Nape amnadi mgombea wa CCM Songea mjini, apeleka msiba CHADEMA,

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Mbunge Wa mtama Nape Nnauye Leo hii katika viwanja vya sokoni kata ya Bombambili mjini Songea amemnadi mgombea ubunge Wa jimbo hilo kupitia CCM Dr Damas Ndumbaro huku akivuna wanachama 80 kutoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Diwani Wa kata ya Shule ya Tanga bwana Mussa pamoja na aliyekuwa mwenyekiti Wa kata hiyo kupitia CHADEMA. Nape amesema kuwa hivi karibuni Nchi itatikisika kwani yupo kada mkubwa Wa CHADEMA atahamia CCM. Pia ameeleza kuwa yeye Nape hahami CCM na atafia ndani ya chama hicho pendwa nchini.
 
Ili nchi izizime labda ahame Tundu Lisu na sio Mbowe, Lowassa, Mnyika, Msigwa nk. Huko cdm ninayemuamini ni Tundu Lissu tu, hao wengine hata wakihama leo sintoshangaa.
 
Huyo hana tofauti na used condom au pampers. Wenzie wamesha mtupilia mbali lakini bado haamini.Juzi juzi alikuwa anaponda hayo hayo leo anashangilia eti kada mkubwa atahamia toka CHADEMA
 
Aliwapinga kwa pesa wakati wa kampeni 2015.
Aliwanunua kwa pesa kuwatoa ndani ya bunge kupitia upinzani.
Anawarejesha kwa pesa ndani ya bunge kupitia ccm.

Halafu kuna mjinga mmoja anasema hii serikali inapambana na rushwa?!
 
Mbunge Wa mtama Nape Nnauye Leo hii katika viwanja vya sokoni kata ya Bombambili mjini Songea amemnadi mgombea ubunge Wa jimbo hilo kupitia CCM Dr Damas Ndumbaro huku akivuna wanachama 80 kutoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Diwani Wa kata ya Shule ya Tanga bwana Mussa pamoja na aliyekuwa mwenyekiti Wa kata hiyo kupitia CHADEMA. Nape amesema kuwa hivi karibuni Nchi itatikisika kwani yupo kada mkubwa Wa CHADEMA atahamia CCM. Pia ameeleza kuwa yeye Nape hahami CCM na atafia ndani ya chama hicho pendwa nchini.
Huyo mussa ndomba anahama Mara ngapi?? Si alishahama toka mwaka Jana na uchaguzi ulishafanyika baada ya yy kununuliwa/kuhama???

Huyo nape asubiri aje akatwe mkia tu ndio atamjua huyu Mr faru Janeth
 
Ili nchi izizime labda ahame Tundu Lisu na sio Mbowe, Lowassa, Mnyika, Msigwa nk. Huko cdm ninayemuamini ni Tundu Lissu tu, hao wengine hata wakihama leo sintoshangaa.
nina hakika lissu pia huwezi kushangaa!
 
b53312c61544d05fd60d2892e6914f38.jpg
 
Mbunge Wa mtama Nape Nnauye Leo hii katika viwanja vya sokoni kata ya Bombambili mjini Songea amemnadi mgombea ubunge Wa jimbo hilo kupitia CCM Dr Damas Ndumbaro huku akivuna wanachama 80 kutoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Diwani Wa kata ya Shule ya Tanga bwana Mussa pamoja na aliyekuwa mwenyekiti Wa kata hiyo kupitia CHADEMA. Nape amesema kuwa hivi karibuni Nchi itatikisika kwani yupo kada mkubwa Wa CHADEMA atahamia CCM. Pia ameeleza kuwa yeye Nape hahami CCM na atafia ndani ya chama hicho pendwa nchini.
Makamanda sasa matumbo moto. Hawajui nani ni nani.
 
Msiba gani uliopelekwa Chadema?
 
Back
Top Bottom