Nape: Anayofanya Mhe. Magufuli yapo kwenye ilani ya Chama Cha Mapinduzi

Isomeni ilani. Mtayaona yamo. Kupambana na rushwa pamoja na ubadhirifu ni moja ya mambo yaliyotiliwa mkazo kwenye ilani

Kuboresha huduma za afya nalo limeandikwa.

Kubana matumizi ya serikali limeandikwa.

Hayo ndiyo anayoyafanya magufuli kwa kutekeleza ilani ya ccm.

Vijana someni ilani. Acheni uvivu Wa kufikiri
 
Tutupieni basi humu tuisome, sio unaishia kuweka tuvifungu, au inawezekana hamna soft copy?
 
Isomeni ilani. Mtayaona yamo. Kupambana na rushwa pamoja na ubadhirifu ni moja ya mambo yaliyotiliwa mkazo kwenye ilani

Kuboresha huduma za afya nalo limeandikwa.

Kubana matumizi ya serikali limeandikwa.

Hayo ndiyo anayoyafanya magufuli kwa kutekeleza ilani ya ccm.

Vijana someni ilani. Acheni uvivu Wa kufikiri

Ulichotakiwa kujibu ni kama ilani zilizotangulia HAZIKUWA na same topics!!!!
 
Huku kijijini kwetu tunasubiri mil 50 na laptop kwa kila mwalimu
 
Wamlazimishe Magufuri aseme "Anaongoza Serikali ya CCM", maana tangu siku alipokula kiapo amesisitiza "Anaongoza Serikali ya JPM".

Nape ajibu swali la mwanzisha thread kama ilani za watangulizi wa Magufuri ziliruhusu "Rais kupiga deal Ikulu", mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje, safari za nje zisizo na tija, mabilioni kutumika kwenye sherehe, n.k.
 
Hilo nalo neno. Kweli kabisa.
 
mlisema magufuli hatofanya chochote kwani yupo kwenye mfumo mbovu wa CCM,leo yanafanyika mnasema CCM wanachukia,hamueleweki
hayo majibu anayotumbua ndio network iliyokuwa inafanya ccm iendelee kudumu hadi leo, viongozi wenu wakuu wote wana majibu, hayo makontena walikuwa wanatumwa tu kupitisha na hela wanawapa wanaccm. hivyo ninyi ndio mnaisoma namba zaidi kuliko watanzania wengine. Mungu amewaandalia adhabu kubwa sana ambayo mtaishi mkijutia maisha yenu yote kwa kuwadhihaki na kuwadharau watanzania kwa miaka 54. laana hii ipo juu yenu na kwa watoto wenu.
 
Wale mafisadi waliokuwa CCM wameshahamia CHADEMA, wamebaki wachache sana nao siku zao zinahesabika. Magufulu awaogope mafisadi waliokimbilia CHADEMA. Nani ulimwengu huu aliyetarajia kuwa CHADEMA wataondoa agenda ya ufisadi kwenye ilani yao????

ni akili ya kijinga sana kuona mtu anaendelea kuongea kuwa ccm ndiyo inayofanya haya anayoyafanya magufuli. kwa kifupi ni kwamba, chama cha mapinduzi kinachukia hayo anayoyafanya magufuli na magufuli anatakiwa akae kwa makini sana asiwaamini hao jamaa, ulinzi wake uwe mkali sana akifanya mchezo wanaweza kumdhuru. ni kwasababu majipu anayotumbua yanawaathiri kabisa wanaccm ndio maana unaona wako kimyaaa hawajui kitakachofuata. aangalie sana vikao wanavyomwalika, mike anazotumia, vyakula anavyokula na maeneo anayotembelea, hawa jamaa wanaweza hata kum assassinate akiwa loose, kwasababu majipu hayo yanawaadhiri ccm na network yake yote, wafanyabiashara mafisadi sasahivi hawalali wanawaza tu. tunamuombea na Mungu atamlinda na atakayemdhuru magufuli, atasababisha mvurugano mkubwa sana Tanzania.

nilimshangaa sana kinana anapoongea na nape pia, ni watu ambao sio wa kuwasikiliza,wamepitwa na wakati na wanatutonesha vidonda walivyotuumiza kwa miaka mingi. kiburi cha wanaccm na ufisadi wao ni vidonda vipo mioyoni mwetu, magufuli alishaanza kutupooza na dawa vidonda vyetu kina nape na wenzake wanakuja kututonesha tena.
 
Wale mafisadi waliokuwa CCM wameshahamia CHADEMA, wamebaki wachache sana nao siku zao zinahesabika. Magufulu awaogope mafisadi waliokimbilia CHADEMA. Nani ulimwengu huu aliyetarajia kuwa CHADEMA wataondoa agenda ya ufisadi kwenye ilani yao????
Unavyosema sio sawa!, waliokamatwa wote wana kadi za CCM, yaani wanashangaa agufuri anyachokifanya! hawajakizoea tangu enzi za Mwalimu!
 
Elimu bure mpaka kidato cha nne iko page namba ngapi kwanye ilani ya ccm?

Wakiipata nahamia Kenya maana huu utakua ni ushirikina sasa. Hebu naomba Karume best, imenipungukia na nataka nkanunue mafuta ya mboga kwa Massawe best.
 
Magufuli amekataa kuongoza nnchi kwakutumia ilani ya chama cha mapinduzi na ndio maana alisema chagua Magufuli na sio CCM!

Hta Paka akichunwa na kukatwakatwa, unaweza ukawaaminisha watu kua ni Sungura na wakaamini., vipi una kiroba apo best???
 
Back
Top Bottom