZMEKULEVYA NA KUKUFANYA PUNGUANI? YANI WATU WANAKOSOA HOJA ZA MAANA HALAFU WEWE UNALETA MAMBO YA AJABU.. WE VIPI?@KASSIM MSEMO14 minutes ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Ramadhani Mgaya*jibu la ujumbe wa*Nape Nnauye*ni miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika13 minutes ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Paul Mpazi*Tuko pa1 bro11 minutes ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Linus Kilembu*unajua wewe brian ufikirii hebu njoo huku arusha uone ze mbunge wa chadema alivyo mwehu yaani hakuna chochote yaha ma vyama mengine nuxk kweli yaani arusha mjini kama vile hakuna mbunge kazi kupiga mdomo na ahadi heha wewe unazungumza ushabiki haukusaidii kiti bwana kweli ccm wanajipanga vizuri sana @ brian10 minutes ago*·*Like


    [*] Richard Temu*ccm ni bomu lilorusha bila kulipuka ila mwisho ni 2015 natumaini kita eleweka tu!6 minutes ago*·*Like*·**1 person



    [*] Edward Ngailo*magamba?6 minutes ago*·*Like


    [*] Brian B Johnson*WIKI ILYOPTA NILIKWEPO ARUSHA NA CKUONA WALA KUSKIA HAYO UNAYOYASEMA.. CCM WANAJIPANGA KUWA CHAMA CHA UPINZANI HAPO BAADAYE.@LINUS5 minutes ago*·*Like


    [*] Henry Kilewo*‎@Linus: mbunge wa ccm aliyetoka alifanya nini? wacha maneno ya ajabu wewe, Lema mpaka sasa kapiga kazi ambayo ccm ingefanya kwa miaka kumi na 15, kupitia taasisi ta ArDF lema kapeleka watoto 417 shule bure na kuwapatia bima ya afya bure, Lema kalima heka 40 kwaajili ya wanawake wajane, Lema anapigana kujenga wodi ya wanawake wajawazito maeneo ya burka chini ya Ardf na sifedha za walipa kodi wa tanzania ni kwahisani ya meya wajiji la Londoni then unakuja na utumbo wako hapa> pima muda wale na hayo anayo yafanya na miaka hamsini ya ccm madarakani, kisha jibu jipe mwenyewe.

 
kwanza Nape uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana...kule facebook huwa anatoa hoja za kitoto sana halafu anaanza kubishana na wachangiaji. huyu jamaa ni kilaza kama alivyo kilaza aliyemteua
 
katika maisha yangu najivunia kitu kimoja,..nimeweza kumbadilisha mama yangu aliyenisomesha,kunilea mpaka nimeweza kujitegemea aichukie CCM,actually mabaya yote ya ccm niliyokuwa namueleza tokea nikiwa mdogo flani aliyakubali na anayaona yakiendelea..great achievement...
 
Nape kila kukicha unaongeza idadi ya maadui wako kupitia1. Uongo wako na sera mbovu2. Maisha magumu kwa watz wakati wewe unaleta utani3. Umeme na sera ovyo za serikali hasa wizara ya nishati na madini4. Wananchi hawapati huduma bora mfano afya, maji, elimuBadala ya kuadress matatizo haya mtayatatuaje wewe unaelekeza nguvu kupambana na upinzani..
Fanya kazi we dada hata hao CDM hawatakupa hela mkononi,fanya kazi!
 
Nape ukiona adui yako anakusakama kwa maneno ujue umembana p.mbu! Endelea Nape,pili pili wasio ila inawawashia nini! Waongelee mambo yao ya CDM hasa ukabila na ubinafsi
 
HTML:
Nape tunakusubiri arusha kwa hamu sana ila uje na yale majibu yetu kwenye post niliyo post jana la sivyo nakuonea huruma.

Thubutu yake, Arusha hakanyagi, labda kama ni mpenda aibu.
CDM, Milya, Lowassa wote wanamsubiri.
 
nape ukija arusha badili huo msemo tofauti na hivyo machalii wa unga ltd na ngarenaro kwa jinsi walivyo na uchungu,sjui.
kawaulize wa fiesta ilikuwaje sheikh amri abeid,kwa sababu na nyie ccm mnapenda kutembea na fiesta bubu ili kuwahadaa vijana,watoto na wazee.
 
Mbona jamaa uwa aweki mguu hapa.then nape ni juha wa mtandao uwa anaweka mada nyepec sana ambazo mtu yeyeto anaweza kuzichallenge na mara nying picha anazoweka aziendani na alichoandika.jamaa ni ziro uwezo wa kufikiri mdogo japo mungu alimpa b!chw@ kuubwa.
 
I am luvin' this!
Kidogo kidogo waTanzania wanaamka. Kama kila mmoja wetu hapa akimuamsha mtu walau 1 tutafika
 
nape amekimbia JF ... sasa ameenda kuchafua hali ya hewa FB ..... watanzania wa sasa sio viazi wanauelewa mpana na huwezi waburuza kwa siasa za kipuuzi
cku zote wa2 wenye kauli za reja reja kwenye mambo yanayohitaji umakini hawawez kutoa hoja mbele ya wachambuzi.alijua kule watamfagilia!ha!ha!haaaa
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Facebook wamejaa sana ChaDeMa... Ninamisi status za Nape Facebook akiwa mkuu wa wilaya...
 
  • sante mungu kwakuwa unasikia kilio na ombi langu juu ya kifo cha chama cha magamba, sambamba na ukombozi wa pili wa ardhi hii tukufu" amen.8 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    Madaha Francis*MMETHUBUTU nini?,MMEWEZA nini?,MNASONGA MBELE kwa lipi?, Sioni ambacho mmeweza kufanya na kujisifia mbele ya wananchi nawachangaa hata hamuoni aibu kwenda mbele ya umma na kuwadanganya kama watoto wadogo wakati wanaona, Nothing NEW bro...Nchi giza kila mahali, hakuna uzarishija, bei za vitu JUU, gharama za maisha JUU, dola inazidi kupaa, wawekezaji wanazidi kubadirishana mikataba kila baada ya miaka 5, Bado unatudangaya kwamba "TUMETHUBUTU ,TUMEWEZA,TUNASONGA MBELE......" tunataka utekelezaji na wala si propaganda kaka.
    8 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    Vitalis Kisandu*Hivi,ukiwa kiongozi wa Ccm,lazima uwe na Kipaji cha mipasho?.Kuna,Hali mpya,nguvu mpya na kasi mpya,then ikarembeshwa kidogo kwa kuongeza Neno Zaidi.Heeh,mara Kilimo Kwanza,then Kujivua Gamba now TUMETHUBUTU,TUNAWEZA NA TUNASONGA MBELE.Guys,mbele ni Giza,hakuna Umeme,maisha yamekuwa magumu,Inflation rate ni kubwa,yaani hali ni tete.Sasa sijui tutasongaje mbele au mbele ili tunayoelezwa?.Tuache siasa,tufanye kazi ,jamani.
    7 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    Ipyana Songela Mwatisi*inshalah twasonga7 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*ukweli, utabakia kua kweli,Watanzania ni wavivu na wengi ni kullalamika bila kujijua,hata mlete hao viongozi wenu bila kuacha uvivu hamtaenda mbali,mpaka sasa kazi nyingi ni wachina sio kwmba tunazishidwa ila uvivu na majungu vinatuharibu mwachevi Nape achape kazi.7 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    Novatus Kambota*Nipo hapa karume nanunua midoli kwa binti wa kichina then jioni nitaenda kununua mkaa kwa yule mchina aliyefika nchini week iliyopita..naam hizi ndizo sera za serikali ya CCM wachina wamejaa kila kona hivi watanzania ni wavivu kuuza mkaa au mitumba? acha mawazo ya kichama@Idris Mmbaga7 hours ago*·*Like

  • http://www.facebook.com/?ref=home#


    John Madeha*Idrisa unatak wote tuwe house girls tukafanye kazi kwenye majumba ya hao ndugu wa magamba,viwanda vinafungwa,vijisakluni,vij​ioksi na kila kitu cha umeme hakifanyi kazi,ok,tulio lima tumelima mahindi yapo BUNDA na HOROHORO eti hayata enda kwenye bei nzuri,halafu eti kuna kilimo kwanza,hivi kwa nini mnatulazimisha tuukubali ujingam,hatutaki ban,they are boring,bora tuchague jiwe liwe Rais kuliko mtu wa ccm!7 hours ago*·*Like*·**1 person



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*Alieua viwanda ni nani? ni Nape?nasema uvivu ndio watanzania wamezoea ndio maana viwanda vikafa sio tatizo la mtu mmoja ni karibia wote,tumezoea kusimamiwa,Mchina anachukua contact ya ujezi vibarua ni wa hapa na lazima apige kelele bila hiv...See More
    6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Novatus Kambota*teh teh teh duuu bora kutokufikiria kabisa kuliko kuwa na mawazo kama yako Idris wacha wee yaani unaamini haya makampuni ya kichina ni ya wachina kweli duu hongera nani kakwambia mkuu? mbona wale mabosi wa kichina ni geresha tu wenyewe si unawajua wewe? acha kudanganya watu mkuu!6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Rodrick Makundi*tatizo wengi wetu tumeamua kujiweka kwenye upande mmoja wa kubeza kila kitu, ni kweli kwamba yapo mambo hayaendi kwa sababu za baadhi ya wachache wanaokwamisha, lakini kuna maendeleo fulani yaliyopatikana je mbona hatuyasemei?, ila hali ya watanzania ni ngumu kiuchumi, nafikiri zile fikra za awamu ya tatu kabla ya kifo cha Mwl. Nyerere zingekumbukwa kwanza kutuokoa na hili janga.6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Brian B Johnson*VASCO DA GAMA (JK) ALSHAWAH KUSEMA KUWA KAULI ITAKAYOTOLEWA NA NAPE NI KAMA YAKE AU YA CHAMA. HVYO HAPA NAPE AMEKIWAKILISHA CHAMA NA VASCO DA GAMA ( JK) KUZUNGUMZA.6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Temba Innocent Jvr*Mbele kwa mbele,6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*Hivi mtu anapata laki moja anaitumia kwa pombe mpaka iishe na hafanyi kazi mpaka aimalize hapohapo mtu huyo analaumu Serikali,wazungu wanafanya kazi mbili mpaka tatu kwa siku,wanakuja huku kupanda mlima na kustarehe, akirudi hana muda zaidi...See More
    6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Susan Sheshas*NI KWELI LAKINI MH MUNGU AIMGILIE KATI MAANA TUNAKOELEKEA TUNAHTJI NEEMA NA REHEMA ZA MUNGU6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*Mungu sio kwamba kasema ujenge nyuma usiweke madirisha atakulinda!ila jenga weka na grili alafu umuombe,hivyo ukiwa unalala tu useme mungu atanijalia hio hataki,fanya kazi kwa bidii alafu umuombe mungu dada yangu.6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    John Madeha*Iddirsa tatizo siyo Nape siyo kaua viwanda,hapa tunaiangalia hoja yenyewe na uhalisia,ok,serikali ambayo NAPE anaisemea ndo hiyo ilokuwa na mipango chakavu ya kutufikisha hapa,hawataki tuuze hayo mahindi ili iweje,hivi wanaweza kuthibitisha kuwa mtu atauza kila kitu ili faye njaa,ok, na ufisadi nao ni nani kausababisha,CCM na Magamba yake,poa bana,ila ni kazi kuutetea uchafu bro!6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*sitetei mtu ila nielewe kua tatizo nasema lipo kwa watanzania wengi wao ni wavivu,viongozi pia wapo wazembe pia lakini kubaliana na mimi kua hata alie pembeni usimuamini kua anaweza kwani unakuta alitokea huko2 na kafukuzwa na kukimbilia kwingine.6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Yohana Igenge Yohana*‎@idrisa, bado hujaijua serikal ya mafisadi inavyojipenyeza hadi kwa wachina? Kuwa mwelewa watu hawasemi kuwa ccm haijafanya ki2, ila ukilinganisha na rasimal zote tulizojaliwa na mungu leo hí tanzania ingekuwa mbali sana kimaendeleo ukilin...See More
    6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Evarist Chahali*MMETHUBUTU,MMEWEZA,NA MNASONGA MBELE lakini WATANZANIA BADO WAPO KIZANI (KINACHOSABABISHWA NA TANESCO)6 hours ago*·*Like*·**1 person



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*sasa Tatizo ni la nani? je anaepiga kelele ataweza kulimaliza?6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    John Madeha*Bro Idrisa huwezi kunusa halufu ya mtu wakati uko mbali naye,unawezaje kumhukumu mtu kuwa hataweza bila kumpa nafasi,huko ni kumhukumu bila haki,hawa bro wameshaiba vya kutosha sasa hivi wameanzisha kamtindo ka BMW-Baba,Mama na Watoto!hapana wameharibu bana,waende zao6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Idrisa Mmbaga*Sio hivyo ila wengine walikua kwenye serikali hio hio na kukosa nafac kwa wao wanavyojua,sasa wana lipi jipya?6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Fadhili Mgonja*Bado*Nape*its a long way 2 go!6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    John Madeha*BMW-Any coment?Baba ni rost tamu au vijisenti au ma...mba,ni wezi,mtoto mwizi,ok,kwa hiyo uataka tuendelee kuwapa hao waliotuweka giozani ili iweje sasa,TUACHE UCDM hapa,tuwe makini kuzungmzia hayo mambo!6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Emmanuel Mwakyusa*‎..kila la heri wakuuu ila huku chini watuuu wamepauka saaaanaaa sijui kama watafika haitoshi kuthubutu na kuwezaaa tunataka tuopne mabadilikooo NAPEEE hizooo ngonjeraa kaka mhhhmhjhhh6 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Stanford S Mwaijulu*naunga mkono5 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Faraji Swai*Its true Nape nimekusikia jumamosi ulipokua Moshi Mjini maeneo ya stand.Keep it up man jitahidi kuwafungua masikio wenye ushabiki wa kisiasa wa kufuata bendera5 hours ago*·*Like*·**1 person



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Zkiah Novert*USHINDI UPO TU5 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Omary Saidi*Suala sio ushindi, kuthubutu,kuweza, wala kujivua gamba. Suala kuu ni nchi iko wapi na inaelekea wapi? Zanzibar 4 month 24/7 without power wali survive kwa sababu ya uchache wao. Now Tanzania 18 hours a day no power uchumi huu mnaupeleka wa...See More
    5 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Deogratias Haule*Mheshimiwa Nape kama kweli una huruma na watanzania masikini hawa, watanzania waliomalizwa na mfumo mbovu usio na dira wala muelekeo wa ccm, ninakusihi achana na siasa zilizopitwa na wakati za ccm, tumechoshwa na porojo na kulindana wakati*sisi watanzania tunateseka,umeme shida, afya hovyo, elimu imekufa, uwekezaji ni shamba la bibi kila mtu mwenye uwezo ni kujibebea tu kwa bei fororo, matumizi mabaya ya rasilimali zetu,Gamba ni ccm yote ikae pembeni tuanze upya from the scratch, ccm haina vision wala mission , hivi nashangaa wewe ni Nape ninaye kufahamu au mwingine , siamini macho yangu unavyoililia ccm, watanzani hata sare tu ya ccm sembuse kelele unazotuletea, tafadhali tuache tuchague wenyewe kwa kwenda .
    4 hours ago*·*Like*·**1 person



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Michael Momburi*sidhani4 hours ago*·*Like*·**1 person



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Fortunatus Nungwana*Kamanda Picha nzuri Sana,kuna msg kibao sana kwenye hia picha.Hivi Arusha unakwenda lini kiongozi?4 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Ludovic Rigongo*Magamba bwana? Hakika inahtaji kuwa na dead conscious kukubaliana na fikra za magamba.4 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Rajabu Mmbaga*Mi nadhani wakati umefika kwa Watanzania wote tukae pamoja na kujifunza maadali mema na kulaani vitendo viovu kwa pamoja i=bila kuweka itikadi za vyama.Mfano mzuri ni pale wabunge walipoikataa bajeti ya wizara ya Ngeleja. Swala la kukosoana...See More
    3 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Michael Sekajingo*hakika tutashinda, ila lazima tuwe makini zaidi ku solve mambo yetu ndani yasitoke nje...CCM hoyee...3 hours ago*·*Like*·**2 people



    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Aliki Ngwilulupi*kazi nzuri, naona inagain momemtum as days go by kufikia D-day-NEC dodoma3 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Adrian Mkoba Mogella*HIVI ZILE SIKU TISINI ZA KUWASHUGHULIKIA MAGAMBA MATATU ZIMETULETEA NINI MPAKA SASA TUMESIKIA GAMBA MOJA TU LIMEVUKA!!! VIPI UNAWEZA KUBADILI KAULI YAKO SASA?2 hours ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Rashid Hassan*Alafu inakua kama ujinga m2 unapost comment afu hutetei hoja zako unakua unakejeli au uvivu. me coni cha maana mnachokifanya wanasiasa naona ifike mahala nchi ibaki ya jeshi ,siasa ni uchafu 2, kama m2 unaahidi ntafanya hch na kile then hufanyi kuna maana gani ya kukuamini,wanasiasa mnafanya wasomi kuwa wa2mwa 2.about an hour ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Solomon Kibona*LIPI...? Usituachie tujaze wenyewe... tutajaza madudu na machungu tunayoyapata mitaani. Ama wewe ushaonja pepo nini?about an hour ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Solomon Kibona*aah..! samahani nilisahau kwamba kumbe tunatakiwa kujaza wenyewe kama ''tunavyojaza wenyewe na tabu za bongo''. Nimekusoma blaza!about an hour ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Abraham Morogosho*BUTI NA KAMBA NAPE.19 minutes ago*·*Like


    [*] http://www.facebook.com/?ref=home#


    Adrian Mkoba Mogella*ni kweli wanasonga mbele kwa kutuletea ahadi hewa, kila siku ahadi .... ama!!

 
Back
Top Bottom