Nape apata aibu Serengeti

Next time afanye homework yake ya mahali anapokwenda na watu huko wana mtazamo gani. Hivi leo kote Mara huwezi kusema Chadema ni wahuni ukaeleweka.
 
Wananchi saizi wameamka sana wana kiu na mageuzi bila kujali kama mageuzi hayo yatawasaidia au laa. Ona Zambia na kama CCM haitakuwa makini hali itakuwa mbaya uchaguzi ujao 2015.
 
Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.
 
Sure mkutano ulikua na mafanikio kimaudhurio ila Nape alivyothubutu kusema CDM ni wahuni umati wote ulilipuka na kumzomea Nape na mkutano ukavunjika kwa sababu wahudhuriaji wote walikua ni CDM nawalikuja kusoma ramani. Nape amekua kichefuchefu kwa jamii yote inayopenda mabadiliko. 267301_190972474296001_187249878001594_517085_7258690_n.jpg
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

asante mungu
 
Kama Nape mwanaume, mbona hakuthubutu kusema hivyo wakati alipokuja Moshi kama asingeondoka na ngeu!
 
Kama kweli alikuwa mwanaume c angekuja ile juzi hp kwe2 A town ajuwe kilichomnyoa kanga ndege manyoa ya shingo. Hata kule Serengeti wa2 wameshadamka kitambo.
 
Huyu dogo ameanza kuwa na akili za kizee! Alifikiri anaongea na wananchi wa Msoga!? Nchi imewashinda, wananchi hawataki story. Wanataka kusikia mambo ya msingi na sio upuuzi na propaganda! Ingekuwa Moshi wangempopoa mawe.
 
Hii habari imepostiwa saa 6 usiku kwa saa za bongo. Ulikuwa wapi kupost tangu muda wa tukio? Au mkutano ulivunjika usiku? Hii source siiamini kabisa
 
Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.

Maskini Mwita25! Ndio maana ndugu zako wanakukataa. Hawataki kabisa kusikia propaganda za ccm ambazo wewe ndio zinakupa kula!?
 
Hizo ni propaganda za kishetani.Nimepewa taarifa mkutano ulikuwa wa mafanikio.halafu kupeana matumaini humu yasiokuwepo tunajidhalilisha na CDM kwa njia hii ya majungu haitasalimika.igunga mtatoka patupu na hapo mtajua kelele za humu hazina effect.

Maskini Mwita25! Ndio maana ndugu zako wanakukataa. Hawataki kabisa kusikia propaganda za ccm ambazo wewe ndio zinakupa kula!?
 
katibu wa itikadi na uenezi wa ccm bwana nape nnauye leo amepata aibu ya kuzomewa vibaya hapa serengeti alipokuja kumnadi mgombea wa udiwani wa ccm,mkasa ulianza pale alipoanza kusema kwamba chadema ni chama cha wahuni amezomewa vibaya mpaka mkutano ukavunjika.

Igwa,
WATAKA WATU WAKUIGE KWA UONGO??? KUJIFARIJI HUMU NDIKO KUNAKOANGAMIZA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI. UKWELI HATA KAMA UNAUMA NI BORA KUUCHUKUA KAMA ULIVYO.... KUWA MKWELI, JANA KAFANYA MBOWE HAPA UWANJA HUUHUU WAAMBIE UKWELI WENZIO JINSI MKUTANO WANGU ULIVYOZIDI WA MBOWE KWA MBALI SANA NA JINSI WATU BAADA YA KUSIKIA UKWELI WALIVYO REACT KWA CDM....
 
Mkuu Nape kulinganisha mikutano yenu na CHADEMA ni kama kulinganisha apples and bananas maana nyie ni mafundi wa kukusanya watu kutoka vijijini kwa malori, kuwapa kofia, vilemba na vitenge na pia burudani kwa sanaaaaa. Sasa kama haya nnayosema hayakuwepo basi ni kweli ulimpiku Mbowe japo siamini mpaka nione ushahidi. Mwaga picha mkuu!! Halafu kumbuka uliniahidi mwisho wa wiki kwamba unaelekea Igunga na seriously nikabet $100 kama kweli tutakuona Igunga ukihutubia mkutano wa kampeni vp imekuwaje mbona mara Mwanza sasa Serengeti. I am very serious na hiyo $100.
 
Pole sana Nape. Yani baada ya kukosa Perdiem za IGUNGA ndo umeamua kujitengenezea kajisafari ka huko Serengeti!!
 
Back
Top Bottom