USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.