Nape aongoza mazishi ya Sharomillionea

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Cdm sijawaona Nape kaongoza mazishi na eneo zima limepambwa kwa rangi za kijani...kulikoni?
 
Ukiua inajishtukia na kujifanya unatoa misaada ya bila kuombwa. Kifupi unajutia.

Unafikiri ubovu wa hizi barabara (ukilinganisha na rasilimali) umesababishwa na nini kama sio hao hao wanaojipendekeza misibani.

"... Mnataka tufe mje msibani..." Unalikumbuka hili bango kipindi cha migomo ya madaktari?
 
Kwanini wakapamba na rangi ya kijani nijuavyo rangi ya zambarau ni ya misiba hawajamtendea haki marehemu (RIP Sharo)
 
Back
Top Bottom