Nape aongea na vyombo vya habari, alalamikia masuala kadhaa!

Status
Not open for further replies.
Mbona hujasema kwamba utaratibu huo ambao unatumika pia Uingereza umepitwa na wakati hata kwa Chadema ambako mwaka 2005 aliyekuwa mwenyekiti alikuwa pia mgombea urais? Kuna uhakika gani kwamba angeshinda angejiuzulu?
Chadema imeingiaje hapa? Hata hivyo salama ya CCM nipale tu itakapo tambua kwamba shetani wao mbaya kuliko hata shetani mwenyewe ni yule aliye unda mitandao kwa masirahi yake ndani ya CCM. CCM kabla ya mitandao ilikuwa na nguvu na kauli za kueleweka. Maskini bwana mdogo Nape anatumia nguvu nyingi kupambana na zimwi asilo liona lakini anaishi nalo na kulilisha chakula kizuri kwelikweli.
 
Lakini anasema hii imejionyesha dhahiri kwenye uchaguzi mdogo wa Igunga ambapo kundi la waasi lilitaka kuona CCM inashindwa
 
Mbona mnatukana na sio kutoa hoja?siasa za chuki hazitatupeleka popote jamani...ni bora kubishana kwa hoja na HOJA YANGU NI KWAMBA LEO NAPE KAONGEA POINT...SO KAMA UNABISHA TOA VIGEZO KWA YALE ALIYOONGEA LEO. remember that if some one think different from you, doesnt mean he/she is wrong.
 
Tunawapa muda wajipime wenyewe. Wasipotoka wenyewe chama kitawatoa. Jaribu uone moto. Ameshindwa na hao sasa ameanza kuwa kuna kakundi kengine hakana nguvu ajabu yeye mwenyewe anakaogopa kataje uone moto si umesema ni kadogo.
 
Nape wewe ni Mnafiki sana. HATUTAKUACHA wewe na Ridhiwani lazima mfe kama Chama chenu kilivyomwuua Sokoine na Kombe.
 
Nappe nakuamin sana ila acha maneno mengi kujivua gamba kumeshindwa? kama unataka kufanikiwa fanya ya fuatayo.

1. ADREW CHENGE ASIENDELEE KUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAADILI, ATAMWAJIBISHA NANI KAMA BADO ANATUHUMIWA NA WANANCHI HAWANA IMANI NAE?

2.MAKATIBU WOTE WA CCM WILAYA NA MIKOA WANAO ENDEKEZA MAKUNDI WAPUMZIKE.


3. ILANI YA CCM ITEKELEZWE KWA VITENDO . chama kifanye evalution kama wayoreport watendaji wa serikali ndiyo wanayo fanyiwa wananchi? mfano, wazee watibiwa ni kweli? serikali imetenga mill 200 kununua vitabu je vipo mashuleni au kuna risiti tu? hapo utakuwa umejivua gamba.
 
Nape anatumiwa vibaya na JK.JK amekuwa akiwaogopa kina Lowasa sasa anzungumza kupitia Nape.Hii ni hatari sana kwa JK mwenyewe kwani anaonyesha uzaifu mkubwa sana
 
Hakuna siasa za hivi duniani, hay ni mashairi ya kwenye mipasho. Ushauri wa bure kwa Nape, anzisha kikundi cha taarabu uimbe mashairi yako kama haya kwani hujui Magamba ndo CCM, utayatenga vipi wakati Sofia Simba alikwisha sema hakuna msafi ndani ya CCM? Umesahau-jaribu uone mziki wake!
 
Benno Malisa amenena: UNAFIKI NDIYO JADI YA CCM. Habari kwenye mwanahalisi, ndicho Nape alijibu. Bora wanyukane wenyewe kwa wenyewe
 
anatakiwa kujua muda wote sio wakampeni, au kuwa kama mtoto anaenunuliwa nguo anakuwa anaidekeza kila wakati, baada ya uchaguzi, inafwatia matendo. ushindi umepatikana, kwa ahadi nyingi; kwa nini asisimamie utekelezaji wake; inabaki kuomboleza, au kusherehekea. wasimamie utekelezaji wa ahadi sio muda wa majukwa na misemo unayochafua nyoyo za watanzani
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekiomba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukutana na kufanya maamuzi ya pamoja yatakayosaidia kuzuia ulipaji wa tuzo kwa Kampuni ya kufua umeme ya Dowans.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema kwa kuwa sakata la malipo ya Dowans linawagusa Watanzania wote itakuwa vema iwapo CHADEMA itakubali kukaa meza moja na wao ili kujadiliana namna ya kupata njia muafaka ya kuzuia malipo hayo.
 
Hawa CCM waache kuwasanifu CHADEMA huko Igunga waliwaita kusuluhisha matokeo yake waliendelea kuwateka wanachama wa CHADEMA. CCM ni wauaji hatutaki kusikia wanamaongezi na viongozi CHADEMA.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Magamba huwa wakiona maji yamewafika shingoni ndio wanaona umuhimu wa kukaa meza moja na CDM, vinginevyo hawakawii kuwaitia FFU kuwapiga virungu na hata risasi kama ilivyotokea kule Arusha na Dar, kisa kuandamana tu.
 
CCM TUKUTANE 'TAHRIRI SQUARE MNAZI MMOJA' NA SEHEMU NYINGINEZO MITAANI KOTE NCHINI

Not my CHADEMA!!!!!!!!!!! Let those who unilateral created the DOWANS fiasco clear it before it is too late.

Nasema CHADEMA yangu haiwezi ikahusishwa KATIKA ZILE HATUA ZA KULIPANA TU WAKATI KIPINDI CHA KUUNDWA KWA MKATABA FEKI HAKUNA ALIYETUTAFUTA MAONI.

Kwa uhakika, sitarajii kuona hata kiongozi wangu mmoja akisogelea kwenye kitu MAJADILIANO NA MAFISADI; kwenye dhuluma ya CCM dhidi ya taifa letu.

Ultimatum yetu kama Umma wa Tanzania iko wazi kabisa kama ambavyo Chombo chetu Cha Haki za Binadamu kilivyokwishawatangazia CCM kwenye Maandamano yetu ya siku 10 mfululizo.

Maandamano haya yataendelea hadi kutangazwa rasmi kwa KAMWE hata senti moja ya kodi zetu hzitotumika kulipa Dowans wala kuchukuliwa kwa mkopo wowote, hela za msaada au zawadi kwa taifa letu kukidhi hayo malipo haramu.

Kwa kuhitimisha, nawajua sana baadhi ya viongozi wa CCM walivyojawa na kiburi juu ya mambo mengi sana tu lakini haya maandamano yatasaidia kufungua ukurasa mpya kabisa katika macho ya washikadau kibao mijini na vijijini, nchini na ughaibuni.

Kumbu, mdharau mwiba miguu huota tende!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom