Nape aongea na waandishi wa habari leo. Ni baada ya mawaziri aliowaita mizigo kuendelea kupeta

njaa nouma sana, yani m/kiti anafanya yake, makatibu yao, sasa chama kinaisimamia serikali ipi kuwajibika? pole sana mwenezi na sidhani uliyokuwa unasema yametoka moyoni, siasa haina aibu. rudini tena kwa wananchi mkawambie kuwa mmewapa mawaziri mizigo nafasi ya pili wajirekebishe kwa lugha nyepesi ( wamerisiti uwaziri.)
 
Mtu ambaye hata familia yake haikutaka kumthamini..............

2mwa6p4.jpg

Hata Slaa atakapofariki Rose hataweka jina la Junior kwenye kumbukumbu ya babu; hivyo umechemka na inawezekana ukawa nawe ukawa umezaliwa nyumba ndogo
 
Kufukuza sio solution pekee kama mapungufu yanaweza kurekebishwa...na mwenye amri ya kumfukuza waziri ni rais peke yake.pengine tuombe mungu slaa awe rais yeye nasikia yuko tayari kufuta na kuteua mawaziri kila siku inayoenda kwa mungu.
 
Huyo nape anatumikia mafisadi anasubiri nn kujihidhuru hiyo nafac yeye na kinana .walivyoo aminisha uma kuwa tuwaamini mawaziri mizigo wanashughurikiwa .ccm wahuni 2 hawana maamizi magumu ni mataperi kwann asijihudhuru ili kusimamia hoja yake
 
Kwel Nape hiki cheo cha propoganda (yani siasa za uongo ) ni bingwa ,ulicho sema kwenye ziara tulisikia na kuona et leo unaleta blabla!wadanganye maccm wenzio ambao ni mataira ,ila sisisi werevu
 
hahaaaa sasa naamini yale yaliyokuwa yanasemwa kuwa Nape sio mtoto wa huyu mzee....ila anafanana sana na watoto wa mzee flani anatoka nyanda za juu kusini aligombeaga uraisi 2005 ...
 
Hapa huna jipya bwana Nape zaidi ya kudhihirisha tu mh rais amewaona mlikuwa mnapiga kelele tu zisizo na tija. Ingekuwa mimi ni wewe kwa stail hii ya kupuuzwa mliyoonyeshwa na rais basi kwa heshima ningejiuzulu.

masalia mnakazi kweli wewe lako jipya ni lipi sasa naona kama umepagawa baada ya kuona dili zako haziendi sawa.
 
Ni jambo la kumshukuru Jah kwakuwa tumeshinda vita hii sehemu ya kwanza,

Tumeweza kulazimisha ccm waseme kile ambacho hawakukipanga kisema,

Hii ni hatua nzuri kwaukomavu wa demokrasia nchini,

Tutaendelea kuwalazimisha wafanye kile tutakacho sio kile watakacho!
 
Ni jambo la kumshukuru Jah kwakuwa tumeshinda vita hii sehemu ya kwanza,

Tumeweza kulazimisha ccm waseme kile ambacho hawakukipanga kisema,

Hii ni hatua nzuri kwaukomavu wa demokrasia nchini,

Tutaendelea kuwalazimisha wafanye kile tutakacho sio kile watakacho!

Kudos kamanda Yeriko Nyerere , maccm yanaendelea kudhalilika, Nape anapiga sarakasi mbele ya wakwe huku amevaa taulo.
 
Last edited by a moderator:
Kuruka kimanga si ndio kazi yake huyu jamaa! operation vua gamba iko wapi ataiwezaje operation tua mizigo ya mawaziri wakati magamba ya mafisadi ndio kwanza yanajiandaa kuingia ikulu?!
 
Back
Top Bottom